Hili halikuwepo miaka ya 90s kurudi nyuma, sisemi kwamba haikuwa ikitokea, la hasha! bali hata kama ilikuwa inatokea basi ni kwa asilimia ndogo sana tofauti na ilivyo sasa.
Katika maeneo...
Nimesikitika sana leo asubuhi rafiki yangu ananitaarifu kua ni wiki sasa mke wake hana amani na furaha kisa amempa taarifa kua ana mchumba na anataka kumuoa.
Cha kusikitisha zaidi jamaa...
Wakuu leo naingia kwenye jukwaa hili kuwashauri wana MMU wenzangu, tuache uzinzi.
Uzinzi haulipi, ebu jiulize kwa nini uishi kwa wasiwasi kila siku, wasiwasi wa kuwa na UKIMWI. Wasiwasi wa...
Habari.
Wakuu sina lengo la kukashifu watu ila naomba niweke wazi mtazamo wangu kuhusu wanaume wenzangu tuliopo MMU.
Kwa muda ambao nimekuwa mwanachama humu,nimegundua kua wanaume wengi wa humu...
What a Beautiful Day.
Let us express our love,Mutual feelings for the one who u love Jf
Members toka other areas mnakaribishwa
Kupendana sio dhambi jamani.
Wataalamu wa maswala ya mahusiano wanaamini kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana kubainika au kufumaniwa kuliko ilivyo kwa mwanaume.
Hii inatokana na ukweli kwamba...
Nimeishashuhudia hii hali ya kinadada wanapodrive unakuta wanajiachia paja zao wazi mara kibao tu,hapa nimepata lifti kwenye Gari ya jirani yangu tunaelekea Posta.Kajiachia dah, hivi nikawaida...
Juzi niliweka uzi flani hivi wenye heading " NAOMBENI MBINU ZENU" watu walini ponda wengine wakanipa maujanja ahsanteni woote , ila usiku wa jana shoo ilikua kali yani shoo shoo kwelii. (Nitawatag...
Embu leo wanawake semeni sisi wanaume tushaongea sana now tunaona mmejirekebisha.
Haya leo zamu yenu ni hali ipi ukiona kwa mtu wako au mchepuko wako au mwanaume ambaye umepanga kuzagamua naye...
Dharau dhidi yetu zimezidi this is too much hata kama pesa ina umuhimu kwenye maisha ifike time tuheshimiane kama unapenda mwanaume mwenye pesa it's okay basi usianze dhihaka kwa wasionacho. leo...
Wakuu
Bango linajieleza.
Kama unapata shaka kuwa unamaliza mapema mno kwenye show, relax.
Ni vigumu kujua hawa watu wanataka nini. Kumbuka, there's always a second chance. So usiteseke bure...
Hi guys hope mko poa woteeeee
rejea kichwa cha habari hapo juuu tunaomba mwenye kujua hili atupe direction pls '
kuna kazi dar tunawaleta mabinti kadhaa na makakaa wengi kidogo
nahitaji...
Kupumzika (Kulala) kwa muda sahihi (Saa 6), kunywa Tangawizi tupu iliyowekwa katika Maji ya Moto, kutafuna Nazi, kutafuna Vitunguu Swaumu punje 3 hadi 5 kila Siku, kunywa Maji ya Wastani, kula...
Wadau salaam,
Nina mpenzi nimekaa nae kwa miaka mitatu hivi. Nimetaka nimuoe lakini amemwambia dada yake anamwambia kuwa mimi ni mkubwa sana kwake kwa hiyo kwa umri huo nina familia nyingine...
Naombeni Majibu Umri sahihi wa kuoa ni miaka mingapi pamoja na -kupata mtoto
Nimeshajipata ,now Nina miaka 23 ,Nina kazi Serikalini, Nyumba, Elimu Japo kwa Msaada wa Wazazi
Nina changamoto mke wangu kaenda mkoa mwingine kaajiriwa nimebaki na beki tatu kuna muda upwiru unakaba sana halafu nikimwangalia huyu beki tatu ana jicho moja hivi dah Mungu anisaidie kwa kweli...
Uchunguzi wangu wa muda mfupi unaonyesha kuwa huku mitaani kuna upungufu mkubwa wa wanawake wenye mimba. Hii maanake ni kwamba wanawake hawa hawaingiliwi na wanaume zao.
Nikajaribu kufanya...
Binti
ni kama bidhaa sokoni inatakiwa umkague mwili wake wote kabla hujamuoa,
Kuna mtu humu jamii forums alikuja kulalamika , kuwa amemuoa mwanamke afu ndani anakutana na tattoo kubwa isiyofutuka...