Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Msanii mkongwe kwenye soko la filamu Tanzania,Yvonne Cherry "Monalisa" amesema hatarajii kuolewa tena baada ya kuvunjika kwa ndoa zake kadhaa ikiwemo ile ya producer...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Kuna idadi kubwa ya wanawake ambao wanakaa kwenye ndoa wasizoridhika nazo, ndoa zenye kuwafuja na kuwatesa, ambazo kwao zimepoteza maana na hawana sababu ya msingi kuishi humo. Lakini wanawake hao...
7 Reactions
191 Replies
28K Views
wanajamvi amani kwenu, Kuna huyu mdada anafanya kazi NMB (kaumbika,yuko sexy ile mbaya,msomi flani hivi afu matawi kiaina pia ni mpole sana)tumepanga nae nyumba moja hapa mjini. Kwa jinsi...
0 Reactions
120 Replies
15K Views
Habari za masiku tele wanajamvi wenzangu. Nimefurah sana kupata nafasi ya kuwa pamoja na nyie kwa mara nyingine tena wapenzi wangu. Niseme hivi kwa wale ambao ni wapenzi/ wapendwa wangu wa kila...
14 Reactions
229 Replies
12K Views
Habarini Za Usiku Wadau,mimi Nna Mchumba Wangu,na Nmeandka Barua Ya Posa Kwao,ila Akiwa Mbali Na Mm Nampenda Sana Na Nataman Awepo,ila Nikiwa Nae Karibu,na Kusex Mara Tatu Tu Namchoka Na Sitaman...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Jamaa mmoja alioa mwanamke na kuzaa nae watoto wawili,bahati mbaya hapo kabla hajaoa aliwahi kuwa na mpenzi mwingine aliyempa mimba,japo hakuamini kama ilikuwa ni yake.HIVYO ALIKAA,na hata mtoto...
1 Reactions
51 Replies
8K Views
Ni binti mzuri wa kiarabu mwembamba nikakaanae siti moja tulionge mambo mengi mwisho tulipeana mawasiliano Tuliendelea na mawasiliano Penzi likaingia kati yetu tulipendana kwa dhati na...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Afternoon gents and ladies... Leo nimeamua kuwapa moyo kwa mambo myafanyayo bila kukata tamaa, never never give up kwenye vitu unavyofanya hata kama hujafikia malengo. Mafanikio isn't one day...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Mtambuzi, kipajihalisi, madameb, gfsonwin, Nivea, Asprin, Paloma, figganigga, cacico, amu, FirstLady, Belinda Ladyfurahia, blackwoman, Nicas Mtei, Arusha one, KOKUTONA, katerero, Zion Daughter...
13 Reactions
86 Replies
5K Views
Jamani sasa hvi ukitaka kuoa jiandae kikamilifu kwa sababu imekuwa ni mtaji na harambee kwa familia ya mdada unayemuoa. Tena kama unaenda kuoa Moshi ndo balaa na ujipange zaidi. Sikashifu mtu...
1 Reactions
58 Replies
7K Views
Hii ni meseji imeingia kwenye cm yangu jana usiku.ni namba Mpya sijamtambua ni nani na mbaya zaid sijajua ana maana gani....plz nidadavulieni ana maana gan
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Out of a million you stand as one, the outstanding one I look into yours eyes, girl what i see is paradise........... No one can never take your place, can never take your space That is the fact...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
wandugu anayejua kwa hapa tz fleshlights(vifaa vya masturbation) vinapouzwa anielekeze
0 Reactions
13 Replies
2K Views
WANA JF, mke wangu jamani nikimbwambia jambo zuri haliafiki, ila jambo hilohilo akimweleza mama yake basi anakuja na kusema mama kasema nifanye hivi, ukimwambia lakini sinilikuambia ukanipotezea...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Ni jambo la kawaida tunapotembelewa na Viongozi wa Kitaifa wa nchi nyingine huwa wanaandamana na wake zao. Mifano ya hivi karibuni ni Waziri mkuu wa China na Rais Obama waliotutembelea hivi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niaje wadau... Binafsi siamini kwamba ninaweza kumpata mwenza wa maisha kwa njia ya mtandao kama huku...huwa najiuliza mambo mengi sana ninapoona mtu kaweka tangazo anahitaji mwenza,tena wa...
2 Reactions
48 Replies
3K Views
Napata hofu kidogo baadhi ya wasichana hasa wa mjin mpaka kufikia umri wa kuolewa lakin hawezi kupika ugali tu.Dada zangu kuna ugumu gani kupika ugali,kijijin hata mtoto wa kike wa darasa la tatu...
0 Reactions
110 Replies
8K Views
Jamaa yangu ninayefanya nae kazi alimtongoza mke wa mtu, yule mwamamke akakubali ila kwa sharti hili, aoe kwanza ndio atapata nafasi ya kumgegeda kwasababu itakua ngoma droo. Je, kufanya penzi...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Tofauti na wanaume wengi wa MMU au mtaani wanavyochukulia pindi wanapoombwa fedha na wapenzi wao hua wananuna.mimi inakuwa opposite,msichana akiwa na mimi siamini kama msichana kaniapenda hadi awe...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Sipendi tena sipendi kuonga mwanamke sijui nina kosa hapo?unakuta wote tuna kazi ila mwenzangu zake zake zangu zake.damn.mbona tulipoanza mapenzi ulikuwa asbh tu umeshapiga cm baby...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom