Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Let me take this opportunity to thank God publicly for granting us (Me n you who is reading this thread) this day and...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Lyrics to Love & Affection : [Chorus:] Let me give you some love and affection, You got my attention, You need no correction. Mek Jah pure blessings in your direction, You got my attention, What...
0 Reactions
2 Replies
690 Views
Niko na mpenzi (Mume wa mtu) kwa muda wa miaka minne sasa, alinitafutia kazi nikafanya kwa muda wa mwaka mmoja nikamwambia kazi za kuajiriwa siziwezi nahitaji kufanya biashara, akanifungulia ofisi...
1 Reactions
80 Replies
5K Views
-Usiolewe sababu rafiki zako wote wameolewa. -Usiolewe sababu class mates zako wote wameolewa na wanawatoto. -Usiolewe sababu umemaliza chuo, unaishi mwenyewe na unakazi nzuri. -Usiolewe sababu...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna jamaa yangu tulisoma wote seminari. Wote hatukuwa na wito wa upadri kwa sas tupo tunajishughulisha na shughuli nyingine za kimaisha. Na mara nyingi huwa tunaenda kanisani, ni nadra kumisi...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Baadhi ya makosa hayo, ambayo watu wengi sana hapa duniani wanafanya hata leo hii, ni baba fanya ngono na binti yake, ngono kati ya mama na mtoto wakiume, ngono na dada yako, ngono na babu yako...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Hivi katika maisha ya kawaida mtu anapoanzisha urafiki na msichana au mvulana kuna kitu anakilenga mbeleni,lakini urafiki wa miaka ya karibuni unaonyesha kwamba unapelekea kwenye mapenzi,cha ajabu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Tafiti nyingi zinaonesha kuwa watu wengi walio funga ndoa wamewapiku wale wasio funga ndoa kwenye umri wa kuishi. Watafiti hawa wamebainisha kuwa mfumo wa maisha wa mtu aliye kwenye ndoa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wedding Ring is d smallest handcuff ever made. So think deep. Choose ur prison mate carefully & sentence urself wisely,to avoid Prison break
2 Reactions
1 Replies
1K Views
nimevumilia sana jamani but huyu mdada mi nampenda sana.sauti yake,swaga zake sio za kisister duu ndo nakwisha kabisa namtafuta sana kama mtu akimuona anifikishie ujumbe wangu.alafu nashangaa...
1 Reactions
106 Replies
11K Views
Jamani ndgu zangu habarini, Nimetokea kupendwa na mpopo mmoja kijana wa makamo hivi. He is younger than me like 6yrs hv! I wish to fall kwake pia ila naogopa. I wish to know his whereabouts ila...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
At many hotels, ordering "an extra pillow" is coded talk for ordering a prostitute.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni kuhusu msichana mrembo wa miaka 20 mfanya kazi wa Bank aliemchengua kijana wa miaka 15 yatima na kupelekea tragedies yasioelezeka kwenye maisha kiasi cha kukutana na kuwa na conversation with...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Anawajengea wanae, msianze kuninanga mkaniharibia swaum yangu bure. Mi ninazo nyumba zangu nimejenga tangu kabla hatujafikishana hapa, moja naishi na wanangu nyingine ninapangisha. Hii nnayosema...
5 Reactions
66 Replies
5K Views
^^ Tukiweka kando sala au maombi ya pamoja ktk familia hususani ya usiku,baba,mama,na watoto n.k Imeelezwa kuwa wanandoa au wapenzi tu wanapokuwa chumbani kwao Kabla ya kuvamia kitanda kwa ajili...
11 Reactions
201 Replies
48K Views
Wakuu me ninatatizo moja,yani nikiwa kwenye majambozi goli la kwanza linawahi kutoka haraka sana,yani hata dk 5 hazifki kwa kweli,sio siri hii hali siipendi kabisa kwa kweli,yani nimejaribu kila...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
pole sana mama angu: siku zote kila nikikupigia simu huna neno jingine zaidi ya mimi kuoa, kila siku mwanangu mwanangu unaoa lini? mwanangu oa, mwanangu nahitaji mkwe, mwanangu nahitaji mjukuu...
2 Reactions
88 Replies
6K Views
Kuna binti nlimtongoza kama utan tu na kwa kua alkua anakataa kuwa na boy kwa wakat ule alinikatalia kabisa na kwa kuwa alkua ni rafik yangu basi nilijckia aibu xana kwa kunikataa kwake,hivyo...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Wanabodi...Natumai mu wazima sana! Kwa wale walio kwenye mfungo natumaini swaumu inaenda vizuri na soon kitu cha idd kitawasili..na kwa wale wenzangu na mie najua maisha yanasonga kama...
18 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom