Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
1. Mwanamke anaposema, 'sasa hivi' au 'dakika moja tu,' maana yake ni kwamba, ni nusu saa ijayo. kwa mwanamke sasa hivi ya kujiandaa ina maana sasa hivi ya muda mrefu mara sita zaidi kuliko ule...
16 Reactions
69 Replies
8K Views
Mwanamke anayedaiwa kupanga njama za kumuua mumewe wa ndoa na mtoto wa mume huyo, amepandishwa mahakamani akiwa na mtuhumiwa mwingine wa mauaji hayo. Janeth Jackson (32), mkazi wa Moshono...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ninawajua wote ni wapenzi tangu 2007 huko... juzi all of a sudden jamaa ananitumia message kwamba anaoa...sikutaka kujua anamuoa nani maana mhusika namjua...good enough yule mtu wake sasa nae...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
For talking to Women and getting their attention Many men are never taught how to talk to women. Because of this many guys go through life without the ability to attract a woman. Here are 15...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Closed
ni bint mrembo nilimtoa bikra anatokea tanga na sijui kajifunzia wapi nampenda mke wangu ila nafanya yote haya sababu tu ya uanaume wangu
0 Reactions
23 Replies
14K Views
kuna jamaa yangu anampenzi wake.ni miaka mitano sasa walisoma wote advance.mpaka university demu wa mshikaji alishawahi fika kwao na mshikaji wangu mara nyingi sana mpaka kuishi kwa muda hasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naombeni ushauri mimi na mpenzi wangu tumekuwa na mahusiano kwa kipindi kirefu sana bila kuduu,mpenzi wangu yuko mwaka wa pili sasa ni mfanyakazi tayari ,imefika muda wa mimi kumjua vizuri...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeona niliweke hapa jf kwa watu wenye akili timamu na wanaojua kushauri watu kitaalam. Nimepata binti lakini nimetumiwa picha za x wake akiwa anamkandamiza. Hii kitu imeniumiza sana na mda si...
0 Reactions
83 Replies
8K Views
Leo nilikuwa kwenye semina mahala. Topic hapo juu inahusika, zikiwemo ni zipi sababu nzuri na ni zipi mbaya za kuoa/kuolewa? Na pia uzuri unachukua sehem gani katika swala zima la uchumba.?
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Jamani mtaan kwetu vituko haviishi
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Jamani wadada wa JF ni wagumu, wabishi, hawashikiki, hawakamatiki, hawaambiliki, hawatongozeki! Sijui haya yananikuta mie tu au lah, yaani kila ninayemtokea, requirements kibao: Unaendesha gari...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Mwanafunzi wa Malinyi S.S amevunja ndoa ya Salum Njewike ambaye aliamua kuachana na mkewe baada ya ugomvi wa muda mrefu uliosababishwa na binti huyo ambaye ameacha shule bada ya kunogewa na penzi...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Nawasalimu wanaMMU. Nimeona nichukue muda huu tushauriane swala muhimu sana katika maisha yetu yanayoelekea kukomaa sana siku hizi. Swala la mahusiano ya mbali na hasa kwa wanandoa. Kuna baadhi ya...
32 Reactions
249 Replies
18K Views
Jackson ni mtu wa Njombe lakini anaishi Dar es Salaam, kijana mtanashati tu na mwenye kazi yake nzuri. Lily ni mdada wa njombe lakini anafanya kazi Mafinga (ni nurse); vijana hao wawili wanajuana...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Habari zenu jaman, naombeni mnisaidie ndo mapenzi haya au mimi ndo mshamba? Nina boyfriend amepanga na mm pia nimepanga, kila mara huwa anakuja kwangu na mara chache huwa analala lakini kila...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
My dear brothers and sisters,if ur given a second chance,would marry your spouse again??if ur answer is YES/NO please explain why u would or wouldnt do that.Please be honest as i do believe not...
0 Reactions
59 Replies
4K Views
Wadau mkitaka kwenda kula bata Moro msihangaike lala Moro Guest namba za simu zipo hapo kwa huduma safi na usalama zaidi.
1 Reactions
19 Replies
3K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE! Kama kawaida nikiipata nawaleteeni ya moto moto kabla haijapoa! (Siku mkisikia nimekodiwa mashujaa band kuja kusutwa mniteteeee) Msinichoshe, nisiwachoshe ...
5 Reactions
66 Replies
7K Views
Jana nilipata mtihani ambao uliniweka roho juu kwa masaa taktiban nane. Ilikuwa ni baada ya kupata staftahi majira ya saa 4:00 asubuhi mwanangu wa kiume wa miaka mitano alikwenda nje kucheza na...
27 Reactions
124 Replies
9K Views
Habari za leo wana JF! Naombeni msaada wa ushauri, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, kuna mwanamke nimezaa naye mtoto ambaye hivi sasa amefikisha umri wa miaka mitano! Sasa nimekuwa...
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Back
Top Bottom