Ni muda tu mfupi uliopita hapa "kijiweni" zimepita gari mbili zimepambwa huku honi zikipigwa nikajiuliza ni kitu gani hiki ndo jamaa yangu akaniambia ni harusi hiyo
'
Nikashangaa kisha...
She is not your sister, cousin, or even distant relative and she's somebody's wife and you are a man but you are busy texting her "dear umeamkaje, dear umekula, dear take care, dear have a good...
Mimi ni kijana mwenye umri wa 27 mnamo mwaka 2010 nilikutana na binti ambaye nilitokea kumpenda sana, ila kwake ilikua ngumu kunielewa lengo langu, siku zilivo zidi kwenda akawa ananielewa, 2011...
^^
"..Kila nikikumbuka siku yenyewe basi namwona mwanamke si kiumbe wa kuaminika,ni mwongo,msiri wa kijinga na anaweza kukuua wakati wowote.
...
Alikuwa ni binti mzuri tu ambaye kila mwanaume...
hi jf, nko na rafk yngu wa karibu chuo tumemaliza mwaka jana, kinachomsumbua huyu rafk yngu ni kwamba ana girlfrnd wake(mschna yuko chuo 2nd yr) huyo mschana anampnda mshikkaj kupitiliza, she buys...
habarini za sikuu wana jf..
leo nimekuja na hii ishu apaa nimekua kwenye mahusiano na msichana mmoja kwa mdaa wa miezi nane ivi nilikua nikimpenda sana mwanzonii but now nataka tuachane..
resons...
Wakuu napata mtiani mgumu kutoa maamuzi hawa maduu wananichanganya sana ,niko kwenye mchakato wa kutaka kuoa mwanamke yupi anafaa kati ya hawa WATATU.
WA KWANZA; kabila ni mzigua ni mwanamke...
Jamani maisha yamebadilika sijui kwa nn siku hizi ukiwauliza wanaume wengi wataoa lini wamekuwa watata sana kueleza lini wengi wanasema wanaishi kisela,ndio kusema siku wanawake wanasumbua au...
Wakuu ivi kuna ukweli wowote wa mabinti wa kisomali kutengenezwa figure? Maana walio wengi km si wote utakuta wanafigure nzr sn hasa maeneo ya kiunoni, ------ mpaka mapaja. So nihewahi kudadisi...
mtaalamu wa kilimo!
natafuta mtaanajua hili jukwaa ni la magt
naombeni ushauri
kwa wataalamu wa kilimo mitaa hii naitaji kuwekeza kwenye kilimo cha maharage naombeni kujua ni maharage gani...
Asilimia 20 ya wanaume wakiamka asubuhi huwa hawatandiki vitanda vyao na
Asilimia 80 ya wanawake huwa wanavaa brazier ambazo hazilandani na ukubwa wa matiti/maziwa yao (wengi wanavaa brazier...
Jana Usiku nimetoka kwenye kazi zangu za kupiga mabox na deal ya jana ilikuwa hot ile mbaya nikafanikiwa kuingiza mzigo wa milion 50 na kwamba leo asubuhi nilikuwa nizipeleke bank asubuhi na...
Weiner ni mwana siasa hapa NY .Alijiuzuru baada ya kugundulika anatuma Picha za uchi kwa Wanawake .Weiner ana mke na mtoto (mkewe msaidizi wa Hillary na Hillary Clinton Kama mama ake ) ,.Anthony...
^^
Huyu ni binti ambaye tumepotezana nae miaka mingi.Lakini milima haikutani,binadamu hukutana..Nilipomuuliza juu ya mwanaume waliyependana sana kuwa wanaendeleaje na familia yao? Nilijibiwa kwa...
kwa wanawake wote ambao mna ndoto ya kuwa na famila bora zingatieni hili. wasukuma wamejaaliwa
1-warefu
2-maumbo makubwa
3-mvuto
4-wakarimu
5-wapore
6-wametulia
7-wanajua kupenda...
African Women Abroad Seriously Seeking Husbands
Why are many African women abroad now seriously looking for husbands or serious partners? Why are they single in the first place? What kind of...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!
Nawakaribisha wadau kwenye mgongano wa Hoja, na mchango wako uongozwe na nguvu ya hoja juu ya hii mada!
Sheria!
Ni marfuku kumshambulia/kumjadili...
Leo nilikua kwenye mkutano wa injili na sasa ivi naangalia Emmanuel Tv, nilichogundua ni, wanawake wengi ndo wenye matatizo na majini.
Wanawake wameletwa na waume zao kuombewa.
Wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.