Dogs are the most loyal animal, they are aggresive, social,fearless,chase-pronness and curious also at times are shy and bold.
So next time you hear the saying "all men are dogs" don't feel...
dears,mi swali langu ni kwa wanaume na kwa kina dada ambao huwa wanapata shida kama ninayoipata mimi kwa sasa na mara kibao imeshanitokea,unakuta mwanaume akiwa anakutongoza anakuwa yupo hewani...
Men!!!Men!!!Men !!!
So complicated,
So confusing,
So hard to please.
If u try 2 pls dem, u re cheap.
If u make love (sex) to them, u're a Love
Peddler.
If u don't, u re playing hard to get.
If u...
Kwa muda mrefu wanawake wengi wamekuwa wakilalamika kuwa waume zao hawawapigii simu, hata kuwatumia SMS mara kwa mara. Wakiulizwa wanakuja na visababu eti walikuwa bize, mara simu ilikuwa mbali...
Ndugu zangu, mimi nilioa mwaka 2010 na nina mtoto mmoja. Mwezi wa nne mwaka huu mke amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo huko London. Anategemea kumaliza mafunzo baada ya mwaka moja kama na...
Baadhi ya Club za Jiji la New york Marekani zimeanzisha utaratibu wa kupiga disko la mchana wakati wa lunch.
Disko linawalenga wafanyakazi. Kwa dola 14 unapata lunch na saa moja ya kuruka majoka...
Wakuu nawa usia kama ninavyoiusia nafsi yangu kuhusu hili janga(AIDS) maana hali ni zaidi ya MBAYA...Kuna jamaa yangu mmoja alienda kucheki afya jana coz anajiandaa kufunga ndoa kama unavyojua...
Wana jamvi naandika hapa nikiwa na hofu na mashaka juu yangu mwenyewe..
hili jambo limekua likinitatiza sana..mwaka 2006,nikiwa shule niliota nyumbani tunalia,tumefiwa,haikuchukua hata wiki...
habari wanajf?
Nimejitokeza kwenye hili jukwaa kuomba ushauriwenu kuhusu kutengeneza sex body maana nimechoka kudharauliwa na hawa wakinadada kisa mm ni mwembaba sana nina urefu wa cm 168 na...
Leo nimekaa najikumbusha mambo ya zamani, enzi za Mwl nakumbuka kuna demu mmoja nilikuwa namvizia sasa tekinolojia ya kumtoa kwao kama simu ilikuwa hamna na mimi nilikuwa nakaribia kufungua shule...
Wasichana wengi wanapo kuwa wamekaribia miaka 27 huku wakiwa awajaolewa, ndipo hustuka gafla na kutambua kwamba miili yao siyo ya kuchezewa tena. Wengine ubadilika na kuzaliwa upya na hapo ndipo...
Ungelifanyaje? Mchana kweupe, ukiwa na gari lako kwa mwendo si wa kasi sana, mitaa ya sayansi anakupiga mkono binti. Unajiuliza ni nini? Unataka kupitiliza lakini hisani inakujia na kuamua...
Naomba kuuliza kwa wale wenye watoto.
angalia picha hapo chini.
Mkono wa huyo mtoto amevalishwa kamba nyeusi.
Nimewaona watoto wengi hasa uswahilini huvishwa hiyo kitu.
Ni urembo kwa mtoto au hiyo...
Hivi huyu pepo katika ndoa za siku hizi ametokea wapi jamani?
Kama katika kila watoto 100, 46 wamezaliwa nje ya ndoa ni nani yupo salama katika hili? Na kwanini wanawake mnafanya hivi, tatizo...
habari ndugu zanguni;
napenda niwafaham tabia za hawa ndugu zetu kidogo
kwani nilikuwa nampenz flan tukazinguana kwakuwa mi nilikuwa naharakat flan za shule akatafuta namna yakuniumiza akawa...
Amani kwenu wadau!
Nimejikuta nikiwaza hapa,inakuaje watu mnakutana mkiwa watu wazima,kila mmoja akiwa na historia yake ya maisha,alafu mkianza mahusiano ya mapenzi,kila mmoja anataka amdhibiti...
Wanawake wa Tanzania wanakabiliwa na kibarua kizito cha kupata wachumba wa kuwaoa baada ya idadi yao kuongezeka kwa zaidi ya asilimia 4.4 zaidi ya idadi ya wanaume.
Takwimu za idadi ya watu za...
bi dada kweli umeolewa kihalali kabisa naheshimu hilo ila mumeo kanitaka tukaanza uhusuiano now ni mke mwenzio
mumeo kabla hajakutana na mimi alikuwa kicheche sana hilo unalijua juhudi zangu za...
Mapenzi yana nin ndani.. Ni ushetan au hisia zitokanazo na Mungu mwenyewe..? Unapenda kwa dhati sehemu dhahili ambapo pana dosari na kuacha sehemu dhahili yenye amani na uaminifu... Naogea maneno...
Wadau wa JF naomba mnisaidie kuna binti nampenda nae naamini ananipenda pia nifanyaje kumpata though najaribu sipati signal bt i knw she loves me......nifanyaje hasa wadada nahtaj mawazo yenu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.