Kiukweli huyu binti kila nimwonapo ktk picha napata hisia kali juu yake, mpaka nimebandika picha zake chumbani kwangu. Kwa ufupi nampenda sana huyu dada, naomba yeyote atakaeweza kunikutanisha nae...
Wapendwa wa bwana katika pitapita yangu nimegundua kuwa kati ya mwaka 2008 hadi hivi tunavyosoma hii mada ni kuwa ndoa nyingi zimekubwa na misukosuko ambayo mingine imepelekea hata kutengana...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!
Natumai mu wazima! Leo nimeleta tena kwenu Upembuzi Yakinifu Niliofunya Mimi Lara 1 binafsi! (Ujue mtu sio kufanya study, research ya mambo ya shule tuuu hata ya...
1.We MUONGO
Mwanamke kuwa muongo katika mapenzi ni kitu kibaya sana kinachosababisha wanaume wengi kupoteza
imani naye kuweza kuishi naye kimaisha katika maisha yao yote.
2.MBINAFSI
Mwanamke...
Hamjambo wadau wa mmu?
Shida yangu leo ni msaada wa kupata namba za simu za mwalimu mmoja anayefundisha Majengo Sekondari Moshi.
Ninaamini huku JF hasa hapa mmu wapo watu wanaomfahamu huyu...
R.I.P Ngwair,Langa-habar wana jamvi
Nautandika uzi wangu huu hapa kuomba ushauri nifanyaje au dawa yake ni nini katika tatizo hili linalonisibu!
Nina mpenzi wangu niko kwenye mahusiano mwezi wa...
Mara nyingi tumekua tumesikia/tumeona Baba na Binti yake wakiwa na mahusiano ya kimapenzi kuliko vile tulivyosikia au tuseme ni mara chache sana sana kusikia Mama na kijana wake wana uhusiano...
Imani kubwa kama hii ni ushindi dhidi ya mwovu shetani ndani ya familia zetu. Binti mwenye imani kama hii aliyasema haya baada ya madaktari na wauguzi kumulazimisha ajifungue kwa njia ya kisu...
Demu wa mshiaji alimwambia kuwa aliwahi kuwa na mpenzi hapo mwanzo lakini aikuwa hajawahi kusex hivyo hakuweza kumtoa ubikra. Alikuwa akiweka tu demu anapiga kelele na uoga wa men alikuwa anatoa...
Kumpiga siwezi....kukimbia nyumba siwezi....kumwacha siwezi maana nampenda zaidi ya nafsi yangu...nabaki kuumia tu kiti changu ofisini ndokimegeuka kitanda changu....maana usiku silali nikilala...
Mwanamke anapokwambia kiukweli wewe sio my Type, isipokuwa ninacho kupendea ni hilo umbile la Umee wako kwani maishani mwangu sijawahi bahatika kupata mwanaume mwenye umee kama wako.
Habarin wadau.., Nmekuwa nkikerwa na mada zinazoletwa hapa na watu wasiojua chochote zikiwaponda dada zang wa kchaga. Kwanza kabisa niweke wazi kuwa mimi ni Mbena wa huko Njombe. Kwangu mie...
Nina uhakika namna majina yetu yanavyohusika kwenye kuzielezea tabia zetu
'
Pia hata sura nazo ni hivyo hivyo
'
Nimejaribu kufikiri namna pia wa uchaguzi wa utambulisho hapa JF(ID's) ambavyo...
Nimekua nikifuatilia post zenu akina dada wa humu Jf. Nataka mchumba, na details zenu zinaonyesha kuwa ni vifaa vya ukweli. Swali langu ina maana huko mtaani hamuonekani?
Hamjambo jamani? Mi ni mgeni humu! hodi hodi kwa swali! hv kati ya alfajili,mchana,jioni na usiku upi ni muda mtamu kwa kupeana raha safi na mpenzi wako bila presha wala distabansi yoyote?
"Life For Rent" BY DIDO
I haven't ever really found a place that I call home
I never stick around quite long enough to make it
I apologize once again I'm not in love
But it's not as if I mind...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.