Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kweli kuna utofauti kati ya members wa JF na wa FB ....wanaotoka FB kuja huku angalia nyuzi zao utajua
1 Reactions
51 Replies
3K Views
^^ Inaelezwa na wataalam wa mahusiano kuwa,wanaume wengi hushangaa ni kwa nini siku ya pili ya kuanza kwa safari ya ndoa,wanaanza kuwalinda sana waume zao na kutumia mbinu za kike kama...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hbari zenu wakuu Nimatumaini yangu mu wazima na mnaendelea na pilika za hapa chini ya jua. Nina Rafiki yangu (me) kaniomba ushauri. Kutokana na 7bu tofauti tofauti ikiwemo masomo+mapenzi...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Inasemekana kuwa asilimia kubwa ya wanawake huwa hawafikii kabisa kutokana na ama kutojua staili au kuwafikiria zaidi wanaume wawapo kwenye majambozi kitu ambacho huwafanya wasifurahie tendo la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi kumbe suala la mapenzi linategemea na uwepo wa wazazi sikujua, hili suala limeanza kunisumbua sana koz mpenzi wangu niliyetegemea kumuoa tuliachana eti kwa kua sina wazazi.Sasa nikianzisha...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Naomba wataalamu, wazoefu, wenye mbinu bila kusahau wenye imani zote wanijuze namna ya kupata mtoto wa kike na wakiume katika ratio sawa kwenye ndoa.Nathamini jinsia zote ila napenda mchanganyiko...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
VAZI LA NUSU UCHI LAZUIA NDOA KUFUNGWA JIJINI DAR. **PADRI AGEUKA MBOGO NA KUWATIMUA WAPAMBE KIVAZI cha ndugu wa maharusi, kimesababisha patashika katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwanamke anaonekana kuwa mzuri anayetamanisha na anayefaa kuoa pale anapokuwa siyo mkeo, lakini akishakuwa mkeo kila kitu kinabadilika. Sijasema anakuwa mbaya lakini.......
7 Reactions
64 Replies
5K Views
MARTIN LUTHER-King Jr. "If you can't fly,RUN If you can't run,WALK If you can't walk Crawl, BUT whatever you do KEEP MOVING TOWARDS YOUR GOALS".
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika kuishi kwako huenda kuna cku ilishawahi ingia call mpya kweny cm yako ikiomba uhusiano wa mapenzi either m/me or m/ke au ktk ambao walishawahi kukuPM ila ilipofika wakati wa kutimiza...
2 Reactions
103 Replies
7K Views
Za leo watu wa MUNGU,natafuta Mwanamke aliyeokoka na anayependa kufanya kazi ya MUNGU,Kwa moyo mkuu,awe na umri wa miaka 24-26.....0773 842 849
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Niko Mwanza napenda niwafutulishe wana JF wa Mwanza lakini, naogopa wengine wasije kuleta maada hapa,
0 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Closed
Asante teknolojia.Asante Google.Nadhani hii itasaidia wengi.
1 Reactions
61 Replies
5K Views
Mimi sijawai kusema haya 1. Mpenzi naomba nitumie bank account number yako 2. Mpenzi Happy Birthday, that car yours Mwana MMU, Tupia lako Aminia!
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Habari anajf. Ni mara ya pili nafika katika jukwaa hili nikiwa na wazo moja. Nilikua na uchumba na binti mmoja bahati nimemzidi umri kidogo nimemaliza elimu yangu yeye bado yuko shule Mungu si...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nina mchumba ambaye tunapendana sana na sasa ni mwaka wa 5 niponaye kwenye mahusiano yakimapenzi.Ila dini zetu ni madhehebu tofauti na wazazi wake wanataka mm nibadili dini nifate dini yao na mm...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
At 23 years old he began working and saving…and saving some more. By age 30, he’d amassed some $800,000 in cash and investments, and then entered early retirement. The Rule of 70% While a...
0 Reactions
0 Replies
652 Views
Takwimu za hivi karibuni za Serikali kupitia Wizara ya Afya zinaonyesha D'Salaam pekee inakadiriwa kuwa na machanguduo 7,500 ambapo kwa kila machanguduo mia moja, 31 wameambukizwa UKIMWI. Takwimu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
hivi wana jf naomba mnifahamishe ..hivi unapoamua kumwoa mwanamke yeyote tk familia yeyote ,pale unakuwa umemwoa huyo mwanamke au umefunga ndoa na ukoo wake mzima?
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Waswahili wanasema Ukstaajabu ya Musa utaona ya FIlauni!ni kwelii ndugu zangu!yametokea na muda huu ninaoandika ndivyo ilivyo!! Hali ilikuwa ivi mdada cheupe dawa toka kanda ya juu,alinogewa na...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Back
Top Bottom