Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
"HAVING MANY GIRLFRIENDS/BOYFRIENDS DOESN'T MEAN THAT UR HANDSOME BOY/BEAUTY BUT IT MEANS THAT UR CHEAP, SINCE CHEAP PRODUCTS ARE THE ONES WITH MANY BUYERS." Take care coz many are involved...
0 Reactions
10 Replies
842 Views
Wadau Nina Mchumbangu Ambaye Natarajia Kumuoa Mda Mchache Ujao,ila Ye Nmemzidi Mwaka Mmoja Tu,vp Kuna Athar Zozote Nkimuoa Huyo Mwanamke Kwa Kuwa Umr Unakalibiana?
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Kwa usema kweli my wife amesafiri, tokea aondoke kila mda akipiga simu mara oh uko na mwanamke?mara aseme nisogelee tv kama ni usiku,akipiga simu labda imeishiwa moto hapo ugomvi sasa leo kapiga...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari wana JF, natumai ni wazima. Kwa wale waliofikwa na matatizo au kuwa wagonjwa kwa siku ya leo poleni sana. Baada ya kutokea tukio la Arusha la mke kutaka kumuua mumewe pamoja na mtoto wa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Baada ya kuachwa na mwanamke wangu wa kwanza.pamoja na maumivu yote moyo wangu haukuacha kupenda.nimempenda msichana mmoja.nimejiuliza kama mwezi mmoja kama kweli nimempenda nikagundua kweli...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Mume akizaa nje inaonekana kawaida. Lakini mke akizaa nje ni balaa. kwanini?
0 Reactions
60 Replies
9K Views
Imebainika kwamba, iwapo warsha na makongamano yanayofanyika mbali yakitumiwa vyema na watu walio single na wanaotafuta wenza wa kufunga nao ndoa husaidia kufanikisha jambo hilo. Kwanza...
14 Reactions
86 Replies
6K Views
Katika miaka yote tangu tumeoana mume wangu amenizidi kipato kwa maana mshahara wake ni mkubwa kuliko wa kwangu..lakini mara kwa mara yeye analalamika hana pesa. Sio tu kwamba analalamika lkn...
7 Reactions
134 Replies
13K Views
Jana nilileta mada ya hasara ya kuchelewa kufunga ndoa, kama mjuavyo kwa sasa hivi hapa jamvini kuna tatizo la watu kuto kujibu mada husika na kumshambulia mleta mada. Sasa nilitegemea ningepata...
1 Reactions
25 Replies
15K Views
  • Closed
Nina Ukimwi nahitaji mpenzi wa ukweli kwa ajili ya ngono tu, hakuna kingine. Kila tukikutana nitamlipa above 300,000/= Siyo mimi Majaribu2013, Ni rafiki yangu alikuwa akinieleza! Unataka? Send...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wanajamvi, Jioni hii tumepata barua ya Joining instructions ya mtoto tunaeishi nae ndani, tukaamua tukusanyike familia yote tusome wote kwa pamoja ili tujue tutajifunga vipi mkanda kumwezesha...
8 Reactions
55 Replies
4K Views
1 When a Boy says Sorry even though He didn't do anything. 2 When a Boy cries because he still Loves you or misses you 3 When a Boy still tries to get you Back. 4 When a Boy no...
4 Reactions
111 Replies
8K Views
Mungu nijalie demu mpenda pesa kila siku nipigane kuwa bakhresa Asinipende mimi apende verosa Wana wamegewa wengi ndio kitu wamekosa Malighafi ya suruali si boxer Siri nyingi mahali dingi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa kweli mi ni kijana 29 years nimeoa na mtoto mmoja binti wa mwaka 1, toka nimezaliwa sijabahatika kukutana na msichana bikra na wala sijawahi bikiri. Ili jambo linaniumiza kiasi kwamba najiona...
0 Reactions
81 Replies
8K Views
Heshima kwenu wakuu. Poleni na majukumu ya kila siku. Hili suala ni gumu kuliko linavyofikirika na jamii na watu ambao hawajapatwa na mikasa migumu. Ndio maana unyanyapaa unaendelea kutawala...
23 Reactions
105 Replies
11K Views
Habari zenu great thinkers. Nimekuwa mfuatiliaji wa jamii forum kwa muda mrefu lakini leo nimependa kushare nanyi kuhusu malezi ya watoto wetu wapenzi Siku hizi Dunia imebadilika sana si vizuri...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna mshikaji hapa mtaani mkewe kazaa na jirani yake na mtoto ni copyright na babaake. Yaani kila kitu, ni aibu. Katoto chenyewe kanafanana na watoto wa jirani (bana mzazi). Mtaani kila mtu anajua...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Najua siko perfect lakini najivunia kua mimi. Najipenda hivi nilivyo. Najivunia kuzaliwa mwanamke. Namshukuru mungu kwa kuniumba mimi. Hakuna hawezaye kuwa mimi. Kuna watu wanajichukia...
7 Reactions
126 Replies
7K Views
Mfanya biashara wa madini ya Tanzanite mkazi wa Moshono mkoani Arusha inadaiwa alipanga na majambazi wamuue mumewe ili aweze kumiliki utajiri alio nao. Inadaiwa licha ya kutaka kumuua mumewe...
3 Reactions
59 Replies
7K Views
If another woman steals your man, There is no better revenge than letting her keep him, Real men can't be stolen.....
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom