Wadau,
Najua kwa namna moja au nyingine tumewahi kuhonga na kuhongwa katika mapenzi! Ni kiasi gani kikubwa kabisa ulichowahi kumhonga mtu au kuhongwa?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
wenzetu wanasema upendo wa kweli huwa unadumu milele,kuna rafik yangu wa kike alifunga ndoa na jamaa fulani mwenye uwezo mzuri tu.
Walikuwa na mpango wa kwenda fungate Kuala Lumpur,Malaysia,lakin...
Sexing to married couples is more than "Scratch my back and I will scratch your back", and has something immeasurable and wonderful in it that sometime makes people cry,die and reveal hidden...
Dada zangu inabidi tuambiane ukweli inapotokea ukaachana na boyfriend wako au mme huwa haupendi kabisa apate maendeleo utakuta matangazo mara mshamba sura mbaya hajui mapenzi ile hali mwanzo...
Habr za uck wapendwa wangu,upande wangu me mzma wa afya njema kabsa!!!!!!
Imekuwa kama kautamadun vidume kuogopa kuombwa pesa na wapenz wao! me nashindwa kuelewa mantiki yako!! kwa mfano naomb...
Wadau natumaini baadhi yenu mnafuatilia Reality Show ya Big Brother Africa (BBA) season 8 inayoendelea huko South Africa. Mshiriki mmojawapo toka Tanzania FEZA ameanza mahusiano na O'Neal kutoka...
1.Utajua majina ya vifaa na procedure za kidaktari.
2. Ni watu smart.
3. Ni watu walii tayari kukesha na wewe kama unataka iwe hivyo.
4. Hutakaa foleni za kuonana na daktari hospitalini.
5...
Siri ya Furaha ya Familia Jinsi ya Kuanza Kuaminiana Tena
Steve*: Sikuwahi kuwazia kwamba Jodi angefanya uzinzi. Niliacha kumwamini kabisa. Siwezi kueleza jinsi ilivyokuwa vigumu kwangu...
Wadau, nawaletea story ya kweli.ni hivi, nlikuwa na rafiki yangu (naomba nisimtaje jina ila nitawapa majina bandia.) na mpenzi wake. Huyu rafiki yangu Juma na Asha,walikuwa wanapendna na wakiishi...
Wanajamvi msaada
Nina mpenz wangu tumedumu naye muda mrefu (miala minne) mpaka baadhi ya ndugu zake wananifahamu. Tatizo la mchumba wangu huyu anasema hawez kuvumilia mapenz ya kukaa mbali kwani...
Leo nilimtembelea rafiki yangu ofisini kwake hapa mjini opposite na ofisi za VODACOM. Ukweli mahusiano ya rafiki yangu na sekretary wake yamenitisha sana. Kwanza Sektretary mwenyewe amekaa...
Nimeenda kufanya participant research msukuma wa watu na ushamba wangu oohh kumbe huku iringa kuna ulanzi na commoni, dah? Ktk participant research lazma ubugie lol,nikaipenda umh? Nikapenda pia...
Pengine ni kukumbushana akuna kipya tushaweka vya kuwekwa na kusomwa na vingine vinalea ndoa za watu leo hii hata kama atujapata ahsantenirudi kwenye mada kuna watu wengi wamekuwa wakiteseka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.