Nina rafiki yangu wa kike ambaye nimefahamiana naye miezi saba iliyopita,ambaye tumekubaliana kuoana.Kwa kipindi chote tumekuwa tukitembeleana na kuchat bila kufanya mapenzi.Hivi karibuni tumeanza...
Bw. Singh mwenye umri wa miaka 65 hajawahi kuoga wala kukata nywele zake tokea mwaka 1974, hiyo ni muda mfupi tu baada ya kuoa. Hii imepelekea kuaminika kwamba pengine Singh ni mwanadamu mwenye...
WanaJF,
Naleta kilio changu kwenu badala ya kwenda kwa baba Paroko kuwa mke wangu ananinyima tunda la mti wa katikati! Amekuwa akitoa visingizio mbalimbali kila ninapokuwa na hamu ya kula tunda...
Najua story yangu itawafanya watu wengi wanifokee lakini nitashukuru kwa msaada wowote nitakaoupata.
Niliolewa na mume wangi April 2010. Ingawa kwa mara ya kwanza sikuwa na nampenda mume wangu...
Wakuu natumaini mko powa... ,jaman mwenzenu kila nikifanya sex "salama" na bby wangu analalamika kuwa namuumiza ingawa kama maandalizi yanakuwa ya kutosha xana mpaka anasema ingiz......,tatizo...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitatizwa na maana ya neno mapenzi. Utakuta mtu akisema amefanya mapenzi na ......... Kwa ufahamu wangu, kufanya mapenzi na mtu ni kwa yule unayempenda tu. Sasa kwa wale...
Mapenzi yana kanuni zake, kanuni ambazo usipozifuata huwezi kupata furaha uliyotarajia. Unapotokea kumpenda mtu, hiyo ni hatua ya kwanza lakini omba sana upate ile bahati ya kumpenda mtu ambaye...
Nilikuwa na marafiki zangu weekend iliyopita tukibadilishana mawazo. Punde likajitokeza swala la kupokea simu ya mpenzi wako. Wengine waliunga mkono, wengine wakapinga kabisa. Kwa sababu hapa kuna...
Amekataa kunikubali kwa kuwa mimi ni shabiki wa Arsenal, huyu pretty chik mzima kweli?
Mara kwa mara huwa navaa uzi wa washika bunduki, na kumpigia misere with huge smile nikimuona. Baada ya...
Kujielewa,
Kujipenda,
Kujithamini,
Kujiamini na
Kujikubali.
Ukiwa na hizo 5K ni moja ya hatua kubwa ya mafanikio
katika kujenga a Strong Personality na utu nafsi wenye Utashi.
Huna...
Ndugu zanguni, nimewahi kuambiwa kuwa kutokana na wanajeshi wa Marekani kukaa muda mrefu kwenye uwanja wa vita huko Iraq bila kukutana na wanawake, utendaji wa wanajeshi hao ulianza kupungua...
wana jf salaam,naombeni ushauri wenu tafadhali,(serious).huyu mmama ana umri unaokadiriwa miaka 40 hivi,tunafanyanae kazi sehemu moja vitengo tofauti.kwa ujumla kazi yangu na yake zinategemeana...
Pindi nilipokuwa na miaka 15, nilikuwa nawatokea mademu wenye miaka 20 mapaka 25. Ilikuwa vigumu sana kukubaliwa, nakumbuka kuna siku mpaka nilipigwa kibao. Mara nyingi waliniambia huna heshima...
Habari zenu waungwana?
Jamani naombeni kujuzwa,mke wangu anatetemeka sana mara baada ya kumaliza kufanya mapenzi,yaani anatetemeka mpaka meno yanagongana,vp hali hii inasababishwa na nn...nn tiba...
Nimeoa mwanamke wa 20yrs tuna mwaka mmoja sasa. tulipokuwa wapenzi aliweza kustahimili goli 4 mpaka 5, cha ajabu sasa akifika kileleni hata kwa bao la kwanza hatak tena. nikitaka mm nipate hata 2...
wana jf napenda kuuliza hivi ,napokua nafanya mapenzi bao la kwanza linanitoka mapema sana yani ila game inayofuata ndo naanza kuchelewa ,je ni tatizo au kawaida tu?
Nawasalimia wana JF
Stori ya kweli
Kuna rafiki yangu (Mimi mwanaume na yeye pia) nimesoma naye shule ya msingi tume kuwa karibu nae sana.
Sasa mambo yenyewe ni kama ifuatavyo:-
Alinieleza...
Kwa kweli sie wanaume huwa tunaanza kwanza na kutamani kisha tunamalizia na kupenda, huyu binti nimemtamani sana baadae nakuta nashindwa kujizuia nampenda, waungwana naomba mnisaidie kunilink na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.