Wana jamvi habarini,
Nina rafiki yangu mdada, anahitaji kuolewa na mchumba wake waliokuwa nae kwa miaka miwili sasa
tatizo huyo muoaji, hataki habari za sherehe ya ndoa,
madai yake ni kupoteza...
Naomba kuwauliza wana jamvi,Mimi ninamzazi mmoja yaani mama ndo aliyebaki kwani Baba yangu alifariki miaka 8 iliyopita kwa upande wetu tumezaliwa wengi na tayari tuna watoto wa kuwazaa wanafikia...
It has come to our attention that the strange things we hear and see through the media are happening right under our nose. (Lesbianism, Sodomy, Incest etc).
A couple was blessed with two...
Nawasalimia wana JF, Mambo.
Aise kunatabia moja kweli huwa siipendi.
Unakuta labda mko sehemu fulani mmekaa eidha kwa maongezi au mmetoka out.
Unakuta, mmetoka na mtu yaani yeye yuko busy na...
Habari zenu wana MMU.
Baada ya salamu niwaulize swali je ni kweli na sisi wanaume tunahitaji kufikishwa kileleni ili kufurahia tendo la ndoa katika mahusiano yete?
Kwasababu kumekuwa na majina...
Salamu zenu wana JF
Jamani mimi mwenzenu ni kijana ninae jishughulisha na ujasiria mali.
Kuna tatizo yaani linanitatiza sana, kunakipindi najisikia mpweke ya najihisi mwepesi na kuwaonea wivu...
baada ya kufanya utafiti na kugundua kuwa upweke huwa unawatesa watu mimi pamoja na kampuni yangu ya MUCH THAN SIMPLICITy, tumeanzisha huduma mpyaaa kabisa, huduma hii ni ya kumliwaza mtu na...
WANA MMU NAOMBENI USHAURI KATIKA HILI MIMI NINA DEMU AMBAYE NIMEMTONGOZA MUDA MREFU LAKINI ANANIAMBIA KWAMBA NISUBIRI TUJUANE NDO ATAKUBALI TENA BAADAYE SANA SO ANATAKA TUWE MARAFIKI KWANZA NA...
You're dating a guy, and it's the crucial first few weeks. You really like this guy, and you're wondering what you can do (or avoid doing) to keep this relationship going and not scare him away...
hamjambo wanajamvi, nina mahusiano na bwana mmoja kwa muda wa miaka 8 sasa. between 2008-2009 tulibreak baada ya mama yangu kumkataa yeye akafunga ndoa, baada ya miaka miwili akataliakiana na...
Wakuu,
Niko abroad nimekuja kufanya masters ya miaka mi2,nimemuacha my sweet girl wangu Tz na ana umri wa miaka 26 now!anajitegemea anafanya kazi na nimemuacha anaishi peke yake,kabla sijaja huku...
kwa sababu wengi wao awataki kuolewa na wanaume ambao wanastruggling pamoja. Awapendi kutoa contribution katika kuakikisha wanakuwa msaada kwa maendeleo ya mwanaume.
Wanakuja kwetu kwa ambao...
Yusufu Amani (39) aliyembaka mwanaye wa kumzaa kisha kumzalisha baada ya kutengana na mkewe Afungwa miaka 30
Hapa akijifunika sipigwe picha baada ya hukumu
Kulia ni mtoto...
Niaje wadau,,
Niko somewhere napata lunch na wafanyakazi wengine wa hiyo kampuni ( mi nimekuja tu kwenye assigment),,
kuna jamaa ameanzishiwa bonge la topic Utaoa Lini na wafanyakazi...
Kabla ya matumizi ya simu, facebook, twiter n.k sanaa ya ushawishi (kutongoza) ilikuwa na styles za pekee kama vile kumsubiri msichana akiwa ametumwa dukani, kuandikiana barua n.k Tupia ya kwako
habari za wikiendi nduguzangu wana jf?
Leo nimeamua kushare na ninyi kisa ambacho kimenitokea usiku wa kuamkia leo kama kama ifuatavyo;
mwanzoni mwa wiki hii rafikiyangu ambaye nilipotezana...
1. Be honest
2. Keep communication open
3. Learn to forgive
4. Never talk about your exes
5. Learn to leave your ego aside
6. Leave the past
7. Work on resulting things under the carpet
8...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.