Jifunze lugha za mapenzi
Hakuna linalouma moyo kama mtu kuachana na aliyempenda. Moyo husafiri kilometa nyingi kwa kuwaza. Hakukosea aliyesema sikitiko la mahaba linashinda msiba. Lakini yote...
Samahan wan Jf naomba mnisaidie kwan hv ni sahih kuwa kwenye mahusiano ya mapenz na mtu halafu ikawa siri.? Marafk wacjue wala watu wa karb.. Hapa kuna mapnz ya kwel jaman??
Ndugu zangu wanaJF kwanza wasalaam. Naomba mnipokee nikiwa member mpya (New)kabisa!Sasa kuna jambo ambalo mara nyingi limejitokeza suala hili kwenye jamii yetu,hasa kwa upande wa akina mama...
Huwa najiuliza sana, Sababu gani zinamfanya mtu abip
1. Je! Unanibip kwakuwa nina pesa zaidi yako?
2. Je! Unanibip kwakuwa hauna salio la kunipigia?
3. Je! Unanibip kwakuwa unahisi...
Hot flushes, night sweats, mood swings - menopause and its side effects can all be blamed on men, experts suggest. Evolutionary geneticists from Canadas McMaster University say mens tendency to...
Nimemridhia rafiki yangu wa kike sasa nataka nikamtambulishe nyumbani kwetu,,ni utaratibu gani huwa unatumika yan naanzaje?pls si utani wanajukwa..nawasilisha
Imekuwa ni desturi yangu kusikia watu wakizungumza juu ya kuoa/kuolewa. Lakini,katika hali ya kushangaza tunasikia wimbi kubwa hasa la vijana wa kike,kulalamika kuacha na wachumba zao.Hii hutokea...
Wiki mbili baada ya harusi mama kamuona mwanae wa kike anakonda mama kamuuliza mwanae
mama"mwanangu vipi maisha ya ndoa"?
Mtoto"kama british air ways"
mama kuchunguza safari la shirika la ndege...
We quiz a group of men to find out whats really attractive in a woman. Check out their answers below; they may surprise you.
1. Funny
If a girl can make me laugh thats a huge plus. Lots of girls...
Leo mida ya saa tatu wakati tunaagana na wife akiwa anasafiri kikazi kama wiki tatu hivi,kwakweli aliponipa busu la kuagana machozi yalinitoka nikajifanya naumwa na kichwa mad wote tukiwa njiani...
Wana JF,
Natumai vyema mko...
Kuna uzi nilirusha kama wiki 2 zilizopita, sasa huu ni muondelezo, na ndo maana nimeuita phase 2...
Hapa ndo nimetoka maeneo ya mikocheni,,, jamaa mkewe alimvizia...
Natanguliza heshima mbele kwa wakubwa kwa wadogo..
Nimetafakari sana kuhusu mvuto uliopo kati ya mtu na jina lake asilia achilia mbali zile a.k.a na nikagundua kuna baadhi ya majina yani...
Hi wana jf
Moja ya njia nilizofikiria kwa mwanaume kumpata mwanamke mzuri kwa maana ya tabia yaani wife material mweny kuheshimu mume, watu na kulea familia vzr ni kujifanya maskini wa kutupwa...
Mimi ni msichana wa miaka 27, sijawahi kushiriki tendo la ndoa maisha yangu( am a virgin), sasa nimeanza mahusiano ya mapenz na tunapendana sana na mwenzangu. Tatizo sijui nina nini maana mara...
Bora nionekane mshamba. Demu wa town sioi mie! Hivi mnajua jamani wanawake wengi wa mjini mmepoteza mvuto wa kuolewa! Sababu nini mnajua? Mmepoteza sifa moja muhimu sana inayomvutia sana mwanaume...
Hello marafiki zangu
Ni siku ingine tena iliyojaa furaha na mihangaiko na mishughuliko yahapa na pale
marafiki zangu leo nimekuja na mada hapo juu isemayo kuwa USIJIDHANIE
UMESIMAMA ANGALIE...
Leo asubuhi, baada ya kumsalimia mama mkwe, ameniuliza mimi na mtoto wake tulikutana wapi? Nimeshindwa kumjibu kwasababu sijaelewa mantiki ya swali lake.
1. Akishajua itamsaidia nini?
2. Au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.