Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Malezi bora na timamu, yanapaswa kuwashirikisha wazazi wote wawili, yaani baba na mama. Wazazi hawa wanaposhirikiana katika kuwapa watoto wao malezi yenye taratibu njema za kimaadili, ni dhahiri...
12 Reactions
59 Replies
4K Views
hata kama ni kupenda mwenzenu nimepitiliza, nampenda hajal hisia zangu nampigia cm hapokei wakat mwingine anajib im tired nataka kulala, nimeamua kukaa kimya labda atanitafuta kimya wiki sasa...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Nimetoka kuipitia bajeti ya serikali mwaka 2013/14 kwenye tovuti na magazeti mbalimbali, najaribu kuitazama katika jicho la kimahusiano naona kuna kizungumkuti kikubwa. Bajeti italeta ugumu sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapenzi wa jf mimi ni kijana wa 29yrs ni mhitimu wa chuo kikuu lakini kazi bado, natafuta mchumba wa kuoa namaanisha, awe mkristo, mcha Mungu, ajali familia yetu kama ilivyo yao, awe ametulia sio...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
jaribu3
0 Reactions
7 Replies
1K Views
marry a lawyer.....its legal marry a doctor....its healthy marry a policeman.....i ts secure marry an actor....its thrilling marry an artist.....its creative marry a businessman.... ..its...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Hi wana jf! Katika moja ya vitu ambavyo cjawahi kufikiri ni kuishi kweny jamii wa wanawake wengi kama Udsm halafu utoke bila kupata mke wa kuish nae sas yamenikuta mana ndo namaliza na npo kweny...
0 Reactions
63 Replies
9K Views
jaribu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nakumbuka nikiwa kidato cha sita paper2 physics ilikuwa ngumu sana kuna jamaa yangu tulipotoka akanambia wakati anafanya mtihan invigilator aliposema 30 minutes to time jamaa alikuwa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimenukuu kwenye kitabu, nafikiri ni maoni ya mwandishi, Sura ya Sita Ndugu wa Karibu na wa mbali kwenye Ndoa Wakati mwingine mtu huweza kufikiri matatizo yanayohusiana na ndugu kwenye ndoa...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Habari wana JF??? Wengi wetu humu tuna watoto na si ajabu wengi ni ‘young parents’ kama sie. Hebu leo tuzungumzie mapenzi kwa watoto wetu, wengi tunawapenda watoto wetu sana na kila mmoja...
0 Reactions
1 Replies
994 Views
Heshima yenu wakuu. Mimi ni mvulana ambae nimekuwa katika uhusiano wa kimapenz na mdada ambae hanikumbuki. Wakat tukiwa secondar IV 2005 Huyu bint alikuwa form I shule hiyo hiyo.nilipo muona...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Leo nlikua nasikiliza radio fulani nikasikia wanasoma barua zilizoandikwa na watoto waliokimbiwa na baba zao. Hii ikanifanya nikumbuke maisha yangu ambayo me pia nimekumbwa na mkumbo huu wa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika Jamii yetu vijana/mabinti wanapokuwa na mahusiano ya Kimapenzi na watu wanaowazidi umri kwa mbali sana inaonekana kama ni Jambo la ajabu, na ndio maana wale wanaoshiriki mahusiano yanamna...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Napenda kuwauliza ndugu zangu, kwa nini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa? Why don't u wait until muoane? Research zinaonyesha hii inasababisha mahusiano mengi yasidumu.
2 Reactions
141 Replies
17K Views
Ukimpenda Mwanaume mwenye PESA au HANDSAM ni sawa na kufungua account NMB hivyo suala la foleni ni la kawaida usichukie ukimkuta mwenzako. Kwa hiyo ni bora mdeal na sisi manyandumbi na wasio na...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Mfanyakazi wa ndani aliyejiua kisa mapenzi aitwaye Devotha Sanga leo ameagwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam. Marehemu Devotha alijinyonga Juni 4 mwaka huu akiwa...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
Eti mimi nataka Mwanaume awe mtanashati,awe Na Kazi yake ya Kueleweka, awe na Pesa,awe amesoma soma May Be Chuo hivi hapo Sawa Vingnevyo tupa Kulee, Wewe Mbona umeishia Darasa la saba? hata Chuo...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Popote alipo anitafute au kama kuna m2 anamfahamu bas ujumbe amfikishie nimempoteza rfk kipenz roho inaniuma xna anafanya kaz NGO,mwembamba,mweupe na mrefu. kama ukiupata ujumbe huu plz naomba...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mie nakaa na mudada mumoja ananisadiaga shughuli zangu.Huyu mudada alikuja kama housegirl but nikamupeleka shule na kumuweka msafi mpaka sasa ninaishi nae. Ni mudogo yangu kabisa. wikiend...
1 Reactions
96 Replies
8K Views
Back
Top Bottom