Kiukweli huwa inanichanganya sana ninapojiuliza swali hili mwenzenu. Wengine wanasema thamani yao ni nyumba nzur, wengine usafiri ulioenda shule na mengine mengi. Najua hapa jamvini hariharibiki...
Mimi nina mchumba wangu(kike), na tunapendana sana, lakini hivi karibuni amepata kazi huko mbugani serengeti kwenye hoteli fulani ya kitalii na inamlipa vizuri sana.
Ila tatizo lililopo ni kwamba...
Stori hii memeipata toka kwa m2 wa 2 ambaye ameombwa ushauri na kunishirikisha. nimeona vema
kuileta hapa JF kwa sababu kuna majembe wa ushauri na hakuna lisilo na jawabu hata km jawabu ni hasi...
Wadau wangu wa MMU mupo?
kama kawiiz kama dawiiz naona gurudumu linasongeshwa ile ile.....!hongereni sana...!
Mi na omba niwaulize tu...hivi kwenye MA-KOPAKOPA
wivu unahusika sana?...
i mean...
mazee, mwenzenu kuna kabint nakalove ile kinomanoma! kenyewe kwa sasa kapo dsm n mm nipo dom bt i will be there soon. kenyewe kanajua kama nakapenda bt hakataki hata kutoa chance ili 2meet. plz...
Huyu ni rafiki yangu mpendwa sana. Tumeachana mara mwisho mwaka 1997 tulipomaliza form four Kolila Sec. School . Anayemfahamu ua kama yeye mwenyewe atapata ujumbe huu anie PM tafadhali.
Comes from the Ocean, The Power of Manhood!
Functions:
1. Improving kidney functions and body condition
2. Promote blood flowing to organs
3. Treating impotence, low sex...
Wewe mwanaume unayesoma hapa, jiulize; huwa unadumu na mwenzi wako? Unaachwa au kukimbiwa baada ya muda mfupi? Kama jibu ni ndiyo, hapa utapata tiba. Sikia nikuambie, wapo wengi ambao kila...
jamani ndugu zangu wana jf naombeni ushaur mimi naishi na wazazi wangu wawili ila huwa ninatoka kwa ajili ya shule sasa tatizo linakuja nacikia kuna uvumi eti kuwa mimi cio mtoto wa baba wanasema...
Wana Jf heshima mbele. Mimi ni kijana mdogo sipo katika ndoa ila katika ukuaji nimewahi kushuhudia mambo ya ajabu. Hapa kwetu Kibamba kuna jamaa ameoa na ana watoto 3 ila huwa anapata tabia za...
Wanajf wenzangu, I have going thru hell in my marriage that I don't see the future anymore. I love my husband verymuch but I have lived a lif of constant emotional abuse that I feel like I am...
Niliulizwa swali hilo baada ya kufanya kosa nisilolijua. Niliombwa na kijana ninayemfahamu siku nyingi kwamba tuwe na muda wa mazungumzo juu ya masuala mbalimbali ya maisha yanayomsibu.
Tukiisha...
Salaaam wana JF
Leo, humu JF nimesoma mdada wa India aliyejiua kwasababu ya mpenzi aliyemcheat, mdada wa kazi aliyejiua kwasababu ya Chris na mdada mwingine aliomba ushauri akitamani kujiua...
NIMEAMKA NA HII TOPIC KWASABABU NILIKUWA NAIWAZA JANA USIKU NA NAOMBA NIWASHIRIKISHE UZOEFU WANGU..... MMEAMKAJE WANA MMU?????????????
Bila kupoteza mda turejee kwa kichwa cha habari hapo juu...
Bob MArley The Legend Album Rastavibe13
Stir it up little darling, stir it up
Come on baby come on and stir it up little darling, stir it up
It's been a long long time since I've got you on my...
Ni rafiki nilepotezana nae mda kidogo. Mkazi wa Dar es Salaam maeneo ya magomeni, baba ake ni afsa upelelezi na alikua na dada yake anafundisha kila karakala girls morogoro na kwa bahati mbaya...
Habari za hasubuhi hapa jamvini! Kuna mdada kapanga kwetu, chumba chake na changu znapakana, kutokana na personality na urembo nmetokea kumpenda. Nifanyeje anipende au hata anipe mchezo kwani...
Wana JF habari za Jumapili!natumain walio wengi wamekwenda kumwabudu Mungu(wakristo kanisani!) Basi sina Budi kushare maneno machache kutoka kwa mtumishi Christopher Mwakasege!
Ni swali muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.