Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakuu salaam sana. Hebu tutafakari pamoja juu ya kupenda /kujali wengine. (Mke/Mume,Mchumba,Marafiki,majirani etc) Nianze na kusema, Ni vigumu sana kumpenda mtu mwingine kama hujipendi mwenyewe...
3 Reactions
0 Replies
4K Views
Kuna dhana kwamba wanawake walioajiriwa wanakabiliwa na mazingira ambayo yanawalazimisha kuingia kwenye vitendo vya kutoka nje ya ndoa zao, ukilinganisha na wanawake ambao hawajaajiriwa hususani...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
:A S-heart-2::A S-heart-2:.................... Its all about love, he came, we shake hands, we smile, we go for juice and lunch togather............ We talk, we hug........., and ear...
13 Reactions
314 Replies
20K Views
Mwanamke mwenzangu ukiyaona haya, stuka mapema. Usije ukasema sikukwambia 1. Utaambiwa safari za kikazi za kila mara 2. Mikutano kazini inayofanyika hadi baada ya muda rasmi wa kazi kila...
5 Reactions
61 Replies
12K Views
IGWEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!! The past few days i was soo negative, im tryin to change and look things from the positive side. Just tryin to add some positivity and optimism in ma life...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mwanaume mmoja wa nchini India ili kumlinda mkewe asitoke nje ya ndoa aliutoboa uke wa mkewe na kuufunga kwa kufuli kila alipokuwa akimuacha peke yake huku funguo za kufuli hilo akitembea nazo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakina dada, Nasikia wanawake mnapenda sana na mnajisikia sana pale wapenzi wenu wanapowaonea wivu. Nimesikia kwamba wivu unakupa confidence kwamba jamaa anakupenda na amezimia mzigo hasa. Hivi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna mengi ya kujiuliza lakini nawachieni wana ukumbi wa Jf muyajadili .
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna mambo mengi hutokea katika kipindi cha uchumba kwa hivyo ni bora tujulisahane. Si kwamba nayafahamu yote ila ninaanzisha mada naomba wanajamii tujadili ili kusaidiana pale mambo yanapokwenda...
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Habari za jioni ndugu zangu.....Hivi jamani kiukweli kabisa kunaweza kuwa na urafiki kati ya mtoto wa kiume na mtoto wa kike bila kupelekea kwenye hisia za mapenzi maana hali ya sasa nayaiona...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana JF, Mimi wa kwangu ilitokea tukiwa University wote tulikuwa tunasoma uhasibu, somo la hesabu likawa tatizo kwake basi nikawa natoa msaada bure basi kadri siku zilivyozidi kuendelea...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Wamekacha vipindi darasani na kwenda kucheza kibaba na kimama jamani huu mchezo waachiwe baba na mama tu. Hawa wakitaga lawama kwa walimu. Ni jikumu la kila mwenye machungu na makuzi na malezi...
3 Reactions
19 Replies
10K Views
1. A girl knows how to demand. A woman knows how to contribute. 2. Girls complain too often. A woman will observe for a while, and then call her man's attention to the matter arising. 3...
0 Reactions
3 Replies
821 Views
  • Closed
Jamani msinitoe macho buree, mie mgeni hapa mjini nauliza tu kutaka kujua!! Hivi kweli mama mkwe (mzaa chema) kila siku anakupigia simu umpitie maskani au saa nyingine kazini na kuuliza...
0 Reactions
73 Replies
49K Views
1-Ni taarifa ya kusikitisha. Imetokea 'TANZANIA'huko Serengeti. Kuna bwana mmoja ambaye tayari kishatangulia mbele ya khaki alioa binti mmoja wa 'KIJITA'kutoka sehemu za'SUGUTI-MUSOMA...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Wakuu wote Salaaam! Kuna bwana nnafanya nae kazi ofisi moja ni msomi wa degree moja, aliyetoka kwenye familia ya maisha duni, baba yake kafariki kama miaka 10 iliyopita, familia yao upande wa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jameni hodi humu MMU, nadhani ni Post yangu ya kwanza Kwenye Jamvi hili, Zamani watu waliliita FB na sentensi tele lakini Bado hili ni Jamvi Nguli, Hakuna asiyependa Wala kupendwa asikwambie Mtu...
3 Reactions
52 Replies
6K Views
Jamaa baada ya kusota miaka mingi bila mtoto, na vipimo vya kitaalamu kuashiria kwamba hana mbegu za kuweza kumpa ujauzito mkewe, alimshawishi rafiki yake kipenzi (aliyejaaliwa watoto wawili)...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
In Spain, a school is offering a professional course in prostitution and it guarantees a job offer on graduation. Spanish company offers professional prostitution courses | Mail Online
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Could be just my imagination.....but... The other day, a group of us (including her) went out. As I was dancing (with her), I started noticing some moves (from her) that made me so...
1 Reactions
55 Replies
14K Views
Back
Top Bottom