Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari wapendwa wana JF,kwa kweli nimekaa nikafikiria na kujiuliza sana juu ya hili swala "kwa wanandoa wengi siku hizi wanasaliti ndoa zao?"....Katika watu nilioongea nao asilimia kubwa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nilimpenda dada wa facebook nikamtongoza tukaelewana akawa mpenzi wangu kweli tulikuwa tunamda mwingi tunachati facebook. Tuna enjoy na utani wa hapa na pale kwakuwa tulipeana namba za simu...
5 Reactions
33 Replies
9K Views
Mdada: Mambo? Mkaka: Poa, vipi hali? Mdada: Safi, nina hali mbaya jamani Mkaka: Kulikoni? Mdada: Deki ya cd imeniharibikia, nimepeleka kwa fundi nimeambiwa mpaka nilipe 9,000! Mkaka: Pole sana...
0 Reactions
70 Replies
4K Views
Never judge a woman by her outward appearance. She may look as beautiful as Miss world but be ‘Satan’s sister.’ She may fool you by her looks, sexual energy and smooth words, but she cannot...
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Panda daladala halafu kosaa kiti simama pembeni ya mdada tena wa heshima.... Wakati safari inaendelea mdada atajitahidi sana bega lake likuguse kwenye zip yako... Sjui wanatafuta kuguswa na nini...
2 Reactions
102 Replies
13K Views
Nikiona mtu anaibiwa nahisi kama naibiwa mimi.. 1999, Himo - Kilimanjaro. Nilikuwa nimemaliza Chuo Kikuu cha Mlimani wanavyokiita watoto wa siku hizi. Enzi zetu ilikuwa ‘The...
19 Reactions
125 Replies
9K Views
Habari wana JF,poleni na majukumu ya kila siku ya kulijenga taifa letu. Nashukuru kwa ushauri wenu na maombi yenu juu ya yaliyonikuta kwa huyo lecturer kama nilivyotuma katika huu mtandao wik...
13 Reactions
132 Replies
9K Views
Habarini za ucku wapendwa.jaman kuna siku niliweka post hapa kuwa nimemmis my ex nahtaji msaada wa kumsahau,nawashukuruni kwani mlinipa pole,kunifarij na mawazo pia thenk u sana kwan naendlelea na...
2 Reactions
54 Replies
4K Views
Jamani kwa wale walioolewa au kuoa, hivi umewahi kujiuliza ni kwanini mwenzako kawaacha woote duniani akakuchagua wewe uwe ndio wake?. unadhani una nini cha ziada kuwazidi wengine? Hebu zama...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nyumbani kwa baba mdogo wangu kila mara wafanyakazi wa ndani wanabadilishwa; kuja kuchunguza nikagundua dingi anawachezeaga rafu, maza akishtuka wanamtimua. Sasa huyu wa sasa ansumbuliwa sana...
0 Reactions
55 Replies
8K Views
Nilimpenda dada wa facebook nikamtongoza tukaelewana akawa mpenzi wangu kweli tulikuwa tuna muda mwingi tunachati facebook. Tuna enjoy na utani wa hapa na pale kwakuwa tulipeana namba za simu...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu heshima kwenu! Nishapata ushauri niliouhitaji...nimeamua kufuta huu uzi... Ahsanteni sana! The Magnificent
0 Reactions
26 Replies
4K Views
unafumania text au piicha ambazo mpenzi wako amepiga na mwanamke mwingine katika kudodosa unagundua ni kweli anatembea naye ukimuangalia na wewe tofauti ukiongozana naye wewe ndo mkali...
1 Reactions
69 Replies
7K Views
Habari za majukumu watu wangu wa nguvu, natumaini mnaendelea vzr na ujenzi wa kujenga Taifa letu la Tanzania, leo nimekuja na huu mkasa ambao umemtokea rafiki yangu wa karibu hivyo nikaona nije...
3 Reactions
143 Replies
12K Views
Habari za asubuhi wana MMU, Naomba tu leo tutafakari na kuwakumbusha hawa ma-secretary wa maofisini tabia za baadhi yao kudharau watu sio nzuri. Kuna wakati niliwahi kupeleka CV yangu ofisi moja...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndoa hii imepata baraka za wazazi na imefungwa mbele ya umati mkubwa wa watu. Mungu ainusuru Afrika, sijui kizazi cha miaka thelathini ijayo kitakuwaje ikiwa mambo yamekuwa hivi tangu sasa. <a...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
natafuta mke wa kuoa shari awe muislamu anae sali sal tano piga cm no 0772850620
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Umri wangu ni miaka 36 elimu yangu ni degree,kazi ni mhasibu serikalini.natafuta mke kabila lolote ambaye ni muislam mwenye elimu kuanzia form iv na ajira serikalini au kampuni.akiwa na mtoto...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
We know you wanna make your guy happy as much as you can, so we got experts to dish advice on how you can please your man. These tips are so simple, you'll be able to execute ASAP and soon your...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom