Huyu aliyefariki jana kwa kujiua ni wa 6 kati ya marafiki zangu ninaowajua, na sababu kubwa ni mkewe, na kati ya hao wote visa vyao ni kama vinashabihiana. Yeye alikuwa anaishi tabora na ameoa...
Waliooa waliowazidi kipato hawana ufanisi
WANAUME waliooa wanawake wenye mishahara mikubwa au vyeo kuwazidi wao, huathirika kisaikolojia wakati wa tendo la ndoa na wengi wao hutoka nje ya ndoa...
Wakuu wa MMU heshima mbele sana,
Poleni na majukumu ya wiki nzima.Naombeni kujua mitizamo yenu juu ya hili... Ni mume/mchumba anaishi mtaa mmoja na baadhi ya wafanyakazi wenzie ambao ni wadada..i...
Naomba msaada wenu wana Jf.
Hivi, Barua ya Posa inaandikwaje?
Lengo la barua ni kuomba uchumba na kuoa (Ndoa/Harusi).
Sasa wajameni, saidieni. Tafadhali mwenye kuweza aitupie hapa jamvini...
Alikosa raha ulipougua! alipigana na kutukanwa ulipoonewa, alikaa na njaa ili wewe ushibe na kufurahi. Aliakikisha halali mpaka ww ulale, na kikubwa zaid mimi na wewe tusingejuana wala kupendana...
Habari wadau? Natumaini mna enjoy weekend yenu vizuri.
Kwa muda mrefu sana ninatafakari nafasi yangu kama mama katika familia, naona umuhimu wa mama kuwepo nyumbani muda mwingi ili kuangalia...
Many men are never taught how to talk to women. Because of this many guys go through life without the ability to attract a woman. Here are 15 tips to help make sure you arent making mistakes with...
Men are biologically more attracted to women with big butts
because this indicates fertility.
Hiyo fact nimekutana nayo [source: The Guardian ]
Nilidhani plants tu ndio zinahitaji mbolea...
Habari wana JF!
Juzi kati nilihudhuria msiba wa jirani yangu ambapo mama wa hapo alikua amefariki.
Kilichofanya nilete hii habari ni juu ya niliyoshuhudia hapo ambapo kwangu yalikua mapya...
Wazee leo yamenikuta jamani, yani unatokea kumpenda msichana, unamueleza nia yako juu yake then bila sababu yoyote ya msingi anakukataa tu. Dah!.....kweli inahitaji moyo na uvumilivu wa hali ya...
Jamani mnisadieni mwenzenu huwa ninatabia ambayo kiukweli mimi binafsi siipendi, huwa ninatabia ya kufanya mchezo wa kuigiza tunatiana na mpenzi wangu, huku mimi nikipga puri(besheni0 na yeye...
kwa wapenzi wapya, hatma ya mahusiano yenu inatikiwa ifahamike wakati gani, ni mara kabla ya kuanza mahusiano au mbele ya safari huko mambo yatajipanga kwenye mstari
Habari wadau wa JF!
Mie na mke wangu tunalala kitanda kimoja na mtoto wetu mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi 8.Tumekuwa tukifikiria kumtafutia kitanda chake ili tuutumie uwanja wetu (kitanda)...
Kitendo kilichofanywa na ndugu zetu wa Arusha Wing, cha kusafiri umbali mrefu kuja kuhani msiba wa mtoto wa KOKUTONA jana ni level ya juu sana ya ubinadamu.
Binafsi nakosa maneno ya kutumia...
Na Samuel Sasali.
Katika Familia ya Mzee Sasali tumekuwa na Msemo uliotukuza enzi hizo ingawa haukuwa na maana sana lakini ulikuwa una tusababishia kutumia fursa vizuri, mara zote ilipokuwa...
A woman was admitted in hospital as she was suffering from brain tumor. Her son & relatives were around her. She died within a few hours. Her son cried the whole day & became ill.
He returned...
1. Make sure you Treat her like a queen,but also dont forget to f**k her like a slut.
2. Give her gifts always.
3. Never scold her before a third party.
4. If you offend her, tell her you are...
​1. Many ladies will end up singles for life because of media exposure- it is so disheartening how a lady will glue her eyes on a mobile phone from morning to night, only to raise it up to...
My boyfriend of one year and I are both recently graduated twentysomethings living at home like true millennials. While this has caused a few bumps in our love life, his mother is very open...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.