Mimi pia ninaye mmoja,na wife pia anajua. Muda wa mtoto kuanza shule umefika. NAOMBA USHAURI: Nimchukue nikae nae au niwe namtumia ada na matumizi mengine akiwa kwa mama yake?
Kutokana na sheria ya ndoa ya Mwaka 1971, ndoa inatafsiriwa kuwa ni muungano wa hiari baina ya mwanaume na mwanamke, muungano unaokusudiwa kudumu kwa muda wote wa maisha yao...
Wana JF hasa wale wenye jinsia ya kike, naomba kuuliza.Hivi kuna haja gani ya mwanamke asiyefika kileleni kufanya mapenzi?. ktk utafiti wangu kwa wale mabinti wasiofika kileleni, wenyewe wanasema...
From me to you....
Mwanaume waukweli hanaga MANENO MENGI,ANAONGEA MANENO MACHACHE,NA ANATENDA MAKUBWA KULIKO ALIYOSEMA...HAPROMISE SANA,ILA ANADELIVER MORE THAN HIS PROMISES..
Mwanaume waukweli...
Mibaba bana inabore sana, mnakaa wiki mbili hamjala ngono siku likinywa vibia vyake uko linakuja linapanda dakika moja kwisha na lina anza kukoroma. Lakini linajifanya mtu wa...
Habari wana JF!
Mungu anasisitiza watu kutokimbilia kufanya ngono kabla ya ndoa akiwa na maana kwamba watu watakapoingia kwenye ndoa wote wawe wapya na mambo yawe safi na ndio mpango wa Mungu...
Habari wana JF!
Hii ni kauli ya mdada mmoja alipokuwa anachangia mada ya jinsi ya kumpa mke orgasm.
Wadada wa JF naomba mtujuze kama kuna ukweli ndani yake maana kama ni kweli basi tutakuwa...
Hivi ukiwa club na ukabamba demu mzuri hata kama siyo club hata safari na ukabahatika kufanya naye mapenzi baadae unaenda kwa mshikaji wako unakuta ni demu wake utafanyeje utaendelea kutafuna au...
Kujitolea mbegu za kiume (sperm) na mayai ya kike (Egg) [hasa kwa wale walioshindwa kupata watoto] ni biashara inayokua kwa kasi sana mjini Kampala. Ni sawa na ilivyo hatari na bado mpaka sasa...
Wajameni wahaya wa kiume popote mlipo hakikisheni kwenye masuala ya Ma lovee mnadeal na wadada wa kichagga. Wanataka kujisahahu kidogo...ikiwezekana wapreginantini (msisahau buhaya technology...
Habarini ndugu wana JF....
Naombeni ushauri wenu katika jambo hili linalonitatiza...kuna mwanaume nimekuwa nikiishi nae takribani miaka miwili sasa.
Kisheria ni kama Mume ila moyoni mwangu...
Ni mwanadada tunafanya nae kazi, anatarajia mtoto wake wa pili kuzaliwa hivi karibuni (Mungu akijalia). Kinachomtatiza ni kuwa amepata housegirl mpya baada ya aliyekuwepo kuolewa hivi karibuni...
Habari wanajamvi
Ni matumaini yangu kuwa mko wazima wa afya njema na mnaendelea vizuri na shughuili
zenu, wengine mko katika shamrashamra za weekend na wengine katika hafla mbalimbali
za...
We have to agree that majority of our ancestors had sex mainly for reproduction.Sex pleasure was very minor .Till now i think that those who are polygamists treat sex as a reproduction and not...
Nimepatwa na mshtuko baada ya kupata majibu ya DNA yakionyesha mtoto niliekuwa na wasiwasi nae kwamba nimebambikiwa ni wakwangu tena kwa asilimia 99.99%.....ilikuwa hivi, mimi ni mtanzania kabila...
Wanawake wanamachale sana kuliko wanaume...... mara nyingi akikutuhumu umefanya kosa/kitu unakuta ni kweli asilimia 90.
Wengi tunaishiaga kuwagombeza kwa kuwabadilishia kibao lakini moyoni unajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.