Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Swali la kizushi kwa wana mmu! Hivi ukimkuta mke wako anagombana na kimada chako then hawajuani (ni ugomvi wao ambao hauhusiani na mume) Je wewe kama mume utamuamulia nani?
0 Reactions
20 Replies
2K Views
WanaMMU, Napenda kujua kweli inawezekana kuishi maisha ya "Open Relationship" na wote mkawa na amani rohoni?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Men!!!Men!!!Men !!! So complicated,So confusing,So hard to please. If u try 2 pls dem, u re cheap. If u make love (sex) to them, u're a LovePeddler. If u don't, u re playing hard to get. If u...
12 Reactions
42 Replies
4K Views
.........Tuambizane ukweli ni lini na mara ya mwisho umepokea Busu/kiss lenye mahaba ya dhati toka moyoni...kutoka kwa umpendaye.. wife/husband... hii ni kwa wale wenye ndoa za muda miaka 2 kwenda...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
kwa nn ndoa uvunjika na wapenzi kuachana.toasababu 1 kubwa na sababu nyingine zisizopungua 1oo. [Edwin E Kulwa] Leo naendelea kujibu moja kati ya maswali 30 niliyoulizwa.Edwin E Kulwa alitaka...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Za Jumapili wana jamvi? Nimepata demu wa kizungu kupitia mtandaoni, naomba kujuzwa ni watu wa aina gani nisijekuukwaa mkenge ndugu zangu. Najua jamvi hili wapo wajuvi tusaidiane jamani
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Una Boyfriend,Unampenda ile mbaya,anajua unampenda na hufurukuti,anakusumbua kwelikweli,wewe na kisima cha machozi ni Mutual Friends,kwa mwaka unalia mara nyingi kuliko Kikundi cha Waombolezaji wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshma zenyu mabwana na mabibi wa Bodi. Katika mishemishe za kutafuta tonge, wakati flani nilipata kuishi Kampala maeneo ya Kabalagala, Chikubamtwe street. Miongoni mwa silka nilizonazo mojawapo...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Wewe una mishe na mtu fulani,aidha umeanza naye mahusiano juzi juzi tu bado watu hawajafahamu;au ndio upo kwenye harakati za kumpata tayari ulishaongea naye,akakuelewa na kuna dalili kuwa mambo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk
0 Reactions
10 Replies
2K Views
1.Ndio kauli aliyonipa baada ya salamu. Nimemfahamu kwa miaka takribani 8,kimuonekana ameshatoka kwenye usichana na kwa makadilio kanizidi kama miaka 7-10hivi. Kuhusu shepu 'mashaallah'ni...
3 Reactions
76 Replies
9K Views
Wana jamvi msinichoke,Mimi ni mwanamke mzuri,mwenye sifa zote nzuri za mwanamke Lakini cha kushangaza sipati mchumba ni miaka mitano sasa Nipo single,Hali hii nimechoka Nisaidieni jamani,
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Kila siku nirudipo kazini,huwa na uchovu,siku zingine mwingi au kiasi,na niingiapo kitandani hutaka tu nilale basi,sasa nahisi namuhuzunisha mume wangu jamani nisaidieni ananielewa henda stress za...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Kuna uvumi kwamba baadhi ya miti inaweza kukuza uume hasa baada ya kujichanja na kupaka maji/utomvu wake(mfano kuna mti unaitwa muegea)je ni kweli?naomba mawazo yenu na ukweli juu ya hili.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari zenu wa jf, jamani huyu mwanamke ata simpatii picha, for the first time nilimkuta ana shanga kwenye kiuno chake takriban 40, nahic atakuwa ana pepo la ngono, kabla hata hatujaanza chochote...
1 Reactions
48 Replies
29K Views
Juzi juzi wakati natoka kazini nilipita mgahawa mmoja ili kupata chakula cha mchana,kama kawaida nilipewa huduma kama mteja lakini wakati nakula chakula alitokea binti mmoja ambaye alikuwa...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Jamani,niliwahi kuandika kwa kutaka kujua ni idadi gani ya mabao ambayo standard kwa mwanaume anapokuwa ana-do na mpenzi/mke wake lkn kwa bahati mbaya sijui nili violate taratibu za humu jamvini...
0 Reactions
67 Replies
5K Views
habari wana jf? Jumapili inasemaje? Leo napenda kuwahasa na kuwaonya wale wote wanaopenda kula chabo katika vyumba vya watu especially wakihisi kunawapenzi wanatimiza au wanavunja amri ya 6...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mbunge wa Viti Maalum, Leticia Nyerere (Chadema), ameitaka serikali kuanzisha kituo maalum cha kuwafundishia wanaume wanaopenda ngono ya dezo kutoka kwa walemavu wa viungo au akili. Ushauri huo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna mwanamke mmoja alimuomba mpangaji mwenzake wa kiume ndoo ya kuogea,alipomaliza kuoga akamrudishia jamaa ndoo yake. Baadae akakumbuka kama amesahau chupi yake kwenye ile ndoo, akamwambia yule...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Back
Top Bottom