Wanawake wa siku hizi..Wana uongo kuliko Dibaji wa kwenye Kamusi yaIbilisi wanajua kukuchota akili balaa,ilimradi uingie kwenye 18 umuoe...Ukimtongoza anajifanya kama vile we ndo Mwanaume wake wa...
Mapenzi ni usanii?
Ni msukumo wa matamanio yatokanayo na silika inayoongozwa na mwamsho wa viungo vya uzazi mwilini?
Kwa nini mwanaume yuko tayari kupata hasara ili mradi afanikiwe kumpata...
habari wana jf mimi ni kijana mwenye famili ya mke na watoto 2 mke hiv karibuni kama mwezi na nusu amesafiri kama unavyojua kwetu sisi wanaume kuvumilia kale kamchezo katupite ni vigumu basi...
Hi!
Kama utatulizana kufanya ngono hadi wakati wa ndoa ni vigumu kucheat kwani utakuwa umeridhika na mmoja na siku zote utaona utamu alio nao ndiyo wa pekee kuliko wengine. Lakini kama ulikuwa ni...
Habari wana jamvi?
Leo napenda nishare nanyi hili. Kuna rafiki yangu ofisini kwetu kaniomba ushauri ambao nikaona niwaletee nanyi tupate kubadilishana uzoefu.
Jamaa analalamika kuwa mkewe...
Kuna hili jambo naombeni msaada wenu:
MWANAUME:
Umeo na unaishi na mkeo katika ndoa na mnawatoto wazuri. Inatokea kwa bahati mbaya Mkeo anasafiri na kupatwa na Ajali mbaya sana ambapo katika...
nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na...
Wakati mwingne wanaume au watu tofauti hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa wanafanya hivyo kwa sababu ya kutafuta soko kwa wanaume.
Inawezekana kukawa na wale ambao wana sababu...
The beauty of a woman Is not in the clothes she wears, The figure that she carries, Or the way she combs her hair. The beauty of a woman must be seen from in her eyes, Because that is the doorway...
Wana MMU,
Nimekuwa msomaji wa threads mara nyingi kuliko kuchangia kwa muda mrefu, ila leo naomba na mimi nichangie japo kidogo. Hoja yangu inahusu wanaume na mapenzi. Nimeona kuna wanaume mara...
IGWEEEEEEEEEEEEEEE! !!!!!!!!!!!
Sijui ni watu siku hizi mishipa ya aibu imewakatika au ni kwamba nimezeeka sasa so ndo nakomazwa! Mh! Hali tete.
Recently nimenotice hususani vijana wote wa kike...
How often do you pause to appreciate your life? How often do you stop dead in your tracks and think, "Goodness, I have it pretty damn good"?
Even when life is far from perfect, it'simportant to...
India haiishi vituko, kuna mwanamke mwenye waume watano, ambao wote ni makaka wa familia moja na analala na kila mmoja kwa siku tofauti, sijuia kama huko kuna mambo ya TAMWA ama ndo tamaduni zao...
Kwa kawaida wanaume na wanawake wanazo tofauti za kimaumbile. Kuna wakati tofauti hizi huweza kusababisha ufa kwenye uhusiano na hata kuangusha kabisa ndoa. Leo nimeona ni vyema kwa wanawake kujua...
Wanafunzi wawili huko India wamebuni kivazi cha ndani cha wanawake maarufu kama sidiria ama bra maalumu ambapo lengo lake ni kusaidia kukomesha wabakaji!!! (mabwaku!!). Bra hiyo ya aina yake...
Habari za jumamosi wana jamvi matumaini yng nyote wazima
Mimi kero yng ni kwa baadhi ya wanaume ambao wanaanzisha mahusiano na mwanamke alf anaanza kuringa mara asipokee simu na yeye hawezi hata...
Wasichana wengine matatizo sana, yaani akikaa kwene mahusiano bila kuleta chokochoko haoni raha anatafuta sababu hadi mgombane, mara akague simu akikuta hakuna sms yoyote kutoka kwa msichana...
Jamani, ni kwamba Afrika ndo kumekucha au kumekuchwa? Ndoa ya kwanza ya mashoga barani Afrika yafungwa nchini Afrika Kusini. Naiita ya kwanza kwa sababu ni ndoa ya kwanza iliyofungwa rasmi, katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.