Naanza mimi; nilimpenda kwa sababu ya upole wake, rangi yake ya ngozi (kutopenda kujichubua), kutopenda kuweka dawa kichwani - anapenda kusuka rasta. Mengine yalifuata baadaye, wewe je?
Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam,
Ilikuwa ni juzi ya jumamosi nilipofunga ndoa ya kikristo.
Nimefungua ukurasa mpya wa maisha.
Nimaisha yanayohitaji umakini sana ktk kila...
Wakuu, nami leo nimekuja kivingine!!
Inasemekana wanawake wengi wenye ndoa wanakuwa na tabia zifuatazo zinazosababisha waume zao kwenda nje ya ndoa na wale wasio na tabia ya nyumba ndogo wanaishia...
Domestic violence (Kwa maana ya language, physical or sexua abuse/assault) ni jmabo linanikera sana na linanitia udhuni. Kwa muda mrefu niliwaza kuweka thread yenye kuhusu domestic violence ila...
Habari marafiki zangu
Natumai mko fiti na mnaendelea na shughuli,kazi na masomo yenu vyema
Leo nimeonelea nizungumze nanyi akina dada/wanawake wa humu mjengoni
kuhusu masuala yetu wanawake...
nimegundua mpenzi wangu anamahusiano na msichana mwingine, nilipomuuliza akadai ni kweli but wameshaachana kwa sasa, kumuuliz huyo msichana wake kaniambia bado wako wote na wanampango wa...
Moja ya Habari za kichunguzi niliozipenda sana ni ya huyu dada........so far kaangalia matatizo halisi yanayozikabili sio tu jamii ya kitanzania bali ni almost jamii nyingi za kiaafrika na zaidi...
kwa mujibu wa kichwa cha habari wakuu nisaidieni mbona siku hizi jamani kuvaa kwa surwali za mibano a.k.a taiti tena inayoweka mambo hadharani ni swala la kawaida? na kwa walionizidi umri miaka...
Habar wana MMU!
Kipind cha nyuma kidogo nshawah kuomba ushaur hapa jukwaan kuhusu x-girl friend wangu, mlinishaur vzr sana na ushaur wenu niliutumia.
Short review
Nikuwa na msichana ambae...
Mwezi uliopita kaka yangu alioa na tukasherehekea kwa furaha sana, jpili iliyopita wanandoa hao wakaja kanisani kushukuru Mungu pamoja na wote walioshiriki, wakapewa nafasi ya kushuhudia lolote...
Kiukweli mimi sio mtu wa kuonyesha haya 'makea artificial' kwa mke wangu, nikizingatia kuwa akiyazoe ntakuwa 'sina jipya' alafu atanchoka.
Sasa siku moja tulitinga harusini na my beloved wife, na...
Siku zote nilikuwa nayasikia tu ...leo nimelazimika kulikabili kwa maumivu na mshtuko!
Nimebahatika kuwa ni mtu ninaye aminika sana kwa watu ,mara nyingi watu huniambia mabo yao ya ndani kwa...
Kwenye evolution theories tumesoma kuwa tendo la ndoa(mapenzi) ni kwa ajili hasa ya kuzaliana na kuongeza viumbe. Hii ipo kwenye mimea na hata wanyama. Tukichimba mbali zaidi tunaambiwa sex was a...
Ukweli nimekwama pale ninapo sign in katika email account yangu. Id yangu hakika ni sawa. Password pia ni sawa. Baada ya kujaza na kusaign in kinakuja kile kibox cha draw image nikisha do hivyo...
Inasemekana wanawake wengi wenye ndoa wanakuwa na tabia zifuatazo zinazosababisha waume zao kwenda nje ya ndoa na wale wasio na tabia ya nyumba ndogo wanaishia kubakwa na waume zao
Mwanamke...
Leave Me Alone, She Is My Wife I Can Do What I Want With Her
KUWAIT CITY, : A Kuwaiti man recently who was beating his wife in broad daylight on the Ahmed Jaber Street in Sharq shouted at the...
Mwanaume asifiwi sura anasiwa kazi , MWANAMKE TABIA SI MAVAZI ,siku zote tamaa ya fisi haimfikishi mtu mbali mwanaume mzima kumendea vibinti vidogo ndo husiseme ,wadada nanyi mmekubuhu mwanamke...
Wakuu,
Naomba niwahusishe katika hili tatizo langu. Nina mchumba wangu ambaye tuko kwenye mausiano kwa miaka mitano. Kwa bahati nzuri mchumba wangu anaujauzito.
Tatizo linakuja kuwa wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.