Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kungekuwa na Chuo cha mahusiano na mapenzi; vijana takriban wote wangekuwa wasomi kwa level ya degree, masters, PHD and ... kwa kuwa na aghlabu sana, kwa vijana wa leo kuto jihusisha na mapenzi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nina miaka 33,nimeoa ndoa ya kikristo miaka 5 ilopita,na nina watoto 2. Nashindwa kujua tatizo langu ni nini,mke wangu ni mrembo wa sura,ananipenda na namwamini kuwa hana mtu nje,lkn kwa kweli...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
We all have exes. Ex crushes, ex fiancés, ex boyfriends, ex husbands, and ex- people who never knew we ever existed. At one point in life we met someone we truly loved and had to let go of for...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu kuna mwanangu (mtoto wa kaka yangu) amepata mchumba kutoka Tabora na ni Mnyamwezi (asili Nzega wakahamia Igunga) . Hakika binti anampenda sana mchumba ila mama yake amekuwa na wasiwasi kwa...
0 Reactions
63 Replies
38K Views
Unajua mwanaume ni kiumbe weak sana inapokuja Kwenye swala la mchochomeo sasa hivi ni vitu ambavyo ukifanya Kama mke sio girlfriend, mume wako atakuwa na kiwewe cha maisha akitembea atakuwa...
14 Reactions
101 Replies
107K Views
Wakati fulani mwaka 2005 huko nchini New Zealand mama mmoja Ng Mee Kwan raia wa Malaysia aliyekuwa na umri wa miaka 41 wakati huo alijaribu suluhu isiyo na matunda kutaka kupunguza kasi ya mchumba...
9 Reactions
129 Replies
63K Views
Jamani tunakoelekea sasa ni kubaya.. Jamaa angu muislam alikuwa na girlfriend wake mkristo mapenzi yao yalidumu kwa mwaka mmoja na nusu hiv lakin hiv karibuni ndo wakaparaganyika kwa sababu yule...
3 Reactions
63 Replies
6K Views
Wana jamvi naomba mnisaidie kumtafutia rafiki yangu rafiki yake anayeitwa Anastanzia Garonga ni mwanafunzi wa Kidato cha sita Ifunda Girls(EGM)kama kuna mwalimu humu au mwanafunzi yeyote ampe...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Happy birthday Song 4 someone special (w/lyrics) - YouTube
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wana Jamvi! Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima na Baraka zake Alah zi pamoja nasi. Baada ya salamu nirudi kwenye topic. Nimekuwa nikiona/kusikia juu ya neno Handsome liokitumika kama...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Kama kuna mwanaume asiyetia malaya dunia hii atakuwa si riziki au ana matatizo. Kumbuka hata watu safi kama tiger wood wanatia machangu. Na kwa uzoefu wangu kila safari za serikali tunapokua nje...
3 Reactions
136 Replies
14K Views
ACHA KUSUBIRI MWANAUME AKWAMBIE ANAKUPENDA,KAMA UNAMPENDA MWAMBIE.....Tu Hili mnalizungumziaje wadau? Mwanaume...mwanamke akikufata kukwambia anakupenda utaichukuliaje? Mwanamke...kama kuna...
9 Reactions
69 Replies
9K Views
Hivi wana JF kuna uhusiano gani kati ya hii lugha ya malkia na mapenzi?.Nimejaribu kufanya uchungunzi mdogo nimegundua kwamba CARD au SMS nyingi za mapenzi zimeandikwa/zinaandikwa kwa luga ya...
1 Reactions
41 Replies
13K Views
Ndo kwanza mna wiki 8 unaanza kumuuliza maswali kibao,ooh utanioa lini,lini unakuja kumuona mama..Mamako mwenyewe alisubiri Posa miaka 6 kutoka kwa babako,tena kwa heshima zote kwa kuvaa sketi za...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
I hope ni wazima wanajf,katika pitapita zangu nimegudua kitu kuhusu kiss, mara nyingi mkiwa mnapiga kiss na mpenzi wako hasa kiss ya face 2 face mmoja au wote lazima mfumbe macho, ni kwanini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani wana JR naomba tusaidiane ktk hli mana najiulizaga cpati jbu, mwez wa pili nikiwa kanisani ktk harusi ya rafiki yangu(yeye alikua hana mimba) ktk ndoa saba zilizofungwa wanawake wa5 walikua...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Uhusiano Bora lazima uanzie kwa urafiki kati yenu,then mnafall in love na kuwa wapenzi,baada ya hapo mnashibana na kuwa Best Friends...Uhusiano usipopita hatua hizi mmechemka..Lovers must be best...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wa na jf? Wanajamvi hali ya maisha yangu kwa sasa imekuwa tete. Tangu dec 2012 nipo jijini kwa uncle tumbo moja na mama kwa minajili ya kumsaidia katika shughuli zake za biashara na...
1 Reactions
71 Replies
8K Views
Kila Mtu Maishani kwake anaye mpenzi wake wa kwanza. Kuna walio na bahati ya kuwa na wapenzi wao wa mwanzo mpaka leo na wengine wapo katika ndoa zao. Mungu awape kila la kheri. Ila tupo wa kina...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Si mchezo jaman watu wanaoana aiseee njian kial gari lina bibiharusi inatia moyo ila nkaona wanba jamvi si mbaya kuliza hizi ndoa zot za upendo wa kweli ama ndio zile kuchungula mwenza how much...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom