Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari zenu wanajamvi! Eti waungwana,raha ya mapenzi ni nini hasa?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, Nakumbuka ilikuwa tarehe 6/2/2013 nilipoleta tatizo kwenye jukwaa hili kuhusiana na mpenzi wangu kutaka kuniacha kisa siwezi kumridhisha(zaidi ya goli moja).Nawashukuru sana tena...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Naombeni ushauri wenu juu ya haya mapenzi, nina mpenzi wangu tunaeishi nae mkoa mmoja ktk kanda ya kati, ananipenda sana na huwa msaada wangu mkubwa ktk haya maisha, ila tatzo lake tayar ana mtoto...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
duuh yaan now days full kudanganyana mfano kwenye hizi social networks waume za watu kwa wanawake za watu ndipo wanapotumia kucheat face name n identity ndizo za tumika ilimradi tuu muendelezo wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mpaka ufikia mtu kuitelekeza familia yake, kunywa sumu na kujiua. Embu oneni mapenzi
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sijawahi ona au kusikia Mbunge wa Jamhuri ya Muungano Tanzania ni mjamzito na amejifungua!Jee na hao wabunge vijana mabinti hawaoni kuwa muda wao unaenda,kuna sheri ainayaowakata kupata ujauzito...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa biblia,uumbwaji wa mwanamke haukuwa mpango wa Mungu at the first place ' Aliekua mpango wa Mungu ni mwanaume ndo maana ndie aliekabidhiwa Eden(Mwa 2:15) ' Mwanamke hakuumbwa...
8 Reactions
170 Replies
13K Views
jamani kwa nini mtu anakuadd on fb then unamkubalia uzuri mnakua marafiki hamufiki hata 2 weeks or mwenzi anasema anakupenda si mmmoja wala kumi na moja wote katika list yangu wengi nawajua ila...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
inabidi tu leo niseme mwanamke mimi! eti mimi nimewabatiza wanawake wote wanotembea na waume wa wenzao na kuwaita vibaka wa ndoa! is it a very negative name au ni sawa? kwa nini hatwtulii nao...
0 Reactions
117 Replies
7K Views
NIliosomanao ISENGA S/M MWANZ nawatafu,philibat chando{chogo} mdogowake lei chando.lugalema lwiza{mcholaji} sami msindai{bonde la ufa} mtoto wa mgana msindai.chilistina joseph. magera machumu...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari wana JF, Maandiko matakatifu biblia na kuran Zote ZInasisitiza kutofanya tendo la ndoa mpaka kuoa/kuolewa.Kama mdada/mkaka atakuwa na mahusiano mengi kabla ya ndoa basi ujue hata...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Padre aliye kuwa akisoma chuo cha Ardhi Dar Celestine John Nyaumba wa kanisa katoliki Homboro Dodoma, amemjeruhi mpenzi wake vile vile ni mzazi mwenzie wa maili mbili Dodoma alimwita Dar aje ale...
1 Reactions
73 Replies
11K Views
Ilikuwa mwaka 1995 nikiwa niko kidato cha nne. Unajua tena shule ambayo nilisoma ilikuwa ya wavulana tu na isitoshe haina A-Level. Mwaka huo mimi nilikuwa kinala hapo shuleni japo shida ya maji...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Oh no! At first I could not understand whysomeone would call a grown man “honey” “sugar” or “sweetie” because it seemedweird. I could only say that to the babies. As time passed, I realized that...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Oh no! At first I could not understand whysomeone would call a grown man “honey” “sugar” or “sweetie” because it seemedweird. I could only say that to our babies. As time passed, I realized that...
0 Reactions
1 Replies
884 Views
....nakumbukia ya Ngoswe; Penzi kitovu cha uzembe... ...hivi mapenzi ya makazini (flirts & flings) ngumu kuepukika ee? ati no strings attached,khaa? Muwe na wikiendi njema aisee, nimepita...
5 Reactions
48 Replies
7K Views
Mnamo 2010 baada ya hustleling za shule na stress za kusubiri matokeo.niliamua kujiunga kampuni moja ya kuzalisha vinywaji vikali hapa dsm. kama kawaida ya kibarua dili zake kubwa ni kupenya na...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu kuna hiki kitu kimekuwa kikinitatiza saana kujua chanzo halisia cha wanandoa kutoelewana kila kukicha wakati wa uchumba wao walikuwa wanaelewa na walikuwa pamoja kwa kila kitu. Hivi hiki...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Wasichana wengi siku hizi wanaumia kwa sababu they always looking for handsome guys wa ku date nao, kuzaa nao na hata kuolewa nao. Mnadhani maisha yanaishia kwenye picha za harusi jinsi...
12 Reactions
48 Replies
4K Views
Back
Top Bottom