Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kama unataka mapenzi ya kuchunana sina shida ila elewa wewe ni kama bidhaa niliyoinunu na nina madaraka yote juu yako. Unajua kabisa mahusiano yetu yamekaa kimaslahi, nakulipia kodi ya nyumba...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
hope wote mmechaguliwa kuiona tena leo kwa wagonjwa mungu awatie nguvu Back to the topic;ulikua unamuamini sana mpenzi wako ingawa ulikua ukisikia ni bonge ya player na ulikua unaignore kwa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mara nyingi uhusiano kati ya mawifi (mke na dada wa mume) unakuwa na walakini (hawapatani, hawapendani). Inaweza kuwa mke hawapendi dada wa mumewe au dada hawampendi mke wa kaka yao. Athari za...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Anayejua kuvaa, anayejua kujikwapua, anayejua kujishau, anajua kujichubua au anayejua kula hela ya mumewe vizuri...!? Kwa mujibu wa wataalam wa mambo haya mwanamke bora katika ndoa ni ...
1 Reactions
33 Replies
8K Views
Wanaume wengine hutoa kila kisingizio na kisababu cha kutotaka kutumia kondom … Mara kadhaa atasema: " Ninataka kuwa karibu nawe zaidi mpenzi! Nakupenda sana! kwani wewe hunipendi?" ...
0 Reactions
46 Replies
9K Views
Long Island doctor Richard Batista to estranged wife: Give me my kidney back or $1.5M By LARRY McSHANE DAILY NEWS STAFF WRITERS Thursday, January 8th 2009, 2:30 AM Dr. Richard Batista...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
A Maswa District resident has hanged himself after his wife reportedly ran off with another man. Police said 28-year-old John Amos killed himself on Tuesday at Igumanghobo Village after...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
.......katika pitapita zangu leo jioni hapa na pale nikipooza koo... nimekutana na vijana wakibishana .. kwamba .... Mwanaume ambaye hajatahiriwa anafurahia mapenzi zaidi akiwa na mpenzie tofauti...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Baada ya kuweka thread ya Mtu wa kula nae bata,nilibahatika kumpata,lakini alichonifanya sintasahau Jamani mpenzi si kukomoana,alinipelekesha nikajikuta hospital sijitambui
0 Reactions
67 Replies
4K Views
Kuna mahali nimeisoma hii leo na ninakaribia kuamini ni kweli. Inadaiwa kisa cha kina dada kumchukia mwanamke anayeolewa na kaka yao ni wivu wa kimapenzi juu ya kaka yao. Eti ukiona dada...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
A doctor entered the hospital in hurry after being called in for an urgent surgery. He answered the call as soon as possible, changed his clothes & went directly to the surgery block. He found the...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi kijana mwenye siha nzuri na mwenekano mzuri wa kiume. Nina girlfriend wangu wa kitambo sana. Toka tumekuwa na mahusiano atajuwai kukutana kimwili. Nimesha amua kwa dhati kumuoa awe mke wangu...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
miaka saba iliyopita nikikua katika mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja ambaye alikua bikra ilikua kama ifuatavyo. Binti alikua wa kwanza kunitongoza pindi nilipoenda kwao sababu kaka yake...
0 Reactions
82 Replies
18K Views
Mimi ni mama wa watoto wawili mapacha. Niliolewa 2010 na kijana m handsome sana. Sikufanya effort yeyote kumpata. Sikumwendea kwa waganga wala sikulala makaburini ili anioe. Nilikutanae kwenye...
1 Reactions
72 Replies
6K Views
Juzi nilikuwa namtafuta shosti kwa dharura, akaniambia yupo salon anasuka, akanielekeza nikaona nimfwate.... wakati tunaongea, kulikuwa na mrembo mmoja pembeni anashonea weaving na kutengenezwa...
32 Reactions
245 Replies
14K Views
KAMA ZINAFAHAMIKA ITAKUWA VEMA LAKINI SIYO MBAYA KUJIKUMBUSHA. Get fewer colds because of an increase in immunoglobulin A, an antibody that fights infection Women can get more...
5 Reactions
70 Replies
23K Views
Je unapenda mwanamke wa aina gani? Wa kumuandaa taratibu na kwa muda mrefu na wa ku do nae kwa muda mrefu hadi afike climax au unapenda mwanamke wa fasta fasta kama RARA NIKURARE STYLE?
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari wana JF, Hii ni kauli niliyoisikia kutoka kwa mama mmoja aliyekuwa analalamika kwamba hajawahi kupata orgasm ambayo huishia kuisoma tu vitabuni. Kwa sasa amezaa ana watoto 5 lakini anasema...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimefanya kauchunguzi changu takriban mwezi na nimegundua asilimia kubwa ya wanawake wanafuga kucha mkono wa kushoto...kaswali wanamaanisha nini wanapofuga kucha mkono wa kushoto ama zinawasaidia...
0 Reactions
94 Replies
19K Views
Mhh swala la usafi ni mtihani wandugu, ANGALIZO: HII NI MAALUMU KWA WENYE TABIA HIZI TU NA SIO WOTE Pamoja na kwamba siku hizi nguo za ndani kama braa na chupi zimejaa kariakoo, mchina...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom