Nina iman kubwa sana kwa wadada ktk mazngra yote. A woman can mek thngs hapen jaman! Why dont we trust in these God given gift entrusted to us women! Hakuna k2 kinachoniuma kama kuona...
Si kwa sababu upo katika matatizo ya mahusiano yako ndiyo uache kama ilivyo. Penzi la kweli huwa katika muda wote, aijalishi kitu gani kimeingilia katikati.
Jifunze jinsi ya kutatua matatizo...
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!!
IGWEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!
WHITE PARTY ni kesho pale Kebbys watu classic tunaenda kujiachia kistaarabu! Nimelipa na nitatokea (Mimi sio mswazi i keep my...
nina mpenz wangu huu n mwaka wa tano sasa hataki kunitambulisha kwao wala kunizungumzia kwa marafiki zake.na ikitokea tuenda sehemu anataka tukutane huko huko.kibaya zaidi tupo hostel moja kwa...
Hata umpende vipi. Na hata umsifie sana. Tena hata umpikie vyakula vitamu na vinono. Au umnunulie zawadi nzuri nzuri. Vile vile umsaidie kimaisha na kimawazo. Umuimbie nyimbo tamu pia. Siri zako...
Napenda kuishukuru JF kwa kuwa kiunganishi baina yangu na mume wangu mtarajiwa.
December nimevalishwa pete na taratibu zote za kimila zinafuata.
Ilikuwa kama utani but nimempata wangu wa...
At times when i go through journals and ,newspapers . I hear parents who disown children for several reasons. Notable among them are
TEENAGE PREGNANCY
Fathers often disown their daughters...
Utafiti mpya na wa kina kabisa umeonesha kuwa asilimia 85 ya wanawake duniani kote huwa wanafanya mapenzi saa 5 usiku kila Jumamosi.
Kwa mujibu wa utafiti huo uliozingatia vigezo vya kibinadamu...
Wanajamii na Wapenzi wa Bongo Movie
Tunatarajia kuanza kufanya Movie Productions based on True Stories only.
Stories tunazohitaji lazima ziwe na mafunzo katika jamii na "very moving" with...
Habari zénu?
Nimegundua wanawake wengi wanaridhika kutandikiwa vitanda na hg.Kwa kweli tunaenda kinyume na maadili,mwanamke pambo la nyumba"haimaanishi kupaka make up tu" usafi wa Chumbani...
1. Wanawake wana roho mbaya sana
Started by Nduka Original, 17th February 2012 22:26
10 Pages
1 2 3 4 5 ... 10
1. Wanawake wengine bwana
Started by Nduka Original, 30th May 2012 16:43
2...
Have you been kissing lots of frogs
while eagerly awaiting your prince?
If youre having little luck, it might
be time to start changing where
and with whom you mingle. Watch
out where you go...
Wanajamii na Wapenzi wa Bongo Music
Tumefungua Music Production Studio ya Kisasa.
Kama una kipaji cha kutunga na kuimba nyimbo na huna msaada wowote wa kufanikisha adhima yako tunaweza...
Wakuu nimejaribu kuusumbua ubongo wangu lakini sijapata jibu, nimeona niwashirikishe huenda mwisho wa siku jibu likapatikana, nauliza hivi:-
je mapenzi ni kitu kinachoibuka tu baada ya kumuona...
Nipo collage na mpenz(demu)wangu ambae tumepishana mwaka mmoja kimasomo. Awali wik2 baada yakukubaliana kuwa wapenzi alikua mgumu kwa sex ila romance zingne tulifanya.
Ilifikia kipindi kama...
Salaaam wana jamvi!!!
Kuna siku mtoto alikua analia usiku, alilia kwa muda mpaka usiku sana, baada ya kubembelezwa bila mafanikio mm nikambeba nikamchapa kidogo miguuni (chapa ya kitoto)...
Boss wangu mwenye huba na mapenzi motomoto nyumba ndogo yake, anadai nyumba ndogo inampenda kwa dhati kuliko mkewe ampendavyo.
Je hili lawezekana? Je sio limbwata linalomsumbua??
Eti mtoto wa kike kamaliza chuo tayari,yani ana job tayari,alafu mtoto wa kiume ndio yuko 1st year,hivi hapa kuna future kwel,na hakutakua na tabia ya mtoto wa kike kumdharau mshikaji kwel kwa...
:
Female quality 1: She has a life
of her own
Say cheerio to the helpless
heroine from classic literature, and
well, hello! to the contemporary
independent woman. Its important
to show...
Umeolewa na una kazi nzuri sana.Mumeo nae ana kazi na mnaishi kwa amani.
'
Kazini kwako kuna mfanyakazi mwenzako wa kiume ambae ni handsome na anakuvutia na umekua ukijizuia kumsaliti mumeo.
'...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.