It's official: Condoms DON'T make sex less enjoyable
Men did not find it difficult to maintain erections when putting on condoms, according to a U.S study
Experts hope message will help stem...
Huweza kuanguka mahali hata usipotarajia......
Kama hujawahi kusikia au kama hujui, naomba nikwambie kwamba, wanawake wanaumia zaidi au ni rahisi kwao kuumia wakiwa kwenye mzunguko wa siku zao...
Habari wana jf mimi nina rafiki yangu wa karibu sana alikua ana mpenzi wake walikua wanapendana sana.Ila hasa hasa alieonesha upendo wa dhati ni binti ambae alijitorea mambo mengi kwa ajiri ya...
Wadau niaje?
Mungu akipenda 2013 hii mwishon naweka ndani my college sweetheart..
Ila kusema kweli kaugonjwa cha kuchanganyikiwa nikiona miguu imebeba mzigo wa mdada.. Hata kama nitapotezea...
Jamani salama lakini?..
Awali ya yote tutakiane heri ya mwaka mpya wa 2013...!
Ndugu wana-jf naamini kabisa kuna watu humu jamvini wana maisha ya kawaida kabisa ya kitanzania ambayo hata mim...
Wakubwa zangu shikamooni!
Peopleeeeeeees!
Kama kawa kama dawa nimeletakwenu Mada dume, mada champions league! Lazima pachimbike hapa! Hii ni kazi chafu ila lazima mtu aifanye, na huyo mtu ndo...
Imekuwa kawaida kwa hawa wapenzi wetu (hasa wa kike) wa siku hizi kuwa na mazoea ya kudhani mapenzi ni pesa tu.
Ni ngumu kuamini, lakin wangu amefikia hatua ya kuniomba credit mara 3 kwa siku...
Inadaiwa kwamba mwanaume anapooa mwanamke ambaye ana mafanikio na ambaye ni msomi au mwenye taaluma, ajue kwamba, ndoa yake imeegeshwa kwenye mawe.
Tafiti za hivi karibuni kabisa zinaonyesha...
Kuna rafiki yangu ameachana na mzazi mwenza kwa zaidi ya mwaka na walikuwa kwenye mahusiano zaidi ya miaka mitano.
Kinachomuumiza rafiki yangu ni kwamba huyo mzazi mwenza hana neno lolote zuri...
H/ri za mda huu wanaJF wote!
Nimekuwa na mijadala huku mtaani,kuhusu maisha kwa kuuliza watu wa lika mbalimbali!KUHUSU UJANA MZURI,kwani kuna tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa kuna mambo...
hufika hatua mapenzi yakawa sio mapenzi. wengine hulia jinsi walivyohumizwa, kumbe kuondoka kwa mpezi wako ni hatua nzuri ya kuanza kuishi maisha yako na atakuja mwingine, utakayempenda zaidi naye...
Goodmorning ladies and gentlemen of MMU, how are y'all this sexy morning.
Ok lets get to the point.
What's yo biggest turnoffs to the opposite SEX, yani kipi haswaa ukikiona labda...
Nina boyfriend wangu ambaye ni miezi 3 hivi tangu tuanze mahusiano ninampenda kweli lakini siku hizi amebadilika tuna kama wiki sasa hatuwasiliani vizuri, nikimtumia sms hajibu, nikimpigia hapokei...
wana JF habari!!
Ninakaa na wapangaji fulani (mume na mke) ambao ni jirani zangu kwa maana ya kuwa tunakaa nyumba moja, ila wao wanaka vyumba vya nje (uani) na mimi nakaa vyumba vya ndani (main...
Taratibu za imani ya kiislam zinaruhusu wanaume wa kiislam kuoa mpaka wanawake wanne.Ukiongea na wanawake wengi wa kiislam huwa hawakubali na hata wakikubali wanakubali kwa shingo upande ndoa za...
Jamani naombeni ushauri.
Mimi mkazi wa Admonton Canada, sasa nipo chuo ila nimepanga nikimaliza chuo baada ya 2 years nije kwetu kuolewa na Mzanzibari because hao wa huku nilowaona sijawapenda...
asilimia kubwa ya wanaume wanatunza watoto ambao si wao
na hii imefanyika utafiti karibia mikoa kumi ...watoto wengi wamekutwa
wanalelewa na baba ambae kwa namna moja amesakiziwa mtoto bila...
Jamani nimeipata mahali fulani kwa rafiki yangu,anaomba mchango wa mawazo ili amshauri kaka yake.
NDOA YA KAKA WA RAFIKI YANGU;MREJESHO;VITA YAHAMIA KWA MTOTO
Ndugu,huu ni mtandao wa...
Mume: Hello baby!
Mke: Hi swt!
Mume: Nitachelewa kurud leo
Mke: Nishajua uko kwa vijanamke vyako, ww ni mznzi sana cjui ilikuaje ukanioa
nakuchukia!
Mume: Ujue niko benki mpnz.... Mke: Haa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.