jamani wadu nimeona niwadokeze kuhusu hii issue,mtoe mawazo yenu,really imetokea je?madaktari humu au mdau yeyote mnasemaje?
nawakilisha.
White Woman Claims Watching 3D Film Made Her Pregnant w/...
Eti kamebemendwa
Kuna visa asili vingi ambavyo huwa wakati mwingine vinaniacha na maswali lukuki. Jambo ninalotaka kulizungumzia leo, limekuwa likiaminiwa sana na jamii yetu na limekuwa...
jamaa moja amekutwa kwenye zizi la ng'ombe akifanya malavidavi na punda jike,
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa 4 usiku,
Inasemekena kwamba huyo jamaa si mara yakwanza...
.......mwanaume zima unashika shika mikoba ya wanawake!! we vipi??? Yalikuwa ni maneno yaliyonichoma barabara moyo wangu tena kutoka kwa mwanamke ninayempenda kuliko wote, yaani mke wangu...
Habarini wanajamvi.
Kuna aina nyingi sana za marafiki..na urafiki inategemea mmeonana vp siyo..sasa naomba kujua kwa nini kama una rafiki yako mlikuwa hamuongei habari za hela wala kukopeshana...
Wana MMU sitaki kuamini ila ndio Hali Halisi.
Mwenza wangu niliedumu nae kwa Mwaka na Nusu Nikimsubiri yeye ili tuanze Maisha, Amenipigia Simu Nusu Saa Iliyopita eti hanihitaji tena. Nilidhani...
NIMEIONA MAHALI HII....ISOME NA WEWE USIJALI KAMA NI NDEFU SANA....
Mimi na girlfriend wangu tulikuwa tunapendana sana. Tulikuwa tumeishakuwa pamoja kwa mudawa miaka minne hivi, na hivyo tukawa...
Jamani fireworks zimepigwa marufuku. Hamna fataki wala mimoto angani. Angani giza limetanda kama tuko pangoni, lakini ndani mwa moyo wangu kuna mwanga mkali unaangaza.
Unamulika kwenu huku...
Mtoto huyu anaitwa Benedicto Tungaraza. Amepotea leo tarehe 8/1/2013 maeneo ya kimara-baruti. Alikuwa amevaa shati la drafti mchanganyiko wa rangi nyeupe na damu ya mzee, suruali ya rangi ya...
Kuna wazazi bado wapo mfumo wa zaman( analogia) wanajifanya busy na dil za kimaisha wanasahau watoto wao kimalez.watoto wanakuwa wa mahouse girls/boyz,mtoto miaka miwil boarding schools.mnalala na...
Habarini wanajamvi wenzangu ya leo tena ni kali kwani nimeingia kiditali kabisa kuwaasa na kuwaonya wale WANANDOA NA WASIO WANANDOA humu jamvini na kwingineko kule.
Nina jambo nataka tulikumbuke...
Tiger Woods and ex-wife Elin Nordegren during the opening ceremonies at the AT&T National golf tournament B [Photo: AFP]
Tiger Woods tries to 'win back ex-wife Elin with a Sh17b deal'
Kwa ufupi...
Kamati ya Bunge - Afya / Ustawi wa Jamii waliotembelea kwenye ofisi ya mkemia mkuu, wameelezwa kuwa asilimia 60% ya wanaume waliopima vinasaba (DNA) wamegundua kuwa watoto wanaosaidikika kuwa ni...
Ndugu zangu mnaonipa maujanja ya maisha...habari zenu!
Jamani, hivi utajisikaje na kuchukua hatua gani iwapo wakati mko kunako 6x6 kwenye tendo la faragha mwenzio anaweweseka wakati wa tukio huku...
Ni dunia ya mikiki mikiki. Kuchelewa kufa ni kuona mengi lakini usiombe kukutana na viroja vya Wachawi wa Sumbawanga. Katika kipindi ambacho nimeishi kwenye ulimwengu ambao wengi wanadhani ni wa...
wanawake muache ukatili,kama ampendi kuzaa kwa nini mnafanya!! inasikitisha si bora umtelekeze kwenye nyumba ya kulelea watoto au sehemu za wazi,kuliko kumzika akiwa hai,uyu mtoto alizikwa na mama...
Wana jf hususani wapenzi wa MMU, Heri ya mwaka mpya.
Nina andika ujumbe huu baada ya uchunguzi wa muda mrefu wa nyuzi mbali mbali (threads) zinazo wekwa na wadau mbali mbali.
Kwa muda mrefu...
Nimeona niweke special thread jinsi ya kuwasaidia vijana namna ya kupata wachumba, Nimeshuhudia vijana wengi sana wakiteseka katika harakati za kutafuta mwenzi wa maisha. Siku zote nimekuwa...
Habarini waungwana!
Jana nilikutana na jamaa yangu mmoja ambaye ni muhudumu wa afya, akanipa ofa (si kawaida yake). Kwa hali hiyo ikabidi nimdadisi, ndo akaniambia amepewa ahsante baada ya...
Mimi ni kijana mwenye umri fulani tatizo linalo nisumbua ni kwamba sehemu tunapoishi kuna jamaa ameamia yeye pamoja na mke wake. Wakati wanaamia sehemu ambayo mimi naishi mara ya kwanza huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.