Najaribu kulitafakari hili jambo kila siku lakini sipati majibu. Naona bora nililete hapa MMU tujadili. Tuko katika ulimwengu wa mtandao siku hizi, internet na simu zikihusika sana katika...
ni msichana wa 22 ila akili yangu bado ya kitoto kuna mtu kasema ananipenda ni 2 month sasa na kasema haridhiki mpaka niende kwake hivi kweli ananipenda miii naogopa kwenda mnanishaurije??kasema...
Awe na umri wa 37-45, anafanya kazi haijalishi ameajiriwa au amejiajiri na awe mpenda kazi, muislam na anaipenda dini. awe na upendo wa bila kuangalia sura wala umbo la mtu.awe tayari kuoa si urafiki.
Jamani wana jf naombeni ushauri wenu mimi nina mpenzi wangu tuko kwenye uhusiano mwaka sasa.Mimi na yeye dini tofauti mimi mwislamu yeye mkristo tatizo amekataa kubadili dini kua mwislam ili...
Heshima mbele bandugu,
Nilipewa assignment na my wife wangu ya kuongea/kumweleza msichana wetu wa kazi kuhusu seriousness ya kusoma huku anafanya kazi na what it take to be a good mwanafunzi and...
Hakuna ubaya kama utajiuliza hii;
'
Umeolewa na mume uliekua unamsaka kwa muda mrefu saaaana,na siku alipokuoa ulifurahi sana na unadhani hukuwahi kufurahi kama siku hiyo.
'
Mumeo ni handsome...
Nimewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wadada kadhaa hivi. Lkn kuna huyu mmoja pamoja na uzuri wake aliokuwa nao nilikuwa si feel utamu wowote wakati nikiwa nasex nae. Alikuwa akijishughulisha...
Most mothers have to step in when things get a bit too competitive and boisterous between father and sons, but it seems that its not exclusive to humans.
A lioness has been caught on camera...
Kuna masimulizi na malalamiko toka kwa baadhi ya wanawake eti mume mzima wa afya njema anakaa miezi hajamtimizia mkewe haki ya ndoa. na zaidi ni kwamba mume ana nyumba ndogo akirudi nyumbani yeye...
Si kila mwanamke yuko sawa na mwanamke mwingine,,wanatofautiana kama ambavyo wanaume wanavyotofautiana.Kuna baadhi ni
1:: WAGUMU
wanakumbuka kila kitu mlichofanya nae si leo tu bali milele...
Katika maisha ya mwanadamu, awe tajiri au maskini, matatizo na shida za maisha zipo. Haijalishi kiwango chako cha elimu wala ukoo unaotoka, shida na taabu za maisha zitaambatana na wewe kwa kadiri...
Yuko very charming kwangu. Moja ya sababu zinazonifanya nimpende ni tabia yake ya uwazi kwangu. Huwa ananionyesha waziwazi kwamba ananikubali na kunitegemea kimawazo kama mume wake. "Mamuu"...
I cant figure out the concept behind this wedding reception, but my rough guess is that the couple love the idea of Burj Arab in Dubai, and were keen on recreating something close to it here.Nice...
Wakuu!
Kwa familia za kiAfrika tuna tabia za ndugu wa kutoka kwa mke na kwa mume kuishi na familia fulani, hasa wanapokuwa katika hali ya kutafuta misaada au kuugua.
Je inakuwaje pale mke na...
Love and relationships is a beautiful thing and we all would like to experience them but not all of the time is the person we're with the right one for us. This leads to the dreaded "break up"...
SIKU hizi kuna watu wanasema; Ni heri ukutane na mnyama mkali kama, simba au chui unaweza kusalimika, kuliko kukutana na binadamu, kwani anaweza kukudhuru.
Maneno haya yanatokana na unyama...
Hii nimesimuliwa na ndugu yangu, hebu msikilize mwenyewe :
Nilifahamiana na mke wangu tangu tulipokuwa tunasoma chuo kikuu, tulianza kama marafiki baadaye tukafunga baada ya...
habari wana jamvi,
Naomba msaada wa ushauri kwa ndugu yangu ambaye amefikwa na makubwa sana kiasi cha kuwa njia panda asijue afanye nini.
Kaka yangu alikuwa na mpenzi wake tumuite X ambae...
Kule kwetu tunaita wenye nyege za kitunguu saumu, zaidi ya maombi ya kutoa pepo la ngono. Kweli kuna tiba ya hii addiction, I mean some kind of Sex Rehab Center.
Akuu sio mimi kuna mtu anahitaji...
1. Encourage your husbannd, praise, enrich.
2. Take pride in your role as wife and companion, mother and homemaker. Refrain from envying the career girl.
3. Be aflectionate and loving...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.