Mkae mkielewa nyumba ndogo hauwezi kuwa unapiga mwenyewe hata siku moja. Kwanza she is out of your control so she has lot of chances to play with your constipated brain.
Ukiachana nae ukielekea...
I hope you are all well wanaJF wa majuu (Nyani Ngabu and the like) of the diaspora. I have noticed how frequently people on the forum discuss the topic of Bongo Vs Ughaibuni and it seems as...
Wakubwa zangu Shikamooni!
IGWEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!
Natumai wote mmeiona kazi ya bwana siku ya leo! Bwana awe nanyi sanaaa! Amani kwenu mabibi na mabwana! Turudi katika mambo yetu ya...
Maisha na Mikasa
Baba na Mama ndio chanzo cha mateso yangu
lWalipogombana mama akasema mimi si mtoto wa baba
lBibi, wajomba wananidhulumu akaunti na vitu vya marehemu mama
lNisaidieni nipate haki...
Niko hapa steshen(si ya mwakyembe)nasubiri treni niende hm.mara nageuka kushoto naona kuna vijana wawili wamekumbatiana kweli kweli.sikushtuka sana nikidhani ni mtu na bibi yake hawajakutana muda...
Wakati nasoma nilikuwa na mpenzi ambaye tulipendana sana baada ya kumaliza shule tulipoteana nilipata kazi na yeye aliendelea masomo na sasa tumekutana chuoni anadai bado ananipenda ingawaje tayar...
By M. M. Mwanakijiji
There was a goat who could dance on a tree
A goat!?
How could he do that!
Dance on a tree?
But he did, dance! dance! dance!
On a tree.
He had white and black...
Dume zima anaenda ukweni amevaa hereni kisa anaishi Amerika.Hii ni aibu kwa kweli na sehemu nyengine mke humpati ng'o.Tuache ulimbukeni.Tuenzi tamaduni zetu.Kuna mtoto wa kigogo wa yale mambo ya...
Heshima kwenu wanajamvi wote.
Naomba maoni yenu kuhusu malezi ya aina hii. Mke wangu ananitia mashaka kwa jinsi anavyowatreat wanangu wawili ambao ni wake pia, matunda ya ndoa yetu. Hana simile...
10 comandments for a youth to be successful
1. Usitegemee utajiri wala mali za wazazi wako, wanaweza kufa ukabaki unang'aa ng'aa mimacho huna pa kukimbilia.
2. God has given everyone a talent...
NFL scandle ya Teo's mtu unampenda mtu hujawahi muona na fake .Utajisikiaje unainvest your time unaongea na mtu siku mnakutana ni 500 pound homeless .socialize nenda kanisani party na shule...
Habari wana MMU, usiku wa leo mu wish mpenzi wako nyimbo taamu kwa ajili ya kumsindikizia usiku wake.
1. Aerosmith - i don't wanna miss a thing
2. written in the stars - westlife
3. ||||Your...
Ninapokaa hapa Dar kuna hospital mpya ya serikari imejengwa so waliletwa madaktari na manesi wa muda kuanza kutoa huduma kwa jamii kabla harakati za uzinduzi.Huwa na kawaida ya kwenda Bar moja...
Wakuu....!
nimeshawishika kuuliza swali hili jamani.
Kila story utakayosikia kuhusu ndoa ni hasi. hivi katika ndoa hakuna mema yanayotokea?
nauliza hivi kwa maana mimi sina ndoa(wala sijaoa) ila...
Jamani, mie imekuwa ni kitendawili kujua utaratibu ambao mwanamke anaautumia kupenda tofauti na mwanaume.
Kwa maana ninashuhudia mapenzi yakiongezeka kwa mwanamke siku hadi siku wakati kwa wanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.