Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kuna mtu hapa kwenye viti virefu anajipongeza kwa kujenga nyumba mwaka 2012 na anakribia kuhamia kwenye kiwanja cha mkewe Mbweni Hukooo! Anadai sio nyumba ila Jumbaaa! Hivi kweli nyie Men of...
5 Reactions
66 Replies
9K Views
Habari ya siku wapendwa, Nisiwachoshe jamani ni hivi, nina sister wangu ni mtu mzima ana 42 yrs hivi, jana alipata mgeni ambae ana kama 26 yrs ni msichana ambae ameolewa 10 months now, mgeni...
0 Reactions
4 Replies
887 Views
AT 18 a lady is like a football, 22 men behind her, at 28 a basketball, 10 men behind her, at 38 a golf ball, 1 man behind her, at 48 a TT ball, 1 man pushing her to the other Wadau kuna ka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu naombeni ushauri kuna mpenzi wangu tuna muda wa miezi mitatu sasa katika mahusiano yetu, ila simuelewi nikimpigia simu anachelewa kupokea au asipokee kabisa ni kimuuliza tatizo nini anatoa...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Umeoa, na umebahatika kupata kupata watoto wanne kwenye ndoa yako. Wewe ni mwaminifu sana kwako, na kwa kweli hujawahi kutoka nje ya ndoa yenu iliyodumu kwa miaka kumi na moja. Mwezi ulipita ukiwa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mwananchi mmoja ambaye anaumwa gonjwa la ukimwi yuko hatarini kupoteza maisha yake siyo kwa ukimwi bali kwa kipigo , kunyimwa chakula na vitendo vingine vya kunyanyapaliwa na mkewe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KWANZA NITANGULIZE SAMAHANI LAKINI NGOJA TU NILISEME: Kwa Wanawake na Wanaume,wote msikie,Kuna baadhi yenu mnatamani kuwa na Relationship nzuri,lakini,tatizo,hata Kissing tu ni...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Wanajamii natumaini mpo poa, kunakitu kimentatiza npo na bf tunakaribia kuanza taratibu za uchumba, yeye ana kaka yake ambae ameoa ila kwa sasa kaka yake huyo hayupo sawa na mkewe wametofautiana...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Ndugu yangu, kila kukicha kwenye mbuga za wanyama za Serengeti, Nyumbu anapoamka tu anafahamu kwamba ni lazima aweze kukimbia zaidi ya Simba mwenye mbio kuliko wote la sivyo atakamatwa na...
1 Reactions
2 Replies
895 Views
Ndio maana biashara ya kuuza miili katika nchi hizo ni kubwa ukilinganisha na kwetu... Siku zote, mtu akizungumza na mtu wa Ulaya au Marekani kuhusu tabia za kujamiiana holela, atakwambia, tabia...
4 Reactions
19 Replies
10K Views
Habari zenu wana MMU, natumaini mu wazima wa afya!!!!!!!!!!!! Leo katika pitapita zangu za hapa na pale nikakutana na mpenzi wangu wa zamani ambae tulitokea kuipendana sana, ila tulikuja...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari ndugu wanajamvi. Nipo katika wakati mgumu sana kwa sasa.Kuna binti tulikuwa katika mahusiano lakin yeye alikuwa na wivu sana.Nina marafiki wa kike na wafanyakaz wenzangu wa kike na...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Jana baada ya mihangaiko ya kutwa nzima, kabla ya kwenda geto niliamua kuvinjari mjini ambako nilipata "usafiri" wa kukodi. Baada ya kuukodi huu usafiri niliamua kwanza niende "Uvinza chumvini"...
0 Reactions
140 Replies
10K Views
Hili neno lilikua likinitatiza kwa mda mrefu...ni neno nalisikia sana hapa ofisini kutoka kwa vijana wadogo wenye ndoa, lakini sikuwai kujua wanamaanisha nini mpaka leo asubui hii niliposikia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii ni kwenu wetu wale wa kucheat responsibly! Saa zingine hao mahawara zenu ni ma psycopath! Culled from Sunnewsonline.com In what sounds like a movie tale, A woman in Obuno Umuochefu, Igbo-Ukwu...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
You are driving down the road in your car on a wild, stormy night,when you pass by a bus stop and you see three people waiting for the bus: 1. An old lady who looks as if she is about to...
0 Reactions
1 Replies
649 Views
Nina mchmba wangu kabila lake ni m-masai kama kuna anayejua kdogo wasifu wao anambie Kazi kwenu!
0 Reactions
39 Replies
4K Views
watu wanachangia sana kwenye mada za mapenzi hivi sisi watanzania ha2na mamabo ya kufikiri au?
0 Reactions
25 Replies
2K Views
habari zenu,jamani naomba mnisaide hapa,nina my best frnd tumekua wote yani,sasa hapo katikati nilikua na misunderstandings na my boyfrnd,tulivo solve akaniambia kua huyo best na yeye walikua na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu wana-jamvi? ni imani na faraja kwangu kuona yu mzima na kuweza kusoma, kutafakari na kutoa mchango wako wa kiushauri katika uzi huu. Nitaiheshimu michango yenu yote mtakayotoa ingawa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom