Habari wana MMU.
Kwa ufupi ni kwamba nina bint mmoja ambaye nina uhusiano nae takriban miezi 8 sasa na huwa anakuja geto mara moja moja weekend kwa ajili ya kugegeduana, sasa huyu binti kwa kweli...
KWA NINI WANAUME/AKINA BABA WENGI WANAFIKIRI WAO NDIO WAAMUZI/WAFALME WA NYUMBA?
Suala hili limekuwa likinikera sana akilini mwangu kwa miaka mingi. Ya kwamba akina baba/wanaume wao wanafikiri...
nina jamaa yangu tangia tumalize shule hatujawahi kuonana jan ndio tumeonana baada ya kutoka wilayani kuja jijini kwa lengo la kutafuta madawa ya kuongeza urefu wa kifaa na unene wake kwa...
Habariiiiiiiiiiiiii!
Sikumbuki kama nilipobisha hodi nilikaribishwa na wote au sikubisha kabisa hodi humu, mnisamehe bure! Kuna mambo yananikera imebidi tu niyawasilishe ili tuweze kurekebishana...
Jamaani nampenda saaana mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa mwaka wa nne sasa lakini hatujawahi kuduu cause baba ake ameamua kumtransfer mwenzangu kwenda shule nyingine so tunaonana mara 2 kwa...
Niko katika mahusiano ya kimapenzi kwa muda sasa mpaka kumchumbia huyu niliye naye na kuishi naye.Juzi kuna message ya kimapenzi imeingia kwenye simu yake.Cha kushangaza amekuwa...
Ni story ambayo nabishana na bestfriend wangu mpaka kesho.. I believe mwanaume huyo ni mtu mzuri na wanaendana sana. Ila mapenzi nyuma, akili mbele. Ni kawaida sana kwa wanawake wa kiswahili...
Hi kwa wooote...
Ndugu zangu msinichose wala nisiwachose kwa maneno mengiii maana mficha uchi azai na mficha ugonjwa maradhi yatamuumbua....Naomba kujua wapi ntapata dawa ya mapenzi ya kienyezi...
Mke/mume mwema hutoka kwa Mungu, wapi?,hatujui bt kwa MUNGU Hiyo ndo imani yetu...ok,kwanini wanaume wengi wa umri 45yrs na kuendelea akiwa kwenye umri huo akiachana na mke wake tu...basi hakawii...
Wakuu,leo kuna kitu cha ajabu kimenitokea.kuna my x flani nliachana nae toka mwaka jana mwez november,tangu wakati huo sikua na mawasliano nae ya aina yoyote ile.sasa leo nlikua nimejilaza...
Hii ni kwa hisani ya uchambuzi wa 'Lady Viva' kupitia - TAFAKARI: Kilichomo kwenye ulimbwende, urembo na uzuri
Misemo imesheheni siku hizi utasikia Mwanamke urembo!
Hivi uzuri au urembo wa...
Nampenda sana mpenz wangu ambaye naishi naye kwa sasa ila amekuwa mkali sana kwangu anaondoka anarudi usiku nikimuuliza anakuwa mkali sana kwa sasa nimejaribu kumchunguza kupitia watu mbalimbali...
Habari zenu wana jf,
Naombeni ushauri wenu kuhusu tatizo hili. Niligundua mume wangu ametoka nje ya ndoa baada ya kukuta sms za mapenzi ktk cm yake, nikamuuliza akakiri kweli anamahusiano na binti...
Natumai wote ni buheri wa afya na mnaendelea kuvuta hewa ya bure tuliyopendelewa na mwenyezi Mungu.
Kwa kweli hili limenifanya nishindwe kuvumilia. Leo mida ya saa 3 asubuhi nilipita mahali...
Yani nyinyi wake zetu mnatia aibu sana, nimetoka kusuluhisha ugomvi kwa jamaa yangu, ugomvi ulikuwa mkubwa sana ila source mshkaji kachoka kutandikiwa kitanda na beki tatu so akamuuliza mkewe kama...
Hili suala lipo takribani ofisi zote ambazo ni rasmi,baada y akufanya interview na ukafanikiwa kupata iyo kazi watakuita kwa ajili ya kupima afya yako..........
mbaya au nzuri utapewa tu barua na...
Ilikuwa mara yake ya kwanza kudate na kijana, ilikuwa nzuri sana kwake. Walienda kwa restaurant nzuri sana. Pindi walipokuwa wanakula chakula, aka sneezed kisha akapiga bonge la chafya na makamasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.