Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Leo siongezi wala kupunguza neno. Hawa wanaoandika hizi makala sijui huwa wamefanya research wapi.... Did you know the pitch of someone's voice is how we often decide...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Najuta kuolewa na mwanamume nisiye mpenda. Ni stori ndefu lakini kwa kifupi...nilikuwa na boyfriend wangu tuliyependana sana. Tulipanga kuoana na barua ya posa alishaleta kwetu. mchumba wangu muda...
0 Reactions
71 Replies
10K Views
Nina mke huwa ninasafiri kwenda nje, mara nyingi huwa mke wangu hana kawaida ya kuangalia ile begi yangu ambayo huwa nasafiri nayo lkn leo kaichek kaona paket 2 za condom nifanyeje wadau...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
kuna wakati mume anakuwa hawezi kukutana kimwili na mkewe iwe umbali waliopo kwa wakati huo au labda mke akiwa na mtoto mchanga, je kwa wakati huo wote mume atajiridhishaje kimapenzi kwakuwa...
1 Reactions
62 Replies
6K Views
nina jambo linanitatiza sana labda mtanisaidia kunifungua akili. nina mchumba yupo nje ya nchi na nilikutanishwa na dada yake tulipokuwa shule kwa njia ya simu tu. na nimekutana nae mara moja tu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Toka juz namwomba chakula ya ndoa ananinyima kwa madai anaumwa,lakini kazi nyingine anafanya, nimeona ananifanyia kusudi.
5 Reactions
113 Replies
12K Views
Wazee wenzangu heshima zenu, nipeta malala0miko kutoka kwa0ndugu yangu wakaribu sana kuwa nduguwote hawampendi kwa uamuzialioufanya kuzaa bila mdoa0walikuaga na ukaribu0fulani sasahivi...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Hapa mtaan kuna msichana m1 mwaka wa2 ktk chuo kimoja maarufu nimekua nae ktk mahusiano km mwez wa3 now, ana SugarDaddy ake na ndo aliyempangishia chumba na kutoa huduma zote ila halal ni anakuja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wanajukwaa wa MMU, leo ni siku ambayo ni ya historia katika maisha yangu. Ni miaka kadhaa iliyopita yapata 14 sasa nimeamua kuishea pamoja na nyie ili mshereheke pamoja nami. Nilikuwa...
23 Reactions
91 Replies
20K Views
Gezeti la Majira la leo limejinadi kwa kichwa cha habari " Diwani wa CCM adaiwa kufumaniwa, ang'olewa meno matatu, akatwa sikio la kulia. Na wa CHADEMA kortini akidaiwa kubaka mwanafunzi" My take...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Jamani nimetokea kumpenda huyu dada...naomba ushauri wenu nitampataje? Please i need constructive ideas
2 Reactions
174 Replies
9K Views
Jana katika pitapita zangu nilikutana na mwanamke aliyebeba mtoto mgongoni akiomba msaada kwa wasamaria wema ili mtoto wake akatibiwe malaria.yule mama alikuwa akilalamika kuwa mtoto wake pamoja...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Hii nimeikuta kwenye JUKWAA LA SIASA, nikaona bora ije huku kwetu Nina mahusiano na dada mmoja mtoto wa Polisi ambaye kwa macho yangu namuona mzuri sana na kwa kifupi nimeshindwa kumuacha japo...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Ivi wadau maana ya first love ambayo inaxumbua sana kina dada ni nini ni yule wa kwnza kummenya au yule wa kwanza kumpenda?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
=Musoma Mara= Mimi ni mgeni wa mji huu. Tulipoingia na jamaa yangu kikazi, sikuona haja yakujifungia vyumbani, nilimwomba jamaa tutoke kuzungukia maeneo ya kupumzikia. Nilichojifunzatukiwa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi ni mkaka mwenye miaka 27 nilikutana na mdada mwenye miaka 24 facebook tukaanza kuchat na hatimaye tukafikia uamuzi wa kua wapenzi. Aliniambia hakuna kwenye mahusiano kama nilivyokua mimi...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
MINISTRY OF LOVE NATIONAL EXAMINATION OF ROMANTIC NOV.15,2012 TIME:2 HOURS SECTION A Answer all question 1.Define word love 2.Explain what do you understand by...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ukitaka ndoa yako idumu uvumilivu wa hali ya juu unahitajika
0 Reactions
30 Replies
3K Views
A friend of mine has been married for five months now but she says that she has lost the love for her husband. She wants to file a divorce if possible because the guy annoys her alot. However the...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
habari zenu,jamani mfano umeajiriwa na unamwezi kazini,alafu akaja mtu from no where akaja na agenda kua umeforge vyeti,na alilipeleka swala kwa HR,baada ya siku mbili unafukuzwa kazi bila hata...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom