Mahusiano yana changamoto zake na kila siku mnakutana na changamoto za aina tofauti tofauti. Na ili uhusiano uweze kuimarika na kuwa strong ni lazima upitie ups and downs na during this time ni...
Wanawake Jenga ndio uolewe.usisubiri kitchen party upewe Godoro.na baada ya harusi akianza shughuli ya viwanja eti kujenga mwambie ushajenga .ajemge yake ,ndoa ndoano akili kichwani..
hili swali naomba niwaulize wa dada zetu wa jf hivi mkikutana na mwanaume ndio amekuaproach na amekuwa na umemkubali awe bf wako . au mmekutana tu one night stand na unakuja kukuta hajatailiwa...
WAPENZI wasomaji wa safu hii ya urembo, leo nitawaeleza jinsi ya kuuufanya mwili kuwa laini, kwa kutumia tui la nazi lililochanganywa na asali.
Wanawake wengi wanapenda kufanya miili yao kuwa na...
Katika tafakari legelege, nimejiuliza kwanini....nimejikuta na haya majibu
Je wana-kijiwe pia mwafunga macho mkicheza mechi za vinywa pia?? Sababu nini? au ni reflex tu....
Sababu za kufunga...
Kwa wale wakaazi wa Arusha tafadhali nisaidieni kujua viota vya wale dada zetu wa kimataifa angalau tusafishe nyota
Jamaa mmoja aliniambia mrina lakini sina hakika sana.
Asenti!
nina mpenz wangu na tuna 3 yrs katika relation,wakati tunaanza nliwah mcheat,na akanisamehe,na tukawa vizuri ila sasa ikawa akiwa na tatizo haniambii anawaambia wa2 wengn especialy his brother na...
1) NOT KISSING FIRST.
Avoiding her lips and diving straight for the erogenous zones makes her feel like you're paying by the hour and trying to get your money's worth by cutting out...
Anadai sababu kuu ni mimi kutowatii dada zake hivyo ameamua kuhama chumba ili na kukata huduma ya chakula cha usiku kwa miez 8 sasa kunikomoa...
Ni kweli kabisa kuwa mimi na dada zake...
Habari za muda huu wana jf? Swali langu linawahusu wote ila hasa Wanaume, ivi ni kwanini wanaume wanapenda kusalimia kwa kumpa mkono mwanamke? Na je kuna uhusiano gani kati ya Mapenzi na UGUMU ama...
1. I am your Main Squeeze: thou shalt squeeze no others before
me.
2. Thou shalt not take the name of thy Squeeze in vain, nor badmouth me behind my back.
3. Remember our Anniversary, and...
Hakuna mtu aliekamilika hata kidogo,hata mwanamke awe mzuri kiasi gani ama mwanaume awe mzuri lazima kutakua na kasoro kwenye tabia ama mambo anayoyafanya yanakukera na bado unavumilia,,Hasa...
Mmmh, duniani kuna mambo
Nilikuwa nasikiliza redio moja, akina mama wanaulizwa kama wamewahi saidiwa na waganga wa kienyeji
Mmoja akasema alikuwa na matatizo na mmewe
Akashauriwa kwenda kwa...
Reference By Jenna Birch Can you spot a husband prone to infidelity? If he's unhappy with his wife, he'll cheat, right? Not necessarily. According to a Rutgers University study, 56% of men...
Kuhusu hii kesi wengi hawaelewi kwa nini Dr Slaa kupitia kwa mwanasheria wake alisema Josephine Kamili aliyekuwa girlfriend/living together hakuwa na haki ya kwenda mahakamani,hapa kesi kama hii...
Je,moyo wako ukiwa umemzimikia mtu akili yako inaweza kufanya uchambuzi wa faida-hasara ya uhusiano huo?/When your heart has fallen for someone can your mind do a cost-benefit analysis of that...
Baada ya sherehe iliyomhusu, mme wangu June 2012, alitoa ofa ya chakula cha jioni kwa familia na wageni wetu. Tulipofika pale hotelini tuliwakuta wadada wa2 wa kiafrika, (Ile ni hotel ya kichina)...
Nina mpenzi wangu nampenda sana , ila tatizo kubwa lililopo ni kwamba huko nyuma niliwahi kumsaliti na alinisamee tukaendelea na maisha, lakini toka amenisamee amekua ni mtu mwenye hasira na...
Jamani naomba kusaidiwa.
Nataka kufahamu kwa nini pete za uchumba anayevalishwa ni mwanamke tu
wanaume hapana, lakini za ndoa wanavalishana wote.
Alamsiki
Huku baby ananyonya ngoja akili iende safari kidogo.
Back then muda kama huu ningekuwa nishajipara nikauramba na sip Savannah yangu mixed with a shot or two of vodka nimerelax tuuu najipa raha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.