Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wana JF naomba ufafanuzi. Ni kawaida kusiikia mwanamke ambae anafanya ngono na watu wengi akiitwa malaya. Ni mara chache au nadra kusikia mwanaume mwenye tabia kama hiyo akiitwa malaya. Kwa nini...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Umemuona mwanamke ukampenda mtu mzima ukaamua kumuapproach kwa gia ya urafiki,baada ya muda ukaamua kumwambia hisia zako za kweli then Anakureject(Anakutosa).Sasa naomba niwaulize kuna umuhimu wa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Hivi ni lazima mke mpya abadilishe mpangilio wa mazaga zaga chumbani kwa mume wake mpya?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
USA na nchi Za ulaya mwanamke anayejirusha mwenyewe bar na restaurant peke yake bila mume wake kuwepo wanaitwa wanawake wenye high self esteem na not insecure na independent mind .bongo wanaitwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wana JF, Kuna jirani yangu, mdada wa makamo ana watoto wawili wa kiume wa kuzaa mwenyewe na mmoja wa kiume wa ndugu yake anaishi nao huko boko. Amewafumani jana wakiwa wanafanya mchezo mchafu kwa...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Wana jf, Ifahamike kwamba mapenzi huanzia sehemu ndogo sana hatimaye ndoa. Kabla hujawa na mpenzi/mke kuna tabia ulizokuwa nazoambazo kwako uliona kama nzuri, kuna vitu hasa wanaume huwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Habari za mchana huu, naomba tubadilishane mawazo kwa hili. Una mchumba ambaye bado kama miezi 2 kufunga pingu za maisha. Kila kitu kipo tayari lakini unafika kugundua kuwa mchumba ako...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Eti unapokuwa umekaa sehem na mwanamke (popote pale), na ukawa mara nyingi uko kimya hivi kisha anakuambia, 'mbona huongei? Ongea basi...' Hii inamaanisha nini?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mtoko wa kwanza huwa unawaweka wanawake katika wakati mgumu ukilinganisha na wanaume. Wakati wanaume kwao sio tatizo kubwa la kuwaumiza vichwa, kwa wanawake huwa wanajiuliza maswali mengi sana...
14 Reactions
76 Replies
9K Views
Nina rafiki yangu wa karibu sana...yeye ana mwanamke aliyemuoa mkewe kwa mda wa mwaka mmoja hivi,lakini wakati akiwa nae,huyo dada alikuwa na mpenzi mwingine.Katika kuishi na mkewe kiukweli jamaa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Akikuomba pesa ya gas mwambie atembee kwa miguu.pesa yako shopping nywele na starehe.a men treats you the way you want to be treated.pete ya uchumba ni sigh ya kwanza .pete isipungue dhamani...
1 Reactions
278 Replies
19K Views
Amani kwenu wakuu! (Wakubwa Shikamooni) Leo ujio wangu si wa Verse moja nyingi Baba V LOL! Kweli ile tabia ya kuperuzi na udadisi simu za patner wenu muache!!! Tena unakuta mtu anatime mwenzie...
11 Reactions
59 Replies
4K Views
nani anaweza kutuambia Namna ya kumjua mpenzi wako kama amekusaliti phisicaly
0 Reactions
21 Replies
24K Views
Mwanamke Wewe ndio bossy lady be like one .you need to run the show in the house.mwanaume akikuomba pesa tu ukimbie .a really men haombi.usiku mwema
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Unyanyasaji dhidi ya wanawake wilayani Meatu unaendelea kuongezeka kwa kasi, kama inavyoonekana kwenye picha. Mwanamke huyu alikuwa anapokea kichapo kutoka kwa wanaume. Hizo fimbo ni maalum...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Adam ni mwanadamu na Hawa akimaanisha Hawaeleweki Hawabebeki Hawajiheshimu Hawanahuruma Hawashukuru Hawapendeki Hawaridhiki Hawajatulia Ukitaka kuwaelewa Oa alafu mchukue mama yako uishi naye...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
I don’t love my wife. We are going through a hard time and I will soon be separating. That’s a LIE. Men don’t advertise leaving home to the other woman. If they are really in a bad relationship...
9 Reactions
28 Replies
3K Views
Nna jirani yangu mwenye mtoto wa mwaka mmoja. Ye na mume wake wote wameajiriwa kwahiyo huwa wanamuacha mtoto na dada wa kazi. Kitu cha kwanza kunotice ni kwamba siku mmoja wao akiwepo nyumbani...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Inasemwa kwamba wanawake ni viumbe wa ajabu lakini naamini wanaume ndio viumbe wa ajabu kupindukia. Kwa nini ninasema hivyo? Ninasema hivyo kwa sababu, wanawake kwa ujumla wao wanavyo vibweka vyao...
7 Reactions
274 Replies
16K Views
  • Closed
nliwahi weka kuhusu uhusiano wangu na mkaka wa kiislam ,kiukweli nlikuwa nampenda sana bila kujali mambo yote aliyowahi kunifanyia kwani tuliamua kuanza upya na kusahau yote ila inafika mwezi sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom