Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wana MMU,Embu Tujadiri katika mahusiano yetu ya kimapenzi na lazima mmoja atakuwa ana gain zaidi ya mwingine,au atakuwa ni mfaida mkubwa sana .... kwa upande wangu mimi kwakweli naona dada zetu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
A man who can cry is a man who has learned some secrets about intimacy. But sadly, for many men it takes something tragic or life-changing before they understand this truth. Here are a few ways...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Umofia kwenu JF, Nimestuka baada ya kusikia tangazo ITV likisema kutafanyika tamasha kubwa pale mlimani city tar1 mwezi wa tisa,watakuwepo wakinama kama rwakatare,anti sadaka pia na erick...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
heshima mbele wanaMMU, Huwa nasikia huu msemo kuwa adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie, naomba ufafanuzi
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Nimejaribu kuchunguza katiaka jamii yetu hii ya kitanzania pamoja na huku jamii forum nikagundua kuwa watu wengi walio ktk mahusiano hayadumu (maranyingi ni kuanzia siku moja hadi miaka mitano) na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwanamke ndio unampenda tena sna tu then inatokea cku mmegombana tena kitu kdogo then anakwambia muachane alafu baada ya mda anakwambia naomba unisamehe turudiane bt nina mpenzi wangu mwingine pia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
This thread has been deleted by mtu wenu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mujibu ya kanuni ya mvuto, ni kwamba huwa tunavuta wenyewe kila kitu kizuri ama kibaya katika maisha yetu. Hivyo, hatuna namna ya kuukimbia ukweli huo wa kwamba sisi ndiyo tuliozisababisha...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
When Catherine Kalembe introduced Emma Mutaka to her parents in Kisozi Village, Kamuli District in 2010 as her fiancé, she was sure a wedding would follow shortly to cement their relationship...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naona hii week hii ni yangu!! Baada ya kupita majaribu na boyfie mambo yamenigeukia tena. Kwanza inabidi mjue kua alikua hayupo kasafiri karibu miezi miwili na tukajeruhiwa kabla ya kuridhisha...
2 Reactions
198 Replies
13K Views
Nina gf wangu,alinambia anakaribia kubleed na dalili za kubleed amezisikia yaan kama siku mbili zijazo atableed.tukaduu bila kinga,sasa ananambia ana mimba,je inawezekana kweli mimba ikawa...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Huyu mama ni mama wa watoto wa4,mwanae wa mwisho amemaliza chuo mwaka juzi na ameanzisha mradi wake wa kuku wa mayai.Mume wa mama huyu alistaafu kazi mwaka 2007.Lakini maisha yake hayajabadilika...
6 Reactions
65 Replies
4K Views
Are you married? If Yes; Welcome to the school called marriage, A school where you will never graduate, A school without a break or a free period, A school where no one is allowed to drop out, A...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hlw wana JF.... Kipi bora katika Maisha yetu ya sasa? kutafuta mwenza kabla ya kujipanga kimaisha au kujipanga kimaisha kwanza ndio utafute mwenza........ (Toa sababu ni kwanini iwe kabla au baada)
0 Reactions
19 Replies
2K Views
<USHAURI> Wajameni...nimekua na uhusiano na huyu binti kwa muda wa miaka minne sasa...lakini wkt ndo kwanza najiandaa kumfanya jiko aka mama mwenye nyumba...anatokea kidume mwingine ndani ya mda...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Uchumba ni mtamu acha kabisa, ila kumbuka ndoa ni kitu halisi! Kumekuwa na maswali mengi sana naulizwa na vijana wengi wa kike na wakiume ambao wanataka kujua ni yupi anaweza kuwa mchumba halisi...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu... habari zenu kuna msichana mmoja hivi kwa nyakati tofauti alishawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na washikaji zangu wa karibu na aliachana nao kwa sababu ambazo hakuna msichana...
2 Reactions
57 Replies
4K Views
Morning every one!! I salute you all, SALUTE!!! Ni hivi , leo nina swali kwa wanaume hasa waliooa au walio kwenye mahusiano na mwanamke kwa muda mrefu, tafadhali naomba mueleze ukweli ili...
13 Reactions
259 Replies
22K Views
hellow great thinkers, how do you percieve the meaning of " NAKUPENDA JINSI ULIVYO"
0 Reactions
19 Replies
4K Views
SEMEN is good for women's mental and physical health, a new study claims . Seminal fluid contains at least three anti-depressants as well as mood-altering chemicals which increase affection and...
0 Reactions
85 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…