Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nimeshuhudia mara nyingi sana kwa ndugu ana marafiki zangu wanapoamua kuoa,vile ambavyo tabia halisi ya mwanamke inakuwa imefichwa anapretend kuwa ni mnyenykevu sana,mwenye upendo ila akishaolewa...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Wewe ni mama ama binti ambaye umeolewa ma una mchumba, katika kuish kwenu najua kabisa kuna kukoseana kwa hapa na pale. Je wewe unapokosea wajua jinsi ya kukiri kosa na kuomba msamaha? je...
9 Reactions
84 Replies
49K Views
  • Closed
Hii ni stori ya kweli yaaani ni mimi mwenyewe, ni hadithi ndefu ila kwa kifupi ni kwamba natembea na binti wa rafiki yangu ila wazazi wake hawajui sasa yapata miaka 3 hivi, nilimsomesha hadi cheti...
0 Reactions
101 Replies
11K Views
hi, tusaidiane kuona namna ya kumsaidia mwanake mwenzetu na maisha haya ya familia yake, ana umri wa miaka 28 tu dada huyu ana watoto 2 ndoa yao ina miaka 5 mume ana umri wa miaka 33 tu, ni kijana...
0 Reactions
86 Replies
7K Views
Habar wana MMU. Wahenga walishasema tembea uone mengi ni kweli . Hivi karibuni nilikutana na msichana huku ughaibuni akanivutia,then nikamfahamu stori zikaanza. Tuliongea mengi except...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukigundua mkeo yuko sehem anakucheat na ukipiga sim anapokea na huku anamegwa, utafanyaje? Nipeni majibu wanaume hapa pana shida.
1 Reactions
24 Replies
2K Views
If you are to exchange phones with your partner, what would you check first??? PUT A NUMBER 1 = Call history 2 = Sms 3 = Facebook inbox 4 = Whatsapp 5 = Airtime balance 6 = Photos and Videos 7 =...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
A man was sick and tired of going to work everyday while his wife stayed at home, he wanted his wife to see what he goes through and so he prayed; "Dear Lord, I go to work all day and put in...
1 Reactions
1 Replies
840 Views
Hayo ndio maneno aliyotoa kwa hasira baa-medi mmoja kwa jamaa ambaye alikuwa analazimisha penzi kwa huyo baa-medi. Baa-medi akaongeza kwamba 'mi nimeokoka, na si kwamba napenda kufanya kazi kwenye...
3 Reactions
40 Replies
6K Views
Jamani, nina masikitiko m akubwa sana ndani ya moyo wangu. Huu sasa ni zaidi ya mwezi wa nne, mama watoto amekuwa akinipa kwa masharti magumu sana kile chakula cha usiku. Kisingizio chake kikubwa...
1 Reactions
129 Replies
9K Views
Shukran Na Salam Za Dhat Kwenu Wakuu Nko hapa kwan Nnyi Ndio Mtakao Toa Ushaur Ulio Na Busara Nina Gf (22yr anajtegemea) Na Ndie Muathrka Mpaka Nahtaj Ushaur Wenu Wakuu Yeye Amepewa Jukumu La...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Jamani nwenzenu naona raha sana nikiwa nakula tunda la mama watoto. Nalia kwa utamu, tena nashindwa kujizuia hadi nakuwa kero kwa majirani. Nikiingiza tu chini ya sekunde ishirini tayari uji...
1 Reactions
54 Replies
27K Views
kuna mdada nampenda sana tupo naye chuo kimoja japo college tofauti juzi nilimtumia meseji ya kutakata awe gf wangu leo amenijibu kama ifuatavyo. "samahani kwa kuchelewa kukujibu nahitaji mume kwa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wana Jamvi, hili swala hata Kaunga kashindwa kulisolve, tumejaribu kuita kila mwenye mabusara yake atowe mawazo ila sijaridhika bado, yamenikuta. Sijui kama my love Kaunga kawadokeza hili ila...
8 Reactions
178 Replies
65K Views
Ndugu wan JF, naomba mnijuze hili............... Kuna hali fulani inajitokeza kwa msichana pale mnapokuwa faragha. After a long love play... and during penetration, kuna UTANDO MWEUPE UNATOKA...
0 Reactions
36 Replies
16K Views
Wana JF naomba msaada/ushauri. Nimefall in love na house girl wangu (beki tatu), kila nikiweka maazimio ya kuachana nae nashindwa. Na kwasasa nimenogewa hasa. Tumepima na wote ni wazima kiafya...
0 Reactions
89 Replies
22K Views
Ni mara nyingi sana kwa sisi wanaume.. mtu unapokuwa unamfukuzia gal huwa tunashow sana LOVE and CARE and also at a time unakuwa humuoni wa kulinganishana naye..Lakini baada ya ku'do' naye mara...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
TYPES OF HUSBAND THEIR CHARACTER TRAITS 1 Bachelor Husband These are men who Love to do things on their own without consulting their wives Love to hang a lot with their friends rather...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
HONEY,BABY,LAAZIZ,MPENZ,MAABUBA n.k Ni moja 2 ya maneno ambayo hunitoka Tena kwa dhati kabisa Eidha Niwapo Ana Kwa Ana Ama Nikiwa Nachat Kwa Simu Na ma gal Ndg wana JF(Hasa wanaume) nina GF...
2 Reactions
43 Replies
5K Views
nilikuwa kwenye hoteli moja kwa ajili ya kupata chakula, mhudumu wa kike alikuwa akitoa huduma mezani kwangu. Simu yake ikaita na kuipokea akisema "........ Nakuja niko nyumbani naoga nitakuja"...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…