Wapenzi wanaJF,
BINADAM tunapitia nyakati tofauti sana za mahusiano na kwasababu tunatumia sana hisia kwenye mahusisano yetu tumekuwa tunashindwa kudumu nayo kwa muda mrefu. Mpaka sasa ulipofikia...
Je kutokana na uchunguzi wangu niko sawa juu ya hii? naombeni maoni yenu pia,
Mwanaume ambaye yuko insecure juu ya mke wake katika maeneo yote yaani kuanzia kitandani hadi kimaongezi na utashi...
They are soft, warm, beautiful, bouncy, sensitive, sexy, curvy. Breasts are probably the most beautiful part of a woman. They can easily be counted among one of the first things men notice in...
Jaman nina rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki kwa muda mrefu sasa ila namjua ni tapeli na malaya sana na ameoa wake zaidi ya wawili bila ndoa na kuachana nao sasa cha kusikitisha zaidi...
je umewahi kumwelewa mwanamke kitu anamaanisa anapoongea?
je huwa wanamaanisha wanchoongea?
Nimejaribu sana kuelewa kitu wanawake wanaongea na wanachomaanisha nimekuja kugundua ni ngumu sana...
ni baba yangu, ni mtoto wake wa nje, aliponipa jina la JOSEPH alihamishwa kikazi (alikuwa mkuu wa kituo cha polisi HIMO mwishon mwa mwaka 1979). Ila nasikia alihamishiwa TAZARA. Baadae ndo...
Najua hili jambo limeshajadiliwa sana,sina maana nalileta tena ila natoa angalizo kwa wale wanaoliishi. . . . . . . . . . . . . , . . .Kuwa mwaminifu sio kwa sababu Mungu amekataa uzinzi,au...
Spouse wangu, I lost count zilipofikia pairs 100 baada ya 4 years ya marriage . . . sasa sijui idadi aliyonayo.
Vingine havivaliwi, kila msimu au sherehe na kiatu chake . . . . sasa hata sijui ni...
Hivi ni umri gani mtu atakoma kuamkia amkio la shikamoo? Utaona mtu mzima yuko kwenye 50s bado anarusha shikamoo kwa watu ambao kwakeli hapishani sana nao.Au ndiyo hawa wamepewa roho ya ujana hata...
Habari zenu jamani?
Mimi nina mpenzi wangu ambaye nampenda sana na yeye ananipenda sana (kwa mujibu wa mdomo wake)
Sasa tatizo ni kwamba anapenda sana kukaa na kupiga story na wanaume.
Niliwahi...
WHEN A WOMAN OPEN HER BODY TO A MEN THE MEN IS CURSED SEX AND LOVE ARE PURELY 100% UNRELATED. LOVE FOR THE HEART SEX FOR THE BODY.
from my book coming soon long walk to real love
Jaman nimeachwa kisa ni mtandao mmoja hivi wa kijamii, sio kwamba nilikua nautumia vibaya wala nini!! Ila ilifikia mda nikaambiwa mambo yangu yote anayajua kwahiyo mimi na yeye tusijiane...
Inatokea kuna mdada umempenda sana,unachukua uamuzi wa kumtongoza na yeye bila hiyana anakukubalia,mnaingia kwenye mahusiano,inapita kama miezi 3 bila kukutana kimwili tangu muanze uhusiano maana...