mi cielewi labda nimeona mtu amepanda kwa gari na familia yake anetoka job kanpandishwa mbele mfanyakazi mwenzake nyuma ndo kapanda mke wake na mtoto je nisawa?
Habari wana JF.
Kuna rafiki yangu alikuwa na boyfriend wake ambaye alimuacha ghafla kwa sababu ambazo hata yeye(rafiki yangu) hazijui. Baada ya hapo kila mmoja aliendelea na maisha yake na jamaa...
Katika mwaka mmoja tu (june 2011 hadi July 2012) wake za watu watatu wamenifata kunitaka kimapenzi. Ninachotaka kujua ni kwa nini? ni kosa gani nifanyalo kiasi kuwa wake za watu wafikiri nawataka...
Jamaa ananieleza hapa eti kuna dada mmoja aliyewahi kumtokea ka mwaka umepita na ushee! Alimwomba urafiki demu akawa oooh ngoja kwanza ooh mara naogopa mara ntakwambia subiri kwanza! Jamaa...
Mtu mwenye nguvu kuliko watu wote katika historia ya dunia alikuwa Samson, kama ingekuwa leo basi Samson angeitwa John Cena n.k
Kama ni masumbwi basi Samson angebeba mikanda yote ya World Boxing...
WanaJF naomba kujulishwa gharama za kukodisha gari kwa ajili ya maharusi kwa siku moja ni shilingi ngapi kwa Dar? Aina ya gari Mercedes benz E Class, kwa wenye ufahamu juu ya hili naomba...
Alipofika hapa Arusha kwa mara ya kwanza ni mimi niliyempokea, nakumbuka ilikuwani mwaka 2000. Alikuwa ndio amemaliza chuo cha ualimu huko Ndala Tabora na alipangiwa kuja kufanya kazi hapa Arusha...
Habari zenu wa TZ.
Tangu huu mwaka uanze nimehudhuria harusi nne tofauti, huwezi amin zote ukiangalia ni kwamba bwana harusi ametupia kwanza a.k.a PILOT.
YAANI MABIBI HARUSI NI WAJAWAZITO tena...
wapendwa!
Naitaji ushauli wenu boy friend wa rafiki yangu wa miaka mitano hajawahi kumpeleka kwake tangu waanze uhusiano wamekua wakikutana hotelini tu
Yeye anaishi Dodoma na rafiki yangu...
Asalam Aleykum, [Shalom]
Katika maisha kila tuendapo/ tuwapo --> iwe shuleni, nyumbani, kanisani, msikitini, kwenye semina, (fb, thlr, twt, jf...)}social forums na kwingineko;
Tumeshauriwa na...
Habari za wakati huu,
naomba kwa dhati tuzungumzie suala hili,wote wanaume kwa wanawake...kwa nini wanawake wanatoka nje ya ndoa,?sisemi kuwa wanaume hawatoki nje ya ndoa,ila hata ukiangalia...
Habari zenu wapendwa?
Nimepata ajira mpya katika kampuni flani kitengo cha masoko (marketing) kama mjuavyo marketing inahitaji mtu uzunguke sana ukutane na watu sana... nimeanza kupata...
Heshima wakuu.....
Kuna kisa nimesimuliwa kutoka kijijini kwetu kilichompata binamu yangu wa kike mtoto wa shangazi.
Kafunga ndoa ya kikristo(katika madhehebu ya katoliki) miezi mitano iliyopita...
Ndege wa tabia moja huruka pamoja! Ujana ni fahari pia ni wakati wa kufanya maamuzi muhimu kumchagua yule utatumia muda wako wote unaobaki duniani.
Pia mapenzi ni matamu, na kupendwa kutamu...
Nilikuwa naishi katika nyumba hii......................
Nilikutana na dhahma hii miaka kumi iliyopita kabla sijamuoa mama Ngina. Nilikuwa najisikia vibaya sana jioni ile, kuanzia kwenye saa kumi...
Kuna wakati mwanamke hujikuta akiwa na wakati mgumu asijue la kufanya.....
Wanawake wengi hukabiliwa na matatizo yanayohusiana na mihemko, ukilinganisha na wanaume. Maradhi kama shinikizo la juu...
Wao hawatumii simu kuwasiliana.
Msingi mkubwa wa wanaume wa aina hii wanatunza siri kuhusu wao wenyewe na familia zao, kazi zao hata majina yao wakati mwingine
HAWATUMII SABABU YA KUWA KAZINI...
hello wadau wa jf....nashukuru sana kwa mawazo yenu nyote. sasa mimi nimeamua to keep distance na yule kaka coz naona kama nakua namsumbua pale ninapompigia simu au kumtext sms. lakini tatizo ni...