Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

wangapi wako kitchen gala duncan house
0 Reactions
8 Replies
1K Views
habari zenu wanandoa na wanajf kwa ujumla. imagine kabla ndoa ulikuwa na best friend wa kiume/kike ambaye alikuwa close na wewe (SIO MPENZI) mlikuwa mkisaidiana katika shida na raha ikafika wakati...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Wadau, Nina shemeji/wifi yenu ambae bado hatujafunga ndoa kutokana na ratiba kumbana kila mmoja wetu. Mnamo mwezi Miezi ya hivi karibuni kumekua na harusi mbili zinazohusu watu wa ofisini...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa kitabu cha Biblia, ni kuwa Mungu alichukua ubavu wa mwanaume aitwae Adam na kumtengeneza mwanamke aitwae Eva. Hiyo ni dhana tosha kwa mtu wa kawaida kuamini kuwa mwanamke aliumbwa...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Mhhh unamkuta mtu wako na pkt ya zana 3pc ila 1 imemis unamuuliza hii kitu kwenye gari inafanya nini?anajiumauma...unaanza kugomba kuwa majuzi tuu umeniambia kuwa hutodanganya tena utakuwa baba...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Ni zaidi ya miezi minne tupo kwenye mahusiano. Kuhusu kunipenda sina mashaka nae kwa hilo. Cha ajabu kila nikimchombeza huishia kununa, nimeshatoka jasho zaidi ya mara tano kumlazimisha ku-do...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Mimi ni Mswahili mzaliwa wa Bongo. Naomba kujitokeza kwa mara ya kwanza katika Forum yetu adhimu kutafuta rafiki wa kawaida. Sibagui dini wala kabila. Sifa za rafiki anayetakiwa. Awe mpenda...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Jamani naombeni kuwaulizeni wanaume hivi huwa mnaoa ili nini? Labda -upate mtu wa kusex nae siku yoyote ukitaka? -au upate watoto? -au...
8 Reactions
81 Replies
7K Views
Most of us have been hurt by loving wrong persons, But I want you to know that the right person for you is there all along. You just didn't see it because the wrong person was blocking your sight...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
.....:screwy: .....hivi, unapokuwa unamdanganya mtu, bila 'woga' kwamba ANAJUA unamdanganya, ...kusudio lako huwa nini? .....mimi bado sina tafsiri sahihi juu ya hili zaidi ya 'madharau' katika...
12 Reactions
198 Replies
12K Views
WanaMMU heshima mbele. Ni siku kadhaa hivi nilitupia uzi wenye kwenda kwa jina 'Namuanzaje mamamkwe'?. Kwa kweli naomba nishukuru kwa Mawaidha, Ushauri, Maonyo pamoja na Michango yote kiujumla...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Kulingana na tamaduni mbalimbali za mwanadamu, kumeibuka tathimini isiyo rasmi inayoumiza vichwa vya wanazuoni wa kimahusiano hasa dhana ya kuoa ama kuolewa! Hivi binadamu anapoamua...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Naomba kuuliza swali.je jina la mtu na mahusiano yanamaana?.kuna mtu anaitwa nelson mpenzi wake anaitwa rose.wameachana,watu wakasema hata majina yenu hayaruhusu kuwa pamoja.ni kweli na ndo...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Nimepokea barua hii toka kijijini naomba msaada wa hali na mali kumwezesha DOGO. Nitawatumia namba wale tu waliotayari kusaidia tu siyo wale wanaokebehi
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mjue mume aliyekuwa ana mwanamke mwengine 1)Kuchelewa kurudi nyumbani bila sababu za msingi 2)Overtime kazini zinazidi kumbe hayuko kazini 3)Simu haikai chini mpaka chooni pengine anaingia...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
TB parents...lol – Please don’t ignore the prayer at the end Children are a photocopy of their parents's character You are the hydro power dams from which they Can tap the power of living...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
In love, it's about teamwork Send to a friend Saturday, 02 June 2012 12:50 digg Partner power: Women need to open up and let their men know what they really want.PHOTO I file By...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
There is just one thing naomba kujuzwa kwanza jamani eh! Hivi ni kwanini wadada/wamama mkitaja neno mapenzi lazima liendane na hali ya maisha ya mkaka/mababa au uwezo wake kifedha? Please nijibuni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kichapo hiki hebu tujadili!!!!!!!!!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa ubunifu huu UKIMWI utashindwa.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…