Love is patient, love is kind. It does not envy, it does not boast, it is not proud. It is not rude, it is not self-seeking, it is not easily angered, it keeps no record of wrongs. Love does not...
Hili nimelikuta kwenye ukurasa wake wa facebook anasema wanaume wengi wa tz wananuka boxer,midomo,soksi nk,nimelileta hapa jf magreat thinker mnalizungumziaje?
Wakati nina 20 yrs na nikiwa sijawahi ku-do. Nilikwenda mkoa na wazazi for a wedding party. duh! nilikutana na demu mmoja nikawa very attracted lakini sikuwa na nguvu za kujaribu hata kumsogelea...
Nikiwa nimeanza kubarehe nikiwa mkoa wa tabora na maisha ya shule...nakumbuka sikupata mtu wakunipoza moto niliokuwa nao wa ngono....nikawanateseka....maisha yangu yakawa ni Masturbation daily...
Duh...! Ama kweli nilipata tabu sana enzi zangu za kubalehe yani wanafanzi wenzangu wa O-level wengi wao nikiwa approach walikua wananikubali, sekeseke linakua kwenye uroda ambao ahadi zao zilikua...
Mjadala wa kwenye thread ya Bishanga wa wanawake kupata changamoto ya mpenzi/mume mpya wanapokuwa na watoto wa mahusiano ya zamani ulichukua kasi na siwezi kusema ulifikia muafaka ama la. . . ...
Wanawake wenzangu,
Siku hizi kutembea na mume wa mtu ni jambo la kawaida lakini ndio akulete nyumbani, ulalie the same bed anacholalia na mkewe?? That is too much akhaa!!
Hebu tujiulize kwa nini...
Baada ya kufuatilia kwa muda mrefu kitu kinachosababisha watu kusalitiana kwenye mapenzi, nimefanikiwa kupata sababu sahihi za jambo hili achilia mbali ile sababu ya uovu wa kibinaadamu...
Nimesikia habari RFA kwenye matukio asubuhi binti amuua mwanae kwa kumnyonga kisa aweze kuolewa
Mwanaume kamwambia hawezi kumuoa akiwa na mtoto ambaye hakuzaa nae
dawa ni kukatisha maisha
Hii...
Ni desturi kwa mwanaume kumpa pesa mwanamke baada ya kufanya naye mapenzi, na ikiwa mmekubalina na pia RAHA hata na yeye anaipata.
Inakuwaje mmpe pesa na siyo mwanamke ampe pesa mwanaume, hata...
Unampigia simu mpenzi wako
Wewe:mambo vipi mpenzi
Mpenzi:poa mambo vipi Aisha
Wewe:aaah mi siyo Aisha bhana
Mpenzi:sorry my dia nimechanganya,mambo vipi lakini Lucy
Wewe:aaah mi siyo Lucy we vipi...
Jana nimefikisha alama yangu ya 29. Nilitia nia ya dhati wakati nimefika miaka 20 kuwa
nikifikisha wapenzi 29 itakuwa mwihso wa kujihusisha na SEX. Mume wangu atakuwa ni wa 30.
Nimepita mengi...
Habari zenu wanajukwaa,
Kuna rafiki yangu wa kike ambaye nafanya naye kazi katika kampuni moja hapa jijini ametokea kunipenda ghafla, japo sikuwahi kufikiria kama siku moja angetokea kunipenda...
Mimi nina girlfriend ambaye nimedumu nae katika mahusiano kwa miaka kama minne na sasa yupo masomoni,kiukweli nampenda sana ila sijui upande wake japo anajitahidi kwa kiasi chake kuonyesha mapenzi...
Mdada kuwa mbalamwezini ni kutii amri ya asilia.
Mie sina kinyongo naelewa ni matakwa ya Muumba.
Walakini anapozua mazogo mie huwa nataabika.
Natamani apite mwezini kwa shwari bila kunitaabisha...
Tangu tukiwa na umri wa siku moja,tunataka kukubaliwa,kupokelewa na kulindwa.Haya ni kama mambo ya kimaumbile kwa mwanadamu.Unapogundua kuwa watu wote hawakupendi utababaika na kuchanganyikiwa na...
You can instantly know a woman's sex history from her stride, claims study
Woman who have orgasms from sexual intercourse walk differently
Belgian researchers watched videos of women walking, and...
Wana-jamvi mnakubaliana nami kwamba hii kauli mbiu ya Mamlaka ya Bandari inashabihiana na kauli mbiu ya wasichana siku hizi? Yaani Document (Pesa) Kwanza Mzigo (Mapenzi) baadae....!!