Usitake kujua ni new member ama lah.
Wewe nikaribishe tu hapa tuwe tunajadili
yale ambayo yanafanya dunia izunguke na isife. Sex.
Nikaribisheni tafadhali maana hii forum MMU wajua nini...
Mahusiano hasa ya mapenzi. Mapenzi hayangalii kuna wanaume walioko vyuoni wakabahatika kupata wapenzi huko na wasio wanachuo wakapata wanawake wa chuo..
Sasa uliye na mpenz chuo ukiona mpenz wako...
Kuna mambo huwa yanashangaza na pengine kuchekesha, ni kisa cha
huyu Jirani yangu.
Kila siku amekuwa akimsimulia mkewe juu ya wapenzi wake wa zamani
hasa pale anapowaona akiwa na mkewe...
habari za jioni wana jamii!? nipo kwenye costa natoka Bagamoyo kutembelea rafiki zangu.
jambo ambalo limenituma hadi naanzisha hii thread ni kwamba kuna mtu amekaa siti ya nyuma yangu ana simu...
Someone once told me that:-
"couple's first fight sets tone for all future's arguments"
Je kauli hii ina ukweli? Tujikumbushe kwa kujibu maswali yafuatayo:-
Do u remember ur first fight...
Nimekutana na rafiki yangu mmoja analalamika kuwa anaukilema yani ana mb*** kubwa(mguu wa mtoto)wanawake wengi anaowapata wanakimbia au wanatumia mikono kumzuia asiweze kushugulika vizuri hapo...
Unakuta ulikua na gal wako tangu zamani,ila inapofka kipindi anaingia chuo kikuu,anaanza kukupotezea kistyle.ivi siku akijidai kujirudisha kwako,utampokea kweli?
Kuna watu wanatamani siku zirudi nyuma wasahihishe makosa waliyotenda.Sasa nakuuliza,je huyo mkeo/mumeo unajuta kuwa nae,huyo mchumba wako unajuta kumchumbia/kuchumbiwa nae?Vipi kama siku...
hivi kuna faida gani kuhadahiwa na maumbile yenye mvuto halafu ukamshupalia mtu ambaye hana harufu hata ya kukupenda? Mimi wenzangu ninampenda yule tu anayenipenda.........mambo mengine...
Karibuni nyote Pemba huu ndo usafiri wetu
Jamani karibuni sana Pemba tudumishe muungano.
Tayari tumesha oa bara sasa mje hata huku kusalimia wakwe zenu.
Pemba kuzuri jamani kuna kila aina...
N i kisa cha kweli imenitokea leo.
Huyu binti, anasoma hapa katikati ya jiji,
mara kwanza nilikutana naye alikuwa amevaa kimtego, nikaomba namba akasema hana simu.
Hivyo tukawa tunawasiliana na...
Kwa mbwembwe nimeingia, salamu nawatakia
Za watoto nawaitikia, wakubwa naamkia,
Swali nawaulizia, natumai mtajibia,
Mgeni siku ya kwanza, ale na kubakishia?
Mgeni akikujia, kutoka maili mamia...
. . . .ever been told that?
Kama ambavyo watu hua wanatamani kuambiwa "NAKUPENDA wewe" na kufurahia wanapoambiwa hivyo. . .je ni vipi ikiwa kinyume cha hapo? Ukiambiwa "NAKUCHUKIA wewe" na...
Familia moja ilikua na House Girl, alikua haruhusiwi kukalia sofa sebleni, haruhusiwi kula meza moja na familia ya mwajiri wake japo chakula kapika yeye, alilalia godoro jembamba la nchi 1.2...
wapendwa wangu wa jf nimekuwa na hili swali kitambo kidogo na nadhan hapa leo ntapata majibu hasa wakaka naomba mniambie kwa uzuri hivi inakuaje mtu mpenzi wako yeye anataka mchat tuu saana na...
Huyu kijana amegeuka kuwa hatari hapa mtaani ninapoishi. Mpaka sasa kuna ndoa kama saba hivi ambazo inaonekana jahazi linaelekea kuzama kutokana na ushushushu wa huyu kijana anayedai eti...
Wakuu mabibi na Mabwana
Happy valentine's day to you all, kwa niama ya my BIIIG family, sweetie AshaDii, ma hommies, wapwaz, mabinamu, friends in need na wote wenye mapenzi mema.
Kitu kimoja...
hi m a Kamasutra teacher in Nirvaana school of sexual art. i m instructor of kamasutra an art of love making plz. Ask any question and i eill aanswer it. We are in kenya but want to open school...
Toka utotoni nimelelewa kwe familia ya watoto sita nikiwa wamwisho kwe madada watano
...mda wote nimezoea kupikiwa toka utotoni hadi namaliza chuo mwaka jana na kupata kazi..juzi nimerudi...