Mwezi uliopita nilikutana na rafiki yangu wa kike wa facebook livena tukapata nae chakula cha mchana. Katika maongezi na kufahamiana zaidi nimetambua kwamba rafiki yangu ni mwananfuziwa chuo...
Habari wana Jf,
Juzi kwa rafiki yangu kulikuwa na sherehe ya kuvishwa pete ya uchumba mdogo wake,watu tulikuwa wengi tu sebuleni,
Ghafla ktk hali isiyotarajiwa aliibuka mtoto wa mdogo wake akiwa...
Hii story ni kutoka kwa jamaa yangu ameniomba ushauri:
ilikuwa juzi,mkewe alikwenda kwako kutembelea(kwao na mkewe ni mjini pia)
Aidha baba mkwewe ni dreva tax.
sasa jamaa yangu akaenda hotel...
Nchi za wenzetu wanaume.hua wanaenda strip club kuangalia wanawake wakicheza taratibu na kwa madaha huku waki'undress. . .sina uhakika na huku kwetu.
Nwy ni dhahiri kwamba wanaume hua wanapenda...
Mimi ni mvulana ambaye ndo kwanza naanza maisha tatizo la ajira nahisi limenifanya nijishughulishe na vibiashara vyangu vidogovidogo ambavyo vina nipa kula na mahitaji mengine.Katika maisha yangu...
Wadau naomba tutete kinaga ubaga,kuna jamaa yangu kanipa no ya binti mmoja na binti nimeisha ongea nae several time ila yet sijamwambia linalo nisibu kwake,na leo kaniomba tukutane na hatujawahi...
wajameni nilikuwa na uhusiano wakimapenzi na mke wa jirani.kila mara huniambia ananipenda sana kuliko mumewe wa ndoa, siku moja nilimwambia kama kweli ananipenda aende akadai talaka ili tuwe...
Jaman,mshkaji wangu amepewa huo mtihan na swthart wake.kiukwel msela,hajatulia kivile,na ninahc gal wake atakua kamshtukia,asa ananiomba ushauri amkubalie wakapime au vp maana ye pia anampenda ila...
mpenzi wako anakupigia simu au kukutumia ujumbe mara nying ila kila mkikutana anataka ngono 2 na si mambo mengine na hakisha kamilisha anakuaga na kuendeleza mawasiliano ya simu 2!je m2 km huyu...
Jamani niwahini nisipotee na kufa kwa presha
Nina mpennzi wangu wote tuko chuo kikuu lakini course tofauti lakini tunalingana Umri. Tumeishi kwa pamoja kwa miaka 4 kwa mapenzi ya dhati zaidi ya...
Ninahitaji ushauri wenu wa haraka wadau wa jukwaa hili ,nina msichana ambaye nilianzanae mahusiano kama wapenzi
mwenzi mmoja ivi uliopita ,ananipenda nami pia nimempenda ,lakini katika muda huo...
Mimi kuna matangazo nayapenda sana. Lipo la hili mtoto anaendesha ringi lake, linakanyangwa
na gari, kisha anajaribu kulinyoosha kwa kajiwe, mama anamwona, anamnunulia baiskeli! Mimi...
Nasikia wababa wakisema aaaa huyo hamuna kitu hana mtindo wowote akilala
kama mzigo. Na mwingine utasikia akisifia kua huyo mama au dada achana nae,
akikupa kichuma boga hutoki au akikaa mkao wa...
Ndugu wana jf, kuna mkasa umempata jirani yangu nataka ni share na nyie.
Kuna jirani yangu kaoa na ana watoto wawili. Pia ana mdogo wake wa kiume ambae naye pia kaoa. Siku za nyuma huyo mdogo...
Hongereni kwa kazi wana JF. Mimi ni kijana mwanaume(31).nimeajiriwa na serikali kipato kinanitosheleza .natafuta mchumba mwanamke(21-25).awe mcha mungu,msafi,mrefu wa wastani,mkweli,afya...
Kuna hiki kisa ambacho nilikipata jana baada ya jamaa yangu kujieleza kuhusu shida yake inayohusiana na mambo ya mapenzi, chanzo cha jamaa kujieleza ni kufuatia habari ya mwenzetu mmoja kutangaza...
Habari zenu wanajf.
Leo nimepata ugeni wa jirani yangu kuja kumsalimia kichanga wangu. wakati naongea naye nikagundua kuwa hana raha ndipo nilipomuuliza kulikoni mama,...................? Jirani...
Jana rafiki yangu kipenzi kaniuliza..'hivi wewe Bishanga wanawake wanavyokupapatikia unadhani ni kwa vile we ni handsome?' Nilitafakari na baada ya kufika nyumbani nilisalula kila kitu nikabaki...