Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wanajamii nisaidieni mawazo yenu...ctaki kusimulia yaliyopita ila ni kwamba nilikuwa naongea na ninaeamini ni mpenzi wangu lakini ghafla kanambia kata cm mama anapiga tokea saa nne bt kila nikipga...
0 Reactions
62 Replies
5K Views
Hii ni situation ya kweli hapa nchini, hv ni haki kwel kwa mwanachuo wa kike kulazimishwa kungonoka na lecturer ndo apewe coursework acpofanya hivo anasapushwa ikiwezekana na kukeri kabisa hilo...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Ni aibu na ujinga,Msichana anatembelewa na boyfnd wake,nyumbani kwa wazazi wake.Then wanafanya mapenzi nyumbani kwa msichana(yaan nyumba ya wazazi wa msichana).Kwa nini asikupeleke kwao,kama...
1 Reactions
57 Replies
4K Views
......................................................................................
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Nimekuwa nikilog in kwenye mtandao wa JF kwenye Laptop yangu na kuchagua keep me logged in. sasa nimegundua mke wangu nae huwa anaangaliaga JF, na ameshaifahamu user name ninayoitumia hapa JF...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Heshima kwenu brothers and sisters, Why ladies mnapata shida sana kuishi single without relation kwa muda mrefu? I have a workmate and friend of mine ambaye inshort ni mzuri, but huyu sister...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Sio kila jambo ni la kushea,binadamu tuna marafiki,wazazi na ndugu,wote hawa kila kukicha tunasema tunawapenda lakini linapokuja suala la mapenzi hapo tunataka tuwe wenyewe tu. Japokua zipo imani...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wana JF Naomba tushauriane suala hili.muda huu niandikapo natoka kucheza muziki na shoga.kwa mbali naambiwa alikuwa tanga.alikimbia kule kwa kudhurumu.yeye ni mrefu,mwembamba...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Things have changed complitely. A real man had to straggle to bare the family, to care and to prepare a better future for his family. Currently this things have changed and in some instance are...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Niko hapa maeneo ya Mlimani City na mfanyakazi mwenzangu ambaye bado hajaoa……… Tumesimama mahali ambapo kila anayeingia na kutoka hapa Mlimani City tunamuona.................. Kuna mabinti wengi...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Ni true case. Binti ni shemeji yangu na mwanaume ni rafiki yangu. Binti aliambukizwa HIV kutoka kwa mama yake wakati wa kuzaliwa, na aliniambia mwenyewe. Kupitia kwangu rafik yangu alimfaham huyu...
0 Reactions
74 Replies
6K Views
Ulikuwa kama mchezo mnakusanyika watoto wa kike na kiume na mnaanza kuimba, akianza mwanamke anamachagua mwanaume na akianza mwanaume anamchagua mwanamke, wengine tulikuwa tunautumia kwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
wanaume huwa wana usiri sana pale ambapo rafiki ake anakuwa ana mademu more than one, hata iwe rafiki ake awe amekwenda kumsindikiza binti mwingine, utasikia rafiki ake akisema oooh shemu karibu...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
QUESTION;Why do couples hold hands during their wedding? ANSWER:It is just a formality just like two boxers shaking hands before the fight begins.
0 Reactions
5 Replies
990 Views
Jamani hapa tunaongea kama wazazi Je ni halali mama kupiga dabali watoto mgongoni? Akipiga hivi dabali haiathiri malezi na makuzi ya watoto? Yaani hapa nazungumzia umemwacha mkeo nyumbani akaja...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Imagine umeoa/kuolewa ghafla unamkuta wife/husband anaangalia picha kwenye album yake huku anasikitika, unamuuliza vipi anakwambia unamuona huyu naemwangalia alinipenda sana ila hakufanikiwa...
0 Reactions
5 Replies
894 Views
Hello guys..Am a lady aged 28 yrz ni mama wa 3 yrz dota.mkasa wangu ni huu,huyu baba wa mwanangu naish nae na alinioa kwa ndoa ya kimila 2008! Makubaliano yalikuwa ni hv imediately nikigraduate we...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Inasikitisha sana lakini ukweli ni kwamba hili limetokea leo mjini dodoma. Mmaasai mmoja kamuua mwenzake kwa sime. Chanzo cha ugomvi ni ugomvi wa hao wamaasai wakigombea mwanamke ambaye alikuwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani wanaume wengi wanalalamika kuhusu tabia ya baadhi ya wanawake ya kutotaka kuishi na ndugu wa upande wa mwanaume. Wengi wa wanawake wa jinsi hii wanapenda tu wakae na ndugu zao, lakini siyo...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Fikiria wewe ni binti (au mzazi wa binti) ambaye unataka/ anataka kuolewa na mwanaume ambaye hajasoma (illiterate) utakubali? Hebu tujadili wanajamvi... kama utakubali ni kwanini??? na kama...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…