Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kwa watakaohitaji: Hamster Free Woman CalendarHamster Free Woman Calendar is a simple and user-friendly universal calendar for women. It will help you to avoid an unwanted pregnancy and to choose...
0 Reactions
4 Replies
896 Views
Ilikuwa ni mwaka 1980 katika kiunga kimoja cha jiji la Paris nchini Ufaransa wakati huduma za Posta ziliposimamishwa kwa muda. Ilikuwaje hadi kufikia hatua hiyo? Ni pale mtumishi mmoja kwenye...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuanzia Marekani mpaka hapa TZ inaonekana umaarufu 'huharibu' watoto vibaya mno.... ndo maana ni kawaida kusikia watu maarufu wakikataza watoto wao kujishughulisha na sanaa au michezo au kazi za...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Jana ndio tulifuata majibu hayo kwa ajili ya rafiki yangu ambaye amechumbia binti wa kizaramo. Majibu hayo yamenisisimua na kuniacha hoi hasa upande wa mambo ambayo tunatakiwa kulipia. Haya ndiyo...
7 Reactions
46 Replies
14K Views
Huwa najiuliza, mwenzi wa kwanza kuwa naye katika mahusiano ana nafasi yeyote katika utamaduni wako wa mahusiano? Ni kweli ana nafasi kubwa ya ku-determine do's and dont's katika mapenzi? Mfano...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Hivi kati ya Wanaume na Wanawake nani wanaongoza kwa kuumizwa kwenye mapenzi ,kupigwa chini (Heart broken) ?
0 Reactions
20 Replies
11K Views
Bofffffff
3 Reactions
20 Replies
3K Views
How important is independence in your life? There are people who don’t like to be independent as they consider it difficult. They want to depend their whole lives on others...
0 Reactions
4 Replies
882 Views
Akiwa nje ya mood anatupa neno moja moja hata kujibu kwake ni kitendawili saa zingine, akiwa ndani ya mood ndo sikukuu inakuwa ndefu na uwingi wa maneno iwe ya kukera ama ya kufurahisha na wakati...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Naombeni ushauri maana kwakweli nashindwa kujishauri kama nisuke au ninyoe. Miezi michache iliyopita(haifiki mitano) nilikutana na kaka mmoja sehemu yake ya kazi nikiwa napata huduma pale...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Mke wangu ana ujauzito wa miezi mitatu, lakini tangu amekuwa na mimba amekuwa akiendelea kupata hedhi, Pia anaota anafanya mapenzi na watu tofautitofauti kila siku. Na kuanzia amekuwa mjamzito...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
tumeanza kutrain jinsi ya kukabiliana na vipigo....lol
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Kabla sijaoa nilikuwa nafanya mazoezi ya kunyanyua vyuma sana.Na ninakumbuka enzi hizo my wife alikuwa chuo alikuwa anakuja kila weekend na ilikuwa hamna kulala yaani round moja bila lisaa limoja...
4 Reactions
23 Replies
7K Views
huwa nasikia kwamba wanaume hawapendi kufuatiliwa na wapenzi/wake/wachumba zao.mf.kumpigia pigia cm upo wap saiv upo na nani wafanya nini? unarudi sa ngap mbona nasikia saut za wanawake umekaa na...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Leo nilikuta mjadala huu kwenye usafiri wetu wa hiace, walikua wakijadili rangi ya mwanamke na mwanaume namna inavyoweza kuwa dili kwenye mahusiano,wengi walionekana kuisifia rangi nyeupe na...
0 Reactions
56 Replies
13K Views
I noticed something. As a person gets older it is more difficult for him to fall in love. Even if it seems that everything is great and perfect. But the relations may end prompty. Why?
0 Reactions
1 Replies
724 Views
kuna mdada mmoja nimetokea kumpenda tena sana ila ana mimba ya miezi 5 co yangu nimemkuta nayo.kwao ni moro nami niko dar maisha yake ni magumu sana kwani anamtegemea mama yake kwa kila kitu na...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hayati Daniella Perez Muuwaji Guilherme de Padua Mtuhumiwa kizimbani Mapenzi, haiba, uzinzi, kutoka nje ya ndoa na mauaji vyote hivyo ni chachu ya tamthiliya za Wabrazili ambazo zimeteka...
5 Reactions
21 Replies
8K Views
Wapendwa nimeona kwa leo niwashirikishe katika hili. Wengi wenu mnapoanzisha mahusiano na wapenzi wapya mnajenga mazingira ya kuficha ili jamii isijue mahusiano yenu. Hilo ni kosa kubwa katika...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Thomas Beatie, who made headlines in 2008 as the only legally recognized man known to have given birth, has separated from his wife of nine years, according to People magazine. Beatie, who has had...
0 Reactions
3 Replies
991 Views
Back
Top Bottom