Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nimuda gani/ Umri gani kijana anatakiwa kuoa/ kuolewa? na anaowa/olewa kwa sababu gani,kwa sabau wenzake tayari,upweke,tamaa au haolewi/haoi kwa sabau hana kipato?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi wanawake wanavaa nguo ili kuwa'impress wanaume??au wanavaa nguo zao ili ziwapendeze............Ninamaanisha 'assume kungekua hakuna wanaume,wangeendelea kuvaa nguo za kubana,fupi sana,za...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za leo wana MMU? Kwanza, naomba msamaha kwa wote ambao kwa namna moja au nyingine wasingependa kuzisikia tena habari za ‘The Great’. Si nia yangu kuwatonesha kidonda bali kuwashirikisha...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Hebu tuchukulie kwamba umeolewa au kuoa,halafu una mafanikio makubwa kifedha mpaka inafikia mahali ndugu jamaa na marafiki zako na hata watu wengine wanatamani hayo mafanikio yako. . . . . . ...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni wimbo wa taifa ulivyotaka kunitia matatani au ni kilingala feki kilivyoniokoa.........? Nilikuwa pande za mwisho wa reli kikazi, nikawa nimemtokea binti mmoja mzazi wake ni mwalimu mkuu katika...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
  • Closed
Nimpiga omwana muisiki alaba MKYALA WANGE ebilo byomaisho. Ebwonkwanda abe nabyo: 1. abemkulu kubandiza miaka makumigabili na ishatu - namshanju 2. okushomakwe abe ne diploma -digrii yonayona 2...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Wana jf nipeni hongera leo nimepata mtoto wa kiume ktk hospitali ya muhimbili. he is such a darling boy. But u cant believe what i have been through. jamani niliumwa mpaka nikajuta. but now am happy.
6 Reactions
69 Replies
5K Views
01/ Unaetaka Mpenzi wako awe wako Peke Yako wakati wewe ni wa wengi... 02/ Unaetaka kujua kila kitu kuhusu Mpnz wako wakati wew unamficha ya kwako... Kweli ni wewe...??et 03/ Unapenda...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
hi jf. Apa mtaani kwetu, kuna jirani wangu anaishi na mpenzi wake BUT Mwanaume ndiyo kamfata Mwanamke nyumbani kwake nukuta CHAMAAJABU: Huyu JAMAA Uwa anamwamkia uyu mwana dada, Na sasa...
0 Reactions
2 Replies
884 Views
Wapendwa katika pilika za kutafuta pen kwa room yangu..nikaamua kufungua pochi ya shemeji/wifi yenu...tobaa nimekutana na cha Arusha!!!...nimedata nisaidieni....
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Love can change a person the way a parent can change a baby awkwardly and often with a great deal of mess!
0 Reactions
7 Replies
900 Views
  • Closed
Wadau,Msaada wa maamuzi tafadhali. Kwanza msianze kunialaumu ,shauri kwanza,lawama baadae. Hapa nilipo i have two girls in my place.Both are my girls.Mmoja alikuja asubuhi kwa taarifa nikawa...
0 Reactions
111 Replies
7K Views
MSANII machachari wa Filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, juzikati alianika kuwa hatarajii kudanganyika kwa chochote mwezi huu hadi majira ya Kwaresma yatakapomalizika. Akizungumza na paparazi...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Hivi kucheat na kuzini vina maana moja?Tafadhali naomba ufafanue utakaposema ndio au hapana!
0 Reactions
131 Replies
8K Views
If you had almost five billion dollars, what would you do? For Karl Wlaschek, the answer is marry a lot. Forbes is reporting via Vienna News that Austrian retail tycoon Wlaschek will wed for...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa kawaida wanaume na wanawake wanazo tofauti za kimaumbile. Kuna wakati tofauti hizi huweza kusababisha ufa kwenye uhusiano na hata kuangusha kabisa ndoa. Leo nimeona ni vyema kwa wanawake kujua...
12 Reactions
42 Replies
8K Views
Most university students at high risk of HIV infection`Urgent and concerted effort is needed to rescue students in higher learning institutions from contracting HIV/Aids, a survey has revealed...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tulikua wapenzi kwa muda mrefu ila kulitokea kutokuelewana kwenye mwezi wa 2, kwa kushindikizwa na familia yake wakaamua kukubali posa ya mtu mwengine! Ila sasa mapenz yamerudi tena kwa kasi kubwa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Uchunguzi wa muda mrefu wa suala hili ulibaini kuwa katika klabu, kasino na sehemu nyingi za starehe jijini Dar es Salaam, kuna idadi kubwa ya wanaume wanaojiuza kwa mijimama ya mjini yenye...
1 Reactions
67 Replies
20K Views
Mwandani wako kaifumania soksi kwenye mfuko wako wa suruali au kwenye kibeti chako. Hivi utajieleleza vipi?.......au utajitetea vipi? Nyie mambo yenu ni pekupeku maana mnaaminiana sana tu sasa...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…