Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Karla Faye Tucker akiwa gerezani Mlo wake wa mwisho kabla ya kunyongwa Kati ya saa 8:30 na 10:30 za usiku ya Jumatatu Juni 13, 1983 Karla Faye Tucker, Danny Garrett na James Leibrant...
15 Reactions
73 Replies
8K Views
Unapotafu mwenzi wakuoa, kijana wakiume anapoulizwa unataka mwanamke wanamna gani ili afae kuwa mke mwema? HUJIBU KUWA ANATAKA MWANAMKE ANAEJUA KULEA WATOTO VIZURI. Je hii humanisha...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Inawahusu wawili wanaoishi pamoja,SIO wale wanaokutana gesti kwa short time.Nauliza wenzangu wanamaandalizi gani kabla na baada ya kufanya mapenzi.maana mi naonaga uvivu kuoga oaga kila wakati...
0 Reactions
50 Replies
16K Views
moved 2 love connect
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mahusiano kati ya wapendanao hujengwa zaidi na hisia za moyo (Feelings), zikipotea hakuna mapenzi yanabaki mazoea!! kati ya mambo ambayo yanavuruga mapenzi kati ya wanaume na wanawake ni majibu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu wadau!ebana kuna mmanzi mmoja aliwahi kuwa galfrd wangu wa enzi hizo,bt ilitokea tukatofautiana then kila mtu akaenda njia yake ila ye bado alikua ni kama ananilalamikia mie kuwa ndo...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Naomba kufahamu dada zetu huko kitchen party huwa mnafundishwa nini? Maana nilisikia huwa mnafundishwa maadili. Namna ya kumtunza mumeo na watoto wako. Mapishi ya vyakula vizuri kwa mumeo na...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Jamani mimi nimekuwa nikijiuliza hili swali: Hivi mtu anapoleta shida yake hapa jamvini...hasa inapomhusu partner wake, ni kwamba huyo partner wake yeye huwa hatembelei maeneo haya ya JF...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Mara nyingi kwenye mahusiano, hasa kwa wadada, unakuta analalamika au anatoa maneno unikome, sikutaki tena, kumbe unanichezea bure. Hili suala la mmoja kumchezea mwenzake inakuwaje? Je ni...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Habari wana jf. Eti kwanini wasichana wanawahi mapema kujiinvolve kwenye sexual affairs kuliko wavulana? Utakuta binti wa miaka 16 form 2 tu tayari kashayajua mapenzi. But most of boys inakuwaga...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Ukitaka kuumiza moyo wako jifanye unajua kupenda, siku hizi ukiwa maarufu au mambo safi kidogo tu kila mtu atajifanya anakutaka kimapenzi, hata kama huvutii. Wengine huenda mbali hata wakafunga...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi imewahi kukutokea unaamka tuu huna mood na mpenzio/mkeo? Yaani hutaki tuu akusemeshe au awe karibu nawe! Sababu nini?
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Marriage is a union between man and woman. However, due to civilization, people of same sex now have feelings for each other and they practice homosexuality or lesbianism. If you discover that...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna jamaa yangu Mmmoja ni Medical Dr, katika mazungumzo ya hapa na pale akanipa hii kali. Kwa wale wanaopenda sana kutumia style za ajabu ajabu katika kula tundi wana less probability ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimejiuliza kwa muda mrefu bila kupata majibu. Wacha leo nitapike hadharani na naomba leo mnipe jibu. Utasikia tu, ana watoto kadhaa lakini katu sijawahi kumuona mwanasiasa mwanamke akiwa...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Ee bwana wazee naombani ushauri. Miaka miwili hivi nilikutana na demu mmoja kutoka Kenya ukambani. Demu kiaina tukawa kweny uhusiano. Tumeendelea kuwa na uhusiano toka mwaka jana hadi juzi kama...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Tonge lipo mdomoni na pengine hata umeanza kulimega na kulitafuna polepole na pale anapozuka mtu kutoka kusikojulikana na kukunyang'anya unajisikiaje haswa pale ambapo unajaribu kuling'ang'ania...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Nina mchumba wangu 25yrs old!..anapenda sana kunyonya kodole nakushika chuchu huku akiivutavuta!...sio siri tabia hii inanikeraa!..nimemuonya lkn wapi!!!..juzi kidogo tupate ajali eneo la rose...
2 Reactions
48 Replies
13K Views
Oni langu kwenye katiba mpya,watakaofanya tendo la ndoa kabla ya ndoa wahukumiwe kifungo!
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Salaam! Najiuliza sana jamani kila nikiraise issue ambayo naona ni yakudiscuss kimahusiano najiwa juuu nasusiwa!ila sijampa game wiki sasa? Je hio ndo sababu au ndo sina changu hapo?wadau naomba...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…