Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

If men made love the way most women prefer, both sexes would feel more sexually fulfilled—and many relationships would improve out of bed as well as between the sheets. If men made love the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari kwenu, Naomba kuuliza, hivi bado kuna mapenzi ya namna hii....kama haya ya kwenye huu wimbo wa "end of the road"?? Hebu soma hzo lyrics hapo chini........mtu amekutenda bado unajifanya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
mm ni kijana wa miaka 28 ni nayo kazi inayoniwezesha kuishi na kuweza kumhudumia m2 mwingine tatizo ni kuwa nahitaji kuoa xaxa but cjui nianzie wapi kwa xaxa coz kila nikihadithiwa masaibu ya ndoa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Jamani wakubwa, najua wengi mpo double....so taratibu jamani, akina dada muoneshe ushirikiano mzuri...na akina kaka siyo lazima nne au sita...na kesho ipo tena tamu kuzidi leo....haya njozi njema...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Santos Laguna player poses with small child and the Playboy magazine he just bought By Brooks Peck Posts Website Email RSS By Brooks Peck | Dirty Tackle – 18 hours ago Share55...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu marafiki na maadui Kuna watu wengi wamenufaika sana na huu msiba wa Kanumba. Nianze na hawa wana Kamati ya mazishi tusubiri uchakachuzi mkubwa wa mapato yatokanayo na rambi rambi ya msiba wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Personally, I really don't care what two consenting adults do in the privacy of their bedroom. Why should I care? Aren't they over 18 years old? I think as a nation we have our priorities...
1 Reactions
131 Replies
8K Views
Ngoja nizidadavue hapa chini kama ifuatavyo............... 1. Aina ya kwanza ni ile ya mwanaume ambaye anatatabirika. Wanawake hawapendi wanaume wanaotabirika kwa sababu wanaelewa ni jinsi gani...
6 Reactions
86 Replies
17K Views
Lulu mpedwa pole kwa hayo yaliyokukuta. Pamoja na ukweli kuwa yakujitakia hayana majuto bado nimeona nikuandikie kukupa pole. Nakupa pole kwani nafikiri hili hukuwahi kuliwaza kuwa linaweza...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Ngoja niyadadavue malalamiko ya wanawake kwanza hapa chini: 1. Wanawake wanalalamika kwamba wanaume sio waelewa wazuri, yaani huwa wanatafsiri mambo tofauti na isivyo. 2. Wanalalamika kwamba...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Je waweza kupenda zaidi ya mpenzi mmoja au hapo ni kuwatamani tu............... Utajuaje mpenzi huyu unampenda na huyu mwingine unamtamani tu...........................Hivi kweli zipo tofauti...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Habari za mchana wanajamii? Poleni kwa majukumu ya nusu siku.... Leo Jambo linalonitatiza ni hili. Binafsi napenda sana sukari! yani nimepitiliza...asubuhi nitaweka nyingi kwenye chai. Vinywaji...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Sijui ni kwa nini haturidhiki na kidogo ambacho tulichonacho na hata kudiriki kukikashifu kuwa hakina umaana wowote ule wakati tunacho. Sasa unapokuwa umenyang'anywa ndipo unatambua kuwa kumbe...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
A palliative nurse has recorded the top five regrets of the dying. Photograph: Montgomery Martin/Alamy. utashangaa kufahamu ya kuwa watu ambao wanakaribia kufa majuto yao hufanana na wengi wao...
1 Reactions
74 Replies
5K Views
Jamani naombeni kuelimishwa power of love ni nini? Maswali mengine yatafata baadae. Hiyo ni homework nimepewa na ticha wangu wa tuition na kesho natakiwa kusubmitt. Msichakachue hadi mnipe majibu...
2 Reactions
77 Replies
5K Views
Hizi kesi zipi nyingi sana katika ulimwengu tunaoishi Knife sex game goes horribly wrong - YouTube 1)ROME - Italian prosecutors have charged a 42-year-old man with killing a female student who...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
1= 2= 3= 4= 5= 6= 7=
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Kwa kuwa chanzo cha mgogoro uliopelekea Kanumba kugombana na mpenzi wake Lulu ni simu basi: Simu ni hatari sana zimetuondolea kijana mahiri sana Tuwe makini ktk matumizi Ila mimi na mpenzi...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Na Dustan Shekidele, Morogoro GUMZO wikiendi iliyopita ya shamrashamra za Sikukuu ya Pasaka mjini hapa, ni lile la bosi wa kiwanda cha maturubai aliyetajwa kwa jina la Daudi, kufumwa gesti akiwa...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Jaman sitanii ktk hili tafadhili kama unauelewa naomba ushauri wako...kama hujui pita zako tu Nilikua na girl friend wangu miongoni mwa form six waliomaliza mwezi wa pili mwaka huu ktk shule flani...
1 Reactions
32 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…