Niukweli usiopingika tunapokuwa kwenye mapenzi huwa kuna matukio mengi ya kusisimua mazuri na mabaya na mpenzi wako!na mkisha achana utegemea ni njia zipi ziliwafanya mtengane lakini kwa yote kuna...
Kama ukichunguza kwa mfuatano, tukio la hivi karibuni la Lulu kuhusishwa na mauaji ya Kanumba, siamini kama hilo linaweza kuzusha mshangao.
Binti kama Lulu kwanza amelelewa na malezi ya upande...
Habari zenu wadau?
Leo nimekaa sehemu naumwa jino, mawazo fulani yakanijia; what if ningeling'oa? then what if ningeng'oa meno yote mdomoni na hivi sijaoa, what woman will love me?
Nikakumbuka...
Forget Viagra, the 'Cuddle drug' could be the new way to boost performance in the bedroom
'Cuddle drug' oxytocin could be the new Viagra
Taking a chemical that helps mothers bond with...
Naomba kujua umri wa LULU ili nifahamu kama KANUMBA alikuwa akimbaka au la. Kisheria kama umri wake ni under 18, hata kama kakubali mwenyewe kuwekewa HOGO, KANUMBA atakuwa ni mbakaji. Naomba kujua
Huwa inashangaza sana kuona galfriend akilalama kuwa ile ilikuwa ni "date rape"...................kuwa hakukusudia afanyiwe unyama ule na yule ambaye anamwamini na...
Nilimpenda sana Kanumba na pia nilipenda pia kazi zake.
Ni majonzi makubwa sana kifo chake na daima nitamkumbuka.
Ili naona kama the media has exaggerated the whole arrangement. Sasa hivi umekuwa...
Yabidi nikiri bila ya kificho
ya kuwa haya ni kweli kabisa..
na hili situngi na ya kwamba yamenikuta kiukweli ukweli.
ni kweli mlandizi husahau bali mtupa maganda hasahau..
Hivi yawaje baada ya...
As salam aleykum wapendwa wangu.
Natumai pasaka imekua yenye furaha kwenu.
Wapendwa kwa asili mim ni mtu mwenye kupenda utani na mtu ambaye ni vigumu saaana kukasirika.Hakuna binadamu...
Heri ya pasaka,kwa kifupi nahitaji msaada wa mawazo,nilikuwa na mchumba mpendwa ktk Bwna kama mimi,na tangu mwanzo tulikubaliana sisi kama wakristo hatutakiwi kufanya tendo la ndoa hadi wkt wa...
wanasema kwamba mke wa mtu ni sumu, nimeshuhudia.............Jumapili ilyopita nilipotoka kanisani nikakuta kuna kikao katika nyumba niliyopanga, jamaa mmoja ambaye ni jirani alikuwa na mwenzake...
kama una mpenzi ,mke ,mchumba kisha ukangudua ametoka kumegwa bila ya wewe kumfumania lakini kukawa na mazingila ya kukufanya uhisi hilo jambo na baada ya kumbana mhusika akakili kweli nimetoka...
Lilikuwa ni dirisha lililosukumwa na upepo na kujifunga huku likitoa sauti yenye mshindo mkubwa lililomuamsha toka usingizini.Baada ya kuamka macho yake yalikutana ana kwa ana na giza zito...
MKAZI wa Kijiji cha kideleko Kata ya Kideleko wilayani Handeni Tanga, Amina Mbwego (35), ameuawa kwa kukatwa shoka shingoni na mumewe.
Inadaiwa kuwa chanzo cha tukio hilo ni wivu wa mapenzi...
...nadhani sasa ktk mauhusiano ya kimapenzi imefika mahala tuongeza hiki kifaa kinachoitwa Helment ili kujikinga na mathala makubwa yanayoweza kutokea ktk mikwaluzano ya kimapenzi...KAMA KWELI...
Mimi naamini kabisa kwamba Lulu siyo wa kulaumiwa kwa haya yanayomkuta sasa na badala yake WAZAZI WAKE kama anao ndiyo watu wa kwanza wa kulaumiwa kwa huyu mtoto-Lulu. Wazazi wa Lulu hawakuwa...