Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Ndugu zangu nimekoma. Juzi nilikula supu ya pweza, basi Bwana Mdogo wangu karibu achomoke kwenye makazi yake nikingali kufika nyumbani. Yaani mpaka alivunja kufuli, tena Solex original! Sirudii...
0 Reactions
177 Replies
20K Views
Habari wana Jf,Ndugu zangu mim ni kijana wa miaka 23 nina kakayangu ameoa na ana watoto wawili,chakushangaza mke wake ananitaka kimapenzi,akisema kakayangu cku izi hana nguvu za kiume anazaidi ya...
0 Reactions
58 Replies
12K Views
Habari za Pasaka wandugu, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24. Nilitokea kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti mmoja tuliyesoma naye shule ya Msingi mwaka 2001, kwa bahati nzuri kwake...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Ilikuwa ni tar 01/03/12 siku niliyokutana nae rasmi hapo jf,nilifurahi sana na yeye vilevile kwan tuliona kama ni ndoto. Malengo yetu yalikuwa ni kuoana na alisisitiza sana tusifanye mapenzi...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
wana jf wenzangu naombeni ushauri nilimpenda kijana ambaye hakunipenda, alinipotezea muda wangu na kunifanya shuleni nisifanye vizuri. kwa kifupi alinitesa sana alikuwa akiongea na mpenzi wake...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Eti...!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
In the 1950s, more women aspired to marry their bosses. Photograph: Lambert/Getty Images Karrne ya 20 na kabla ya hapo njozi ya wanawake wengi ilikuwa kuolewa na mwanaumme mwenye kipato kikubwa...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Kuna Bidada nimehangaika naye kwa takribani mwaka mmoja sasa. Usishangae kwanini mwaka Mmoja ni kwa sababu imefika bei na mrembo wa haja.Juzi kati amenichanganya kidogo kwa maswali aliyokuwa...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Leo siku ya Pasaka na Ujumbe wangu ndo huo,Ukipendwa Nawe Pendeka,na Ukiitwa itika ili ucje ukaitika usipoitwa na kupenda usipo pendwa. Mytake.kuweni waangalifu.
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Hi! wana JF! Hivi kuna uwezekano wa mwanaume na mwanamke kuwa ktk uhusiano wa kawaida kabisa kama marafiki tu bila kuwa wapenzi? Kuna mkasa mmoja ambao naufahamu wa mwanaume na mwanamke ambao...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
I would probably never get a single piercing on myself but I love them on women (both ears pierced) It makes the women look hot. Sipendi watoge pua au sehemu nyingine ya mwili Wadada...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Nionavyo mimi mwanamke mwolewaji anasifa zifuatazo. (zingatia: mapenzi hayana formula only use this as a rough guide). Huruhusu mapenzi yawe wazi.hivyo mara nyingi atakutambulisha kwa ngudu na...
7 Reactions
45 Replies
5K Views
Rafik yangu amekuwa akinisaidia mambo mengi sana, sasa ananipa mtihan anataka nimle tigo. Ckujua kama anatabia hiyo. Nina vitu vyake ving natumia. Sa nifanyeje?
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Unakuta kijana kaanza kazi Miezi michache tuanachukua mkopo wa gari hapo anaishi nyumba ya kupanga 20% ya mshahara nyumba ya kupanga maana hawezi kuishi uswahilini 50% marejesho yamkopo wa...
24 Reactions
135 Replies
9K Views
Muindi wa kwanza Nilifanya kazi kwake miezi miwili tu.daah kweli mzee Yule alikuwa na visa Nilikuwa receptionist,secretary,administration.accountant,kilakitu Saa moja keshanifata nyumbani...
3 Reactions
108 Replies
13K Views
wakuu mimi nina girl frend wangu ambaye alikuwa virgin na mpka sahv nimefanya naye mapenzi mara 5.tatizo ni kwamba mara zote 5 amekuwa akitokwa na damu kwenye uke wakati wa lile tendo na mara...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Nawatakia easter njema wapendwa wa mungu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kifo cha Rais wa Malawi, Bwana Bingu wa Mutharika na Msanii wa filamu wa Tanzania Bawa Kanumba (The great) vinaonyesha jinsi gani Afrika tunavyokabiliwa na changamoto ya ukosefu wa Huduma za...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
He/ She is such a good person but does not believe in God.... someone without a religion...Would you marry him or her?
1 Reactions
94 Replies
5K Views
Jamani habari zenu?nianze na historia fupi,miezi 8 nyuma nilipata kuunga urafiki na binti m1 kwenye mtandao wa fb,maongezi yalikuwa yenye kusisimua pmj na matani ya hapa na pale,miezi 4 nyuma...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…